Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Kuna power vacuum DRC, nchi hii haijawahi kutulia toka alipouwawa Patrice Lumumba aliyekuwa waziri mkuu miaka ya 1960's na mojawapo wa nchi yenye war lords wengi wanaotumia utajiri wa madini kuihenyesha serikali ya nchi hiyo.
 
Kagame ni adui namba moja wa amani na ustawi wa bara la afrika na dunia, umwagaji damu unaoendelea congo ni uchu na tamaa ya kagame kutaka kujilimbikizia mali na kulitawala bara la afrika akiwa mbele ya watusi. Remember, wakongo hawapigani congo, wanyarwanda ndio wanao ua wakongo kwa kisingizio cha uasi!!!!swali, kwanini jeshi la congo limeshindwa kujitetea?

Mnamuonea wivu tu...! Imarisheni nchi zenu kama yeye muone kama mtamuona Kagame ni adui.
 
Wakiamua kuingia Tz hatuna jeshi la kuwazuia. Mali waliyopora Kongo kwa miongo kadhaa sasa imetumika kuliwezesha jeshi lao kuwa la kisasa logistically.

Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.
 
Waasi wa Congo wanatokea Uganda na Rwanda. Serikali ya Uganda yaweza kuwa haina mkono katika vita vile. Lakini Rwanda wanahusika.
 
Kamwe wacongo sio wagomvi, wao ni muziki tu. Kinachoendelea congo ni kugombea mali za kwenye shamba la bibi. "Toka kuzaliwa kwake pale Berlin mwaka 1884 Congo haijawahi kuonja amani" alisema Prof. Wamba Dia Wamba. Chanzo cha vita ya Congo ni urafi wa wazungu kwenye mali asili zilizopo Congo. Rwanda inatumiwa na wazungu kudistabilise Congo na kurahisisha uporoja wa mali za wacongo.
 
wanajeshi wa DRC kaka zao ndo waasi,watawezaje kuwafyatulia risasi ndugu zao
 
Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.
Sioni tofauti yako na hawa wanaong'ang'ana kwenye katiba yao kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ni uimara gani unaouzungumzia wa jeshi lililosheheni vifaa tulivyonunua vikiwa chakavu. Unapoongelea jeshi lililomtoa Amin, unaongelea jeshi tofauti kabisa na hili la leo. Nani kati ya makamanda wa jeshi kipindi hicho aangefikiria kupiga dili apate vijisenti vya kuficha Uswisi? Use yor brain man / woman.
 
Kuna power vacuum DRC, nchi hii haijawahi kutulia toka alipouwawa Patrice Lumumba aliyekuwa waziri mkuu miaka ya 1960's na mojawapo wa nchi yenye war lords wengi wanaotumia utajiri wa madini kuihenyesha serikali ya nchi hiyo.
Na ikumbukwe kuwa watawala wa DRC ukiondoa Lumumba P, wote ni ndugu

Mobutu Joseph Desiree (Mobutu Sese Sseko Kuku Wa Zabanga
Kabila Joseph Desiree SNR
Joseph Desiree Kabila JR

Ndiyo nchi yenye makabila mengi kuliko nchi yeyote barani Afrika, huenda na duniani kabisa.
 
Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.

Mkuu Morinyo uko sahihi 100% huyu jamaa hajui kama Tanzania "tumejiongeza hadi Lebanon" huyu atakuwa raia fulani asiye na uzoefu na mambo ya kijeshi. Afanye uchunguzi kwanini mpaka wa Tanzania na Kenya upande wa Holili, ile free land ni kubwa kuliko mpaka wowote katika nchi ambazo tunapakana nazo...(Mlima Kilimanjaro na ubabaishaji wa Kenya ktk anga za kimataifa kuwa Eneo la mlima ni lao halafu wakajiongeza hadi Mamtukuna, pale kwenye shule ya ufundi kinyemela, Mkuu Rombo nadhani upo maeneo hayo. Mambo au siri za kijeshi huwa hazisemwi ovyo, unaweza kuta watekaji wako nyuma yako na anayejua nia jeshi pekee na wala haliwezi kukupa taarifa kuhusu hilo, hadi itakapobidi.
 
Unajua hizi vita za Congo zimeanza hata Kagame hajaanza kutambaa? Madini ya Congo ndiyo imekuwa chanzo cha hizi vita na hasa kwa sasa ambapo asilimia kubwa ya madini ya Coltan yanatoka DRC. Na hii vita wote tunaichangia maana Betri za Mobilephone, Tablet, Watches nk zinatokana na haya madini. Hii ni zaidi ya Rwanda na Kagame. Kama huamini, tafuta ile film ya haya madini ambapo jamaa walienda hadi HQ ya Nokia na Nokia wakakacha kabisa kuongea na waandishi wa habari. Nina imani hata Apple, Samsungu na watengenezaji wengine wa Phones, wanajua hili tatizo ila wanafumbia macho na sisi wanunua pia tunajifanya hatujui hili tatizo.

https://www.youtube.com/watch?v=3OWj1ZGn4uM

https://www.youtube.com/watch?v=gsILexM8uBw b (hii ni ndefu ila imefumua siri nzima).

Hata kama Rwanda wakigoma kusaidia hii vita, basi si ajabu wao pia wakaanza kupigwa.
amini usiamini, vita ndani ya kongo ni kati ya majeshi ya kongo na rwanda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu, kama wewe unatumia MOBILEPHONE basi kumbuka na wewe UNACHANGIA hii vita na vifo vya Wacongo.

Ni kesi ngumu sana kwa sasa na sijui inaweza kumalizwa vipi. Sasa hizi siyo Wazungu tena ila ni sisi wenyewe Waafrica kama Mzee wa TP Mazembe, mtu mwenye utajiri wa kutisha. AKina Didier Kinwani ambao siku nzima wanamuziki wanawaimba kwenye nyimbo zao. Ni tatizo kubwa sana na ni zaidi ya ulafi wa Wazungu tu. Angalia Link ya Video nimeweka hapo juu na hasa ile Film ya pili.
Kamwe wacongo sio wagomvi, wao ni muziki tu. Kinachoendelea congo ni kugombea mali za kwenye shamba la bibi. "Toka kuzaliwa kwake pale Berlin mwaka 1884 Congo haijawahi kuonja amani" alisema Prof. Wamba Dia Wamba. Chanzo cha vita ya Congo ni urafi wa wazungu kwenye mali asili zilizopo Congo. Rwanda inatumiwa na wazungu kudistabilise Congo na kurahisisha uporoja wa mali za wacongo.
 
Kinachoisumbua Congo ni Belgium kwa sasa,majeshi ya congo hayana molari kabisa kutokana na namna ambavyo Rais Joseph Kabila anaenenda.Uchaguzi wa juzi haukuwa huru na haki kutokana na ripoti ya waangalizi wa kimataifa kutoka umoja wa ulaya,lakini Belgium ndiyo nchi ya kwanza kumtambua Kabila kama mshindi kwa kuwa tu wana rasilimali zao nchini Congo. Miaka yote,kazi ya ubelgiji imekuwa kusaidia kuwaweka watu wanaoweza kusimamia maslahi yao kitu ambacho kinapelekea kugawanyika kwa vyombo vya usalama nchini Congo na jeshi kudhoofika kwani habari za kiintelijensia wanazozipata,hata waasi wanazipata vile vile. Pia waasi wameteka jimbo la kivu kaskazini lakini hawaui raia bali wanawahimiza watulie na wananchi wamewapokea vizuri.Nchi nyingi za Ulaya zipo nyuma ya serikali ya Congo na rasilimali zake bila kujali kama wananchi hawafaidiki kwa huduma bora za kijamii.Ndiyo maana miaka mitatu iliyopita Wacongoman walipaza sauti yaondolewe majeshi ya UN...Uganda na Rwanda wanahusika kidogo.
 
Acha uongo JWTZ siyo legelege hivyo, yaulize majeshi yaliyowahi kukabiliana na jeshi la Tanzania yatakwambia. Jeshi la Iddi Amini lilikua linasifika kwa ubora, ukiuliza kilichowakuta utaambiwa. Kuna Mbabe mmoja wa jeshi alishindwa uchaguzi akachukua madaraka kwa nguvu walipoenda JWTZ masaa 24 hayakufika. Tanzania wanaipenda sana hasa bandari zetu lakini wanajua uwezo wetu ndio maana wako kimya. Tanzania tuna mapungufu mengi lakini katika nguvu na mbinu za kivita tuko imara.

Thubutu yako wewe unafikiri Idd Amin tulimpiga peke yetu?
 
Leo kuna ripoti kuwa Waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda wameteka mji wa GOMA.
Huu unaweza kuwa uwasi wa 3 au 4 hivi katika eneo hilo.
Kwa nini Jeshi la nchi kubwa kama Congo linashindwa kwa Waasi kirahisi? Hata Rwanda ni kimkoa kidogo ukilinganisha na Congo!

Jeshi la Congo ni dhaifu, halina training ya kutosha wala vifaa. Ilivyotokea Mali ndivyo ilitakiwa kutokea Congo. Askari walio-well trained wako Kinshasa wakimlinda Raisi huku wale dhaifu kama mgambo ndio wako huko kwenye majimbo na mstari wa mbele wakifa. Sasa kilichotokea Mali askari wa kawaida waliamua kuasi kwa vile kwa muda mrefu waliomba wapatiwe mafunzo na silaha lakini haikuwa hivyo, bali kupelekwa mstari wa mbele na kufa. Now, the same to Kabila hao makamanda wa serikali kazi yao ni kuwauzia silaha waasi huko mashariki.

Congo Siasa.jpg
 
Al Jazeera's correspondent reports from the stadium as crowds cheer the officers handing over their weapons

[TD="class: Tmp_hSpace10"][video=youtube_share;woZnjQAcrx 4]http://youtu.be/woZnjQAcrx4[/video]
DR Congo troops surrender to rebels - YouTube [/TD]

Wapigani wa waasi nchini jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wametishia kuendeleza mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa, siku chache tu baada ya kuuteka mji wa Goma.
Msemaji wa kundi hilo la waasi wa M23 rLt Col Vianney Kazarama amewaambia watu waliokuwa wamekusanyika mjini Goma kuwa wako tayari kukomba taifa hilo.
Awali Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linalolaani kutekwa kwa mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23.
Azimio hilo pia linamtaka katibu mkuu wa Umoja huo kuripoti kuhusu madai ya uungwaji mkono wa mataifa ya kigeni kwa makundi ya uasi yaliyoanza harakati zao nchini Congo miezi minane iliyopita.
Baraza la usalam la Umoja wa mataifa limelaani vikali kitendo cha waasi wa M23 wa cha kuuteka mji wa Goma.
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa tayari limeidhinisha vikwazo dhidi ya mkuu wa kundi hilo na limesema limenuia vikwazo hivyo vitawalenga viongozi zaidi wa waasi .
Wajumbe wa baraza hilo wameelezea hofu kubwa juu ya shutuma kuwa waasi hao wanaungwa mkono kutoka nje hatua iliyopelekea waasi wa M23 kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi
Katibu mkuu wa UN kuchunguza madai

Baraza hilo limemtaka katibu mkuu wa Umoja huo kuchunguza ripoti kuhusiana na shutuma hizo.
121119201418_goma_airport_run_304x171_ap_nocredit.jpg

Raia wakimbia makwao mjini Goma

[video=youtube_share;PjdOkerT2Jg]http://youtu.be/PjdOkerT2Jg[/video]
 
kilicho mtoa Mobutu ndicho kitakacho mtoa Bwana Mdogo J
 
Hali ya maisha ya wanajeshi wa Kabila ni mbaya sana,hawajalipwa mishahara yaani wanaishi maisha ya dhiki sana,yaani wanatia huruma sana...
 
Back
Top Bottom