Uzuri wa wabongo design yako na Ngabu mnajifanya hamjui kinachoendelea mtaani kuhusu vyeti;sasa Paul akashitaki kwamba alimpa mtu cheti?kwani kuna sehemu imeelezwa Paul hakutoa vyeti kwa hiari?
Huu ni Upuuzi wa kuendelea kupuuza ukweliIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kuna yoyote aliye ripoti polisi?.Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?
Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Mkuu heading yako imenikumbusha the real slim shadyIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Polisi hawa hawa huwa mnawashinda mahakamani kila leo..haki gani hiyo mnayozungumzua wanayo nyimwa?Kujitoa ufahamu ni kukataa ukweli ulio wazi
mtu yoyote Tanzania ambae amewahi kwenda mahakamani na polisi
anajua jinsi ilivyo ngumu huko kupata tu haki yako achilia mbali kufungua shauri lenye siasa ndani yake
Hakuna mtanzania ambae hajui jinsi ilivyo 'risk' kufika tu polisi na kujitambulisha unamfungulia mashtaka
mkuu wa mkoa.......
Sasa kama hayo yote yanajulikana ukisikia mtu anakwambia kwa nini usiende police unajiuliza huyu
anamaanisha au anajitoa tu ufahamu?
police ipi?hii ya Tanzania inayobambikia watu kesi?
Police hii ambayo wanajua kabisa sheria inasema mtu apelekwe mahakamani ndani ya masaa 24
baada ya kukamatwa lakini wanamshikilia mtu maarufu na tajiri na diwani wa chama tawala kwa siku 20
bila kumpeleka mahakamani...uende wewe ambae ni no body nchi hii eti unamshtaki mkuu wa mkoa
are you serious au ndo unajitoa ufahamu?
kusoma hujui picha huioni?
Yuko wapi huyu? huna picha yake haipatikani kabisa?Mtu ambaye aliyetoa Cheti kwa Daudi Albert Bashite(Alias Paul C. Makonda) anaitwa Paul Christian Muyenge sasa Bwana Daudi Bashite Kuogopa ufanano wa Majina akaamua abadilishe Muyenge iwe Makonda na hilo Makonda ni kutokana na Kazi ya Ukonda aliyoifanya enzi za kutafuta maisha.
PAUL CHRISTIAN(mmiliki wa vyeti) hakuwa na jina la MAKONDA mwishoni,analo jina la kihaya na alikuwa halitumii,badala yake alijulikana kwa majina hayo mawili.Well, hata akili ya kawaida inahoji pia kuwa ni kweli huyo mtu yupo au hayupo?
Subiri Bashite atasema mwenyeweIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Mbona picha za Albert zikishawekwa akiwa shule na waliosomanao walimtambua kwa jina hilo hilio na pia wakawa wanaona ndiyo yule yule anaeitwa jina jingine.Polisi hawa hawa huwa mnawashinda mahakamani kila leo..haki gani hiyo mnayozungumzua wanayo nyimwa?
Hivi kweli hata waliosoma primary school na makonda original wote hawapo? wote wanaogopa? hata picha ? hata tetesi za watu waliosoma nae mmeshindwa kuzipata mkishirikiana na Ngwajima na Mange?
Sasa hamuoni mtashindwa asubuhi tuu huko mahakamani?
Hawezi kupatikana kwa kubadilishwa ubini halafu aendelee kusema ni yeye.Yuko wapi huyu? huna picha yake haipatikani kabisa?
Najua hivyo.Wewe unaushahidi wa NECTA?, au unahisi tu?
Hahaaaa,, kweli kabisa Majungu ni mzigo wa misumali ni lazima uhangaike nao ukijitwika kichwani.
Wanapiga kelele,, bila ushahidi wa Vyeti halisi vya huyo Makonda Halisi,, Gwajima alijaribu kutuaminisha kwamba ,,ATAUFUFUA MSUKULE ,, unaoitwa Paul Makonda ili uje useme kuwa wenyewe ndiyo Makonda halisi.,,Lakini hadi sasa hiv kimya kabisa.
Mkuu huwatakii mema hao watu unaotaka wamshitaki au wajitokeze waliosoma naoIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Mtuhumiwa naye ameghairi kuitikia ya watuhumu, tuendelee kuimba wimbo wa vyeti tu humu JF kwa sababu hatuna ushahidi kuthibitisha tuhuma. SIYO UTOTO HUUKama hawataki je
Tuwekee ushahidiNajua hivyo.