Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Wacha uongo kama ingekuwa hivyo tusingekuwa karibu na SADC. Huko ndiko tulipeleka nguvu, huku Congo tunasingiziwa tu ... ... ni hawa wanaotushurutisha kwenye east Africa ambako sisi tunakuwa soko badala ya kuwa wazalishaji wa bidhaa. Manyang'au wamejipanga bila sisi wenyewe kufahamu, je unaweza kuniambia ni sababu zipi zilipelekea mpaka wa kenya na Tanzania kufungwa then kufunguliwa na Sokoine? Hizo nguvu unazosema ni nguvu zipi?
Au ni nguvu za Dhaifu kuvinjari?
Mapovu yanakutoka mkimbizi wewe.subiri majeshi ya tanzania yawafundishe huko Goma


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.
#Team Uzalendo.......Nakupenda Tanzania,,,,Nakuchukia CCM(magamba):A S angry:
 
Uliza wakubwa watakuambia, si unakumbuka kipindi kile sisi ndo tulikuwa tumetoka kuwasaidia FRERIMO?

Mawazo yako mkuu ni sawa na mawazo ya vyombo vya habari vya magharibi wakati ule wa vita na Uganda!. Walimuona Brigadier Warden RIP ambaye alikua ni mweupe halfcast,wakasema tunasaidiwa na cuba!
 
Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.

Ni kweli, ukiacha udhaifu wote Wabongo WAMBEYA sana, hivyo huwezi kupanga misheni ya kuivamia Tanzania IKAFANIKIWA, kwani MBONGO anajua kila kitu, hata ukimwambia neno moja tu atakavyosimulia hiyo stori utafikiri alikuwepo eneo la tukio. Kwa hilo Tanzania ipo juu sana.
 
23 Novemba 2012

?


Mkuu wa majeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea kufuatia madai kuwa aliwauzia silaha makundi ya waasi yanaopambana na serikali ya nchi hiyo.

Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa, imemtuhumu, Generali Gabriel Amisi kwa kuendesha mtandao wa kusambaza silaha kwa wawindaji haramu na makundi ya waasi, likiwemo kundi la Mai Mai Raia Mutomboki.

Msemaji wa serikali ya nchi hiyo amesema, maafisa kadhaa wa jeshi pia wanachunguzwa.

Serikali ya Rais Kabila imemfuta kazi mkuu huyo wa majeshi, siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Goma Mashariki mwa nchi hiyo.

Waasi hao mpia wameutekja mji wa Sake, lakini msemaji wa serikali Lambert Mende, amesema wanajeshi wa serikali wamefanikiwa kuumboa tena mji huo mdogo.

Waasi hao ambao wanaaminika kuungwa mkono na serikali za Rwanda na Uganda, wametishia kuendeleza mapigano hayo hadi mji mkuu wa Kinshasa, ikiwa rais Joseph Kabila hatabuli kuanzisha mazungumzo ya amani.

Mazungumzo ya Amani

Uganda inaandaa mkutano wa marais wa Rwanda na Uganda hii leo na kuna ripoti kuwa baadhi ya viongozi wa kundi hilo la waasi wa M23 wamesafiri mjini Kampala kushiriki katika mazungumzo hayo.

Ripoti iliyoandikiwa Umoja wa Mataifa na kundi moja wa wataalamu huru, imesema kuwa Generali Amisi, anaendesha mtandao wa kusambaza silaha kwa makundi ya kihalifu na waasi wanaohudumu Mashariki mwa Congo, eneo ambao bado kuna idadi kubwa ya wapiganaji wa waasi.

Hata hivyo kundi hilo la M23 halikuwa miongoni mwa makundi yaliyotajwa kwenye ripoti hiyo lakini kundi la Raia Mutomboki, moja ya makundi kadhaa yanayojumuisha wapiganaji wa Mai Mai, inaaminika kuwa na uhusiano wa karibu na kundi hilo la M23.

Ripoti hiyo ya Umoja wa Mataifa imenadi kuwa Generali Amisi aliagiza bundi 300, aina ya AK-47 kukabithiwa kundi moja linalohudumu katika eneo hilo la mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, lijulikanalo kama Nyatura.

Ripoti hiyo imeongeza kusema kuwa waasi hao wananunua risasi kutoka kwa nchi jirani ya Congo na kusafirisha kupitia Kinshasa hado Mashariki mwa nchi hiyo na mtandao unaoendeshwa na washirika wa Generali Amisi, wakiwemo baadhi ya jamaa ya familia yake.
 

[TD="align: center"]
2012112312954387833_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Some 767,000 have been displaced in the east of Congo, and with no end to the fighting in sight, their plight remains dire.
2012112312954512574_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
M23 rebels stood at the gates of Goma earlier this week, having rapidly gained ground against the Congolese government army.
2012112312954668807_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
The United Nations had vowed to protect the city against an imminent rebel advance, patrolling the city and holding defensive positions outside the city.
2012112312954840163_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
The Congolese army deployed heavily throughout the city as they were beaten back from the city's outskirts.
2012112312954965563_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Despite the defences of the army, and the support by the United Nations, on Tuesday rebels marched into Goma, rapidly securing the border with Rwanda.
201211231295590524_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Coming from the north, they advanced throughout the city up to the shore of Lake Kivu.
2012112312955215454_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
The following day, Wednesday, rebels held a public rally, inviting the local population to come to hear what the rebels stand for.
2012112312955340425_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
The rally was also an opporunity for government police officers to surrender and to join the rebel force.
2012112312955465739_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
M23 rebel spokesman, Lieutenant-Colonel Vianney Kazarama addressed thousands of residents of Goma, saying that M23 would push-on from Goma and onto Bukavu.
2012112312955575162_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
As the city woke to its new masters, bodies from the previous day's battle still lay in the streets.
2012112312955715871_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Lokuli Loleko Prince, 24, had learned that his father had been killed in the fighting, but only found his body in the streets the next day.
2012112312955856544_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Many civilians were also injured in the fighting. Twelve year-old Kakule Elie was hit in the arm by a stray bullet, resulting in his arm being amputated.
2012112312955996407_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
By Thursday, life returned to a degree of normality in the restive city. The armed policemen were the same, but their allegencies had changed from government to rebels.
2012112312956121345_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
But for the thousands who had fled fighting in Goma, respite would be short-lived as fighting broke out in the town of Sake, to the west of Goma.
2012112312956262861_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
As tens of thousands fled the town, M23 rebels from Goma ran towards the town to try and maintain their advances.
2012112312956403631_8.jpg
/Phil Moore/Al Jazeera
Oxfam estimtes that 120,000 are in urgent need of humanitarian aid, and Thursday's exodus adds massive numbers to this.

[/TD]
 
Nchi ya Congo ni kubwa sana inafaa igawanywe zitoke nchi mbila au zaidi, kutakuwa na manufaa mengi.
 
Samahani kama nitakuwa nje ya mada. Wanajeshi wa Tanzania wanaopelekwa Kongo wanakwenda kuungana na upande wa Serikali ama M23? Wanakwenda kumpiga nani kwa manufaa ya nani? Nielewesheni wakuu.
 
Special Reports
[h=1]Inside the Democratic Republic of Congo M23 rebel training camp[/h]
report001px.jpg
The March 23 Movement rebel recruits train at their camp in Rumangabo in the Kivu Province, eastern Democratic Republic of Congo. PHOTOS BY STEPHEN WANDERA

The rebels. The M23 rebels accuse President Joseph Kabila of rigging the 2011 general election, failing to provide social services and transport infrastructure. Stephen Wandera visited their training camp in Kivu Province, eastern Democratic Republic of Congo and below are the excerpts:
DR cONGO. Rumangabo, an expansive rebel camp, based in the Kivu Province, eastern DR Congo, fenced with sisal ropes tied across poles and tightly guarded by a group of rebels, is the main training ground for the M23 rebels.
The about two square miles camp built on Rumangabo hill is also the headquarters of the group. It has a well, which, serves as the main water source but has got no electricity. A sole generator serves the commander's unit. But with its expansive staff quarters, dormitories, playing grounds-football and volleyball, and a health centre, it is widely regarded as a safe haven for fighters.
Built by former DR Congo president Mobutu Ssese Seko as a training barracks, the grounds are 60 kilometres from the Uganda-DR Congo border.
The M23 rebels occupied this area in August after they pushed government soldiers out of it. They accuse President Joseph Kabila of rigging the 2011 general election, failing to provide social services, including transport infrastructure.
After two days of waiting, we were allowed to proceed to Rumangabo Training Centre, the M23 headquarters and training camp.
At the gate, consisting a concrete arch, we undergo a security check, with constant warning from the fighters that no one should take pictures unless granted permission by the commanders. From the gate, one can see a couple of youthful recruits carrying cans of water down the hill. One of them walks past us, picks a cigarette butt discarded by our colleague and puffs on it.
We call the fighter, who identifies himself as Bosco Kasongo, and ask him why he joined the insurgency, which appears to subject him to a hard life. He replies: "I am here to liberate my country from dictatorship. Kabila has run down our country. I believe that after the struggle we shall have a better country for all of us to live in."
As Kasongo disappears down the bushy barracks, the deputy spokesperson of the group, Mr Amani Babo, arrives to let us in the barracks.
Inside the barracks, the buildings are dilapidated, walls are riddled with bullet holes and mortar shell craters. "This group is of cadet officers being trained to be intelligence officer and unit commanders," Babo explains as we walk past a building about 300 metres from the gate, that was formerly a mess hall.
We encounter a group of recruits, dressed in old military attire and holding sticks, performing military drillst. "After this training, they will be skilled in guerrilla war to fight any negative force," Training Commander Col. Leon Kayamibwa says. As we head towards the football pitch, we meet more recruits, most of them appearing to be in their early or mid 20s although some looked younger.
UN accusations
The United Nation has accused the M23 of recruiting children. Asked to comment on the recent UN report accusing the group of widespread war crimes, including summary executions, rapes, and forceful recruitment of children, Kayamibwa replies: "Nonsense! Have you seen any child soldier here? All of the recruits you see here come voluntarily. All those allegations are aimed at blackmailing us."
Babo leads us to the next crowd about 300 metres away. Seated on wooden chairs in front of a class of about 60 fighters, is a mean looking man about 30 years old. The attentive students are seated on benches, holding sticks firmly in their hands.
"When you are aiming at an enemy, you have to hold the gun very firm and make sure you hit the target," Maj. Innocent Madido's voice rings through the windowless concrete classroom. According to Kayamibwa, having Madido, a former commando in the DR Congo army, to train the recruits, is a blessing.
Asked why he left the DR Congo army, Madido says: "I did not see a future in him (Kabila). I am proud of training an army that we hope will liberate our country and have a fresh beginning soon." He adds: "DR Congo is the richest country in the world in natural resources but we are still living in the dark side of the world as our riches are being looted."
All the recruits we speak to dream of a DR Congo with good roads, electricity, healthcare and education services, and where the rule of law and democracy reigns. "I have sacrificed my life so that we can live in a society where there is democracy, rule of law and justice prevail. This country does not belong to one person (Kabila)," says Kabida Bondo, a rebel fighter.
Adjacent to the class is a makeshift kitchen where sweaty bare chested men are mingling posho in huge saucepans, while others split firewood. An attempt to take photos of the cooks is blocked by Babo, who says: "Let us first finish this one. We shall take you there, do not rush."
We are then led to a Church turned into a training avenue for the custodians of law. Several recruits are seated on benches while others are seated on the floor. "We (M23), are not only recruiting and training soldiers, we also have police and other organs that make a state function being prepared," Kayamibwa says.
The tour is cut short as the rebel commander, Gen. Sultani Makenga, who we want to interview is about to leave the training centre. By this time, we have walked for two hours, touring the camp.
Meeting M23 leaders
Makenga lives on top of a hill in a decent house surrounded by heavily-armed soldiers brandishing AK47 assault rifles, machine guns and rocket launchers. Makenga's house has luxuries such as a DSTV dish and a pool table.
The rebel leader does not have much time for us. "So tell me. What do you want to hear from me? I am not used to talking to journalists," he says. Asked why he is fighting the Kabila government, Gen. Makanga says: "I am a seasoned fighter who has encountered several battles, including the one that helped Kabila capture power. Unfortunately he went astray by failing to steer DR Congo to prosperity."
"Some of us fought for President Kabila and put him to power and he knows how lethal we are. He has two options, either to talk peace or face fire," he says. "Next time you come back, you will find us very far maybe in Kisangani or even Kinshasha. We ‘harvested' allot of ammunition in the initial attack where we captured this camp."
Gen. Makanga gets off his seat, orders his aide to serves us drinks and he disappears into the training ground. The training is intense, lasting the whole day and it ranges from mechanics of the gun, target practice, hand-to-hand combat, among other drills.
As the night falls, we leave the camp. On our way back we bump into the rebel political leader, Bishop J.M Runninga Lugerero, who is commonly referred to as "president", addressing a rally about 20 kilometres from the training ground. He disputes the UN report that Rwanda and Uganda are assisting them. He assured the locals that the M23 is fighting to liberate them and will restore peace and rule of law in DR Congo once they assume power.
Bishop Lugerero dismisses the UN report, saying it was manipulated by President Kabila to discredit them. "Kabila has failed to manage DR Congo and it is time for him to reform or we shall force him out. We want fundamental change in Congo. The road infrastructure, education and health have collapsed. Our country has no democracy. In the recent election, we know it very well that opposition leader Etienne Tshisekedi won but Kabila stuck to power," Bishop Lugerero says.
He adds: "DR Congo now has three presidents: Kabila, Tshisekedi and myself. We are now saying that we should have a national consultative conference to chat a way forward for the better future of our country."
"These human rights watch authors are being used by Kabila. How can you say that Uganda is supporting us when it is the very country trying to mediate peace talks? Is it Uganda or Rwanda that influenced you (Kabila) not to pay soldiers, teachers and several other civil servants?" Bishop Lugerero asks amidst cheers from the locals.
The rebels control a vast area of Kivu Province in eastern DR Congo. A big section of the population here lives in abject poverty. Roads constructed by Mobutu government who ruled from 1965 to 1997 are dilapidated.
"I do not remember when I last got a salary. Like many of my fellow teachers, we depend on the mercy of parents. Life is difficult but at least now we have security," Francine Makambo a teacher, says.
Ali Kavuta, a former government soldier, now with the rebels, says soldiers are not paid their salary. "I joined M23 rebels because I was frustrated. You do not expect me to work for government with no pay. I am not paid now but in the near future when we defeat Kabila, we shall be remunerated," Kivuta says.
The rebels took over the mineral-rich town of Goma on Wednesday and vowed to continue fighting despite a call by Presidents Museveni and his Rwanda counterpart Paul Kagame to cease fire.
Who are M23 rebels
Rebels calling themselves the March 23 Movement on Tuesday took over the city of Goma in the eastern DR Congo.
The country has seen a number of armed factions fighting in the east over the years. The rebel force is made up of deserters from the Congolese army formed in the jungle hinterland of eastern Congo earlier this year, calling itself the March 23 Movement, after the date of a failed peace deal signed in 2009.
The rebels have named its military wing, the Congolese Revolutionary Army. It is made up almost entirely of soldiers from the Tutsi tribe, who were folded into Congo's national army following an earlier rebellion in 2008, which led to the 2009 agreement. But Tutsi commanders claimed the Congolese government was failing to promote their troops and honour peace deal promises of better pay, and they mutinied in April, with between 1,500 and 2,500 troops. Since then, they have been at war with the army.
 
I was about to write something nasty on the strength of the army chasing your mother daily, but for fear of receiving the first ban ever I have withdrawn the idea. That could be the strongest in Africa though. Sounds sweet?

Hhahahahahahahahahahaha!
 
Mapovu yanakutoka mkimbizi wewe.subiri majeshi ya tanzania yawafundishe huko Goma


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee khe khe kheeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkimbizi anajulikana kwa jina.... afanaleki .... .... for starters just compare Wacha na Wun khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Lini wakenya wamewahi kusema hivyo? Naomba tufahamishe au acha kuwasingizia.
Chief, nadhani huna kumbukumbu ya mambo,,samahani kama wewe ni mkenya, ila wakenya wame-claim vitu vingi sana kuwa ni vyao.
 


and this other video shows Rwandan Special Forces working with DRC forces some in DRC uniforms leaving DRC. They are also rubbishing the UN report in the video.

 
Last edited by a moderator:


It's surprising but not entirely shocking that the just concluded 16th Summit of Comesa Heads of States and governments held in Kampala Uganda ended without taking firm, swift and effective actions against M-23 militia group.The militants are fighting DRC government in the eastern region.

By just condemning the militant outfit that threatens peace and stability in DRC and the entire volatile Horn of Africa region, it is clear how toothless, powerless and clueless regional governments are when faced with monumental security challenges that threaten their very own survival. Sooner, rather than later, these very governments will start to literally beg US, EU and international agencies to intervene in solving the political crisis and save lives through humanitarian action.

Yet, when the governments are kindly advised to respect or improve their human rights record, entrench democracy, rule of law, equity and justice and freedom of the Press, they come out shouting loudest with all barrels blazing and "breathing fire" saying they are ‘independent' States that must be respected and thus they cannot stomach foreign ‘interference' in their internal affairs.

This argument is myopic and casual as the world is now a global village whereby any instability in any place has the capacity to spread and affect other governments or regions in equal measure, with very catastrophic consequences.

INDIRECT FINANCING
Some of the questions that need to be answered by Comesa Heads of State is:


  • How, when and where does the M-23 militia group get her military equipment and supplies?


  • Which government(s) in the region is directly or indirectly financing the gang?


  • Which nation is allowing her territory as a transit point hence facilitating transfer of military hardware?
It's on record that the UN, US, Britain and EU has severally accused Kigali government of supporting the M-23 gang. President Kagame did not attend the Comesa summit in Kampala. This raises eyebrows and it speaks volumes about the role Kigali government is playing in destabilising the entire region.Why can't Kagame help solve the crisis if he knows the pain of going through conflict, his country having been in war for years?

It's not rocket science that the mayhem and violence being witnessed in eastern DRC and indeed the whole continent is linked to abundant untapped raw mineral deposits that have not been exploited fully. Does this mean that Africans are unable to govern and use mineral resources to benefit the populace? The magnitude of chaos and violence in Africa in the 21st Century has gone beyond limits. We can't be butchering each other because of resources year in year out.

If African governments are unable to end the orgy of violence, killings and massive displacements of innocent people, then we have to ask ourselves why did we fight for independence? Are we unable to rule and govern ourselves?

Did independence come early? Or is it better to be under colonial rule but have peace and stability than being ruled by African government that in most cases are not democratic, condone chaos and punish innocent citizens through displacements, poverty and economic crisis.
Uganda's President Yoweri Museveni let the continent down. It is reported that one of the leaders of M-23 group was in Kampala, perhaps to seek official recognition and defend the militia's course. What baffles is why was such a person allowed to walk scot free and even attempt to meet presidents, who are not his peers.

This reeks of impunity and typical African behavior where evil is tolerated. Museveni should have arrested the M-23 leader and hand him over to The Hague.

One expects that if Comesa Heads of States were honest and serious about ending instability in DRC, they should have slapped economic and political sanctions against the Kigali government. This would have helped isolate Kagame's ‘rogue' regime that's threatening the entire Horn of Africa region with violence and political instability.

{By:Enock Onsando, Mombasa}
 
i was expecting the EAC to lunch sanctions both politically and economically to the mentioned members to show how they guarantee peace in the region
 
My take:


  • What really baffles is why M-23 leader was allowed to walk scot free upon his arrival in Kampala and even attempt to meet presidents, who are not his peers.


  • Museveni should have arrested the M-23 leader and hand him over to The Hague.



 
I dont believe this EAC intergration. It is toothless and many of their leaders have personal interests. I believe in SADC countries and their intergration because they are more ACTION ORIENTED!. Can SADC armies move in Congo please and sweep out these trouble makers like what Angola,Zimbabwe and Namibia did last time!?.
 
Mwanakiji hilo halitatokea , wakubwa kwa maana ya ulaya na marekani sasa wamewageuka rwanda na uganda, leo uingereza saa 9.30 alasiri kwa saa za uingereza kumeletwa specific question ndani ya bunge la makabwela kuhusina na hiyo ishu ya M13 na serikali ya Uinengereza inajiandaa kumsaidia kabila na kwa kuanza wamesimamisha misaada kwa rwanda na uganda. wazungu ni hatari na kabila ameweza kucheza na akili zao sasa kabila kamtema kagame baada ya ndoa yao ya miaka mingi, ndio sababu kakataa mwito wa M13 kusistisha mapigano.

mh, hapo inawezekana Kabila keshasaini mkataba mwengine wa kuiuza Kongo kwa wazungu....
 
Kuna uwezekano mkubwa JWTZ kuongoza vikosi vya kuwafukuza hao waasi.

too sad! kweli inawezekana as long tupo ndani ya marekani na ulaya's pocket
hayo ndio yatakuwa matokeo ya kukinga bakuli na somo la kutosha kwamba hakuna free lunch duniani.
 
Back
Top Bottom