Will the real Paul Makonda please stand up?

Bashite anaona ugumu gani kuweka vyeti mezani ili akate mzizi wa fitina na huo wivu anaousema?
Haoni ugumu bali hataki..kwahiyo tuhuma zenu zinategemea atoe vyeti vyake ili ikamilike je kama kweli amefoji inawezekana akajichoma kisu mwenyewe?
 
Mnh mkuu ni hatari, wa Tanzania tunapokea habari bila kufikiri.

This issue is beyond uzushaji wa vyeti is now upgraded to more serious allegation extortion yaani umafia kwa lugha nyepesi, au abuse of power to extort money from individuals by blackmailing them.

The consequences and repercussion of those criminal acts are huge and saviour in nature

Kuiba vyeti au kununua ni kamtoto let discuss this issue for now, move on

Sasa kukusaidia dadaangu I hope wewe uko registered Na TRA ?

Kama jibu ndio basi pitia hii link hapa


REVENUE GATEWAY SYSTEM

Ingiza vimbanga vyako and then try to register payment kwa zile gari zinazotuhumiwa, wanadai manyago yote utayaona hapo, inavyosadikika, I don't doubt to disbelieve what I'm told, because all these information are not
top secret, remain in public domain, anyone can easily have access to them including thousands of TRA employees.

If you wanna check out, if the car is not stolen before proceeding with the purchase you can easily find out from TRA,

Does that make sense?, au TRA chombo cha serikali ni mamluki, ati nimeambiwa ile nembo have secret message from the devil yellow, eti ni kweli, lol

Tutumie akili kidogo, basi tutafika mbali kwa mengi tu,

Masikio tumeziba basi hata macho hatuoni? Au ndio kiini macho..
 
Yatasemwa mengi mno.

Mengine yatakuwa ya kweli, mengine yatakuwa na chembe za ukweli, mengine yatakuwa ni uzushi tu, na kadhalika.

Mimi kwangu siamini amini tu jambo bila kulihoji.

Huna haja yakuhoji Mkuu umepewa macho na akili, zitumie

Mambo ya kuhoji tuwaachie wale jamaa wa TLS wako Arusha hivi sasa au unataka kujifananisha na wao.
 
Mkuu paskal naomba uniambie uyo Paul M hakusoma elimu ya msingi na sekondari?alianza chuo moja kabla ya darasa la kwanza?
 
Hakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
Kuna Paul Christian Muyanja. Ndiye kwenye cheti chenye Index number ya Necta. Hakuna Cheti cha Paul Makonda, ila yeye ndiye aliamua kuweka hii Surname badala ya Muyanja. Hii ni according to Gwajima. Cheti cha kaka Binamu kilichukuliwa Na Dada akatoa photocopy kikarudishwa. Hakujua wala haikua ridhaa yake. Aliyetoboa siri ni Absconded fiancee! Gwajima's tone". Kwa hiyo unatakiwa uchunguzi Necta, huyo Paulo alihitimu lini Na huyu David Bashite alihitimu lini. Je Kuna Makonda alishawahi soma Sec Na kutahiniwa Na Necta?
 
Mkuu Andrew ingia ulete ushahidi hapa,

Mie siiamini lolote mpaka awe guilty mahakamani,

Sina mkoko wa kuingiza huko TRA [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kwanini unamuamini gwajima kwa asilimia 100?
 
Nilishauliza humu kuwa yuko wapi Paulo halisi? wako wapi nduguze? Wapi kwao?wapi wanafunzi wenzie? Waliishia kunitukana na wengine wanatoa sababu eti Paulo halisi,rafikize na nduguze wanaogopa
 
Kaka wa huyo Makonda alikuwa Mkurugenzi pale Kagera lakini alitumbuliwa last year.Sasa kama una uhakika na utimamu wa akili zako basi fanya utafiti ukianzia hapo, inaweza kukusaidia ukawa promoted na kuitwa Dr Nyani Ngabu!
Yule wa Bukoba anaitwa Steven
 
Haoni tatizo lolote anaendelea na kazi yuko tayari kuwa sio kiongozi mzuri kwa mujibu wako. Unasemaje?
 
Wewe tulia haraka ya nini?? utapata data zote kuwa mvumilivu.
 
Mkuu mbona unajitoa ufahamu?
wewe umewahi kwenda mahakamani kwa kumtuhumu mtu jinai?

Jinai zote zinaanzia polisi...
Na Police wote wa Dar wako chini ya mwenyekiti wa kamati ya mkoa ya usalama....ambae ndo boss wao
unaanzaje?
Hizi akili ni za Lema au zako?
 
Wewe unaushahidi wa NECTA?, au unahisi tu?
 
Wewe bwana mdogo acha uj.inga....hata kama asipojitokeza inafikiri angekiwa ana-exist nyie mungekosa hata kapicha kake ka kutupia humu kuwa ni flani na mtoto wa flani mzaliwa wa mahala flani.....dah msitufanye sie watoto
Hana FB account?
 
Makonda "halisi" hana akaunti FB?Kama alifaulu shule yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…