Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,067
Unadhani hao un wakisaidia vita iishe wao watavuna wapi? Huoni kuwa kuna majeshi ya france na nchi zingine za ulaya-? Ushasikia wanaomba tz, kenya au zambia? Tafuta ile kitu aliyopiga biti jk ya mapanki ndo utajaribu kuujua ukweli. Kongo kukiwa na amani wazungu hawatapata faida yoyote kwani wanajua uchimbaji wa madini unaoendelea sasa hivi ndo faida yao. Kama nchi inakuwa na wanajeshi wasiolipwa mishahara unategemea nini?