Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Chokochoko zote zinazotokea Congo zinaendeshwa na M7 akishirikiana kwa ukaribu kabisa na Kagame. Congo si ni member wa SADC aliyeingizwa kwa nguvu kwenye huo umoja? Si walikuwa wanasema nchi moja ikishambuliwa ni wote wameshambuliwa? Hivi mfano Angola, Botswana au Mozambique wakishambuliwa SADC watakaa kimya?

Midhali dhaifu yupo Magogoni akishauriwa na Banyamulenge Tanzania haiwezi kufanya lolote la msingi ni umburukenge tu, nchi zote zinafahamu hilo. Dhaifu na CCM waturudishie Tanzania yetu na 2015 lazima tuichukue tuondoe hii mikimbizi ambayo haitaki kukaa makwao. Tena utaisikia ikijisifu ati kwao kumeendelea na vineno kede kede , sasa kama kwenu kuzuri mnatafuta nini Tanzania? Wapo banyamulenge wengi tu tena siku hizi na Manyang'au ndio kwanza wanashadidia kupora rasilimali za Tanzania. Congo wata-sort out matatizo yao na wamarekani si ndio marafiki zao. Wacha wauane zaidi ndio watapata akili. Amani wanaisikia wakija Tanzania.
 
Wakiamua kuingia Tz hatuna jeshi la kuwazuia. Mali waliyopora Kongo kwa miongo kadhaa sasa imetumika kuliwezesha jeshi lao kuwa la kisasa logistically.

Ni kweli sisi hatuna jeshi kabisa wanaweza kuingia tu! ila Rwanda unao waabudu ndiyo wanajeshi lenye nguvu sana tena africa nzima siyo east africa tusi unajua watusi nyinyi mna akili nyingi siyo binadamu wa kawaida hahahahahahahaha!
 
Hakuna sababu ya kupeleka vijana wetu Congo.

Kuna sababu za kutosha kupeleka majeshi congo,mambo mengi ya congo ukijumlisha ya kisiasa,kijeshi na kibiashara yanategemee tanzania ukiacha hilo congo ikichukuliwa na na hao wahuni nguvu ya Tanzania katika ukanda wa afrika mashariki na kati itapungua sana japo imeshaaza kupungua kutoka na ushawishi wa kihuni wa kagame na museven katika ukanda huu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wacha uongo kama ingekuwa hivyo tusingekuwa karibu na SADC. Huko ndiko tulipeleka nguvu, huku Congo tunasingiziwa tu ... ... ni hawa wanaotushurutisha kwenye east Africa ambako sisi tunakuwa soko badala ya kuwa wazalishaji wa bidhaa. Manyang'au wamejipanga bila sisi wenyewe kufahamu, je unaweza kuniambia ni sababu zipi zilipelekea mpaka wa kenya na Tanzania kufungwa then kufunguliwa na Sokoine? Hizo nguvu unazosema ni nguvu zipi?
Au ni nguvu za Dhaifu kuvinjari?
 
Ukitaka kuchuma kirahisi wagombanishe. Ndugu hujashangaa kuna askari wa umoja wa mataifa wapo na wa congo pamoja wanafanya nini mpaka M23 wawe na kiburi. The dame west are playing with us as if we are stupid. shame on them
 
Ni kweli sisi hatuna jeshi kabisa wanaweza kuingia tu! ila Rwanda unao waabudu ndiyo wanajeshi lenye nguvu sana tena africa nzima siyo east africa tusi unajua watusi nyinyi mna akili nyingi siyo binadamu wa kawaida hahahahahahahaha!
I was about to write something nasty on the strength of the army chasing your mother daily, but for fear of receiving the first ban ever I have withdrawn the idea. That could be the strongest in Africa though. Sounds sweet?
 
...(Mlima Kilimanjaro na ubabaishaji wa Kenya ktk anga za kimataifa kuwa Eneo la mlima ni lao halafu wakajiongeza hadi Mamtukuna, pale kwenye shule ya ufundi kinyemela, Mkuu Rombo nadhani upo maeneo hayo. .

Lini wakenya wamewahi kusema hivyo? Naomba tufahamishe au acha kuwasingizia.
 
Swala ni vifaa, ari na utiifu kwa amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi la congo na ukubwa wake wote linakosa hivi vitu kwa hiyo lazima lipigwe.
 
Hivi tulivyoenda Comoro tulikua tunatokea wapi?
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?
 
Swala ni vifaa, ari na utiifu kwa amiri jeshi mkuu. Sasa jeshi la congo na ukubwa wake wote linakosa hivi vitu kwa hiyo lazima lipigwe.
There you are. Wanajeshi wetu si wajinga, wanajua fedha zao zinavyoibiwa na kina Shimbo na manunuzi ya vifaa vya jeshi visivyokidhi viwango. Juzijuzi askari wa cheo cha chini ametoa mapendekezo kwenye tume ya katiba mbele ya maofisa wake kuwa askari anayepatikana na hatia ya ufisadi auwawe kwa kupigwa risasi hadharani. Wanaopigana vita ni hawa askari wa chini ambao wako frustrated, their morale is at a record low, ni vita gani tunayoweza kupigana leo? Let's try to be honest.
 
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?

Nakushauri usiingilie mambo usiyoyajua..., museven kila mwaka analeta maofsa wake monduli kwa training.., ushawahi kuskia tz tunapeleka cadets uganda?? pili, kuna wakufunzi wetu wa kijeshi wanafundisha uganda up to this minute..,

Tatu, museven anapitisha silaha zake tz na zinasindikizwa na jeshi letu na watu wa militari intel hadi kyaka,, kwhyo tunajua ana nini na alichonacho kina uwezo gani..., kama ulikua hujui museven alipata mafunzo ya uofsa monduli na hadi sasa PSU yake ndio hua anaileta for training tanzania kwa sababu anaogopa assasination.., kama unabisha kwa lolote hapa ni-pm, ntakupa ushahidi afu rudi hapa jf ukiri kwamba umepata ushahidi
 
yaani museven tumemfunda sisi wenyewe then atushinde!! Basi tutakua wapuuzi na kwa taarifa tu,, brigade ya kusini imeanza mazoezi mahsusi kwa ajili ya mama banda,,, na ni zoezi la brigade nzima, na brigade ikifanya zoezi nadhani mnajua kwamba command zote zinafanya
coordinated exercise

ww endelea kuponda,
jwtz ilikulinda, inakulinda na itaendelea kukulinda
 
Mkuu Morinyo mimi sijui una cheo gani jeshini, but I presume you're not the retired Lt Gen Shimbo. Hivi, do you honestly believe that TPDF can fight a war with Uganda's forces if it were to happen today?

Mkuu Gagnija: Trust me, jeshi letu siyo legelege kama mnavyoamini mtaani.
 
Nakushauri usiingilie mambo usiyoyajua..., museven kila mwaka analeta maofsa wake monduli kwa training.., ushawahi kuskia tz tunapeleka cadets uganda?? pili, kuna wakufunzi wetu wa kijeshi wanafundisha uganda up to this minute..,

Tatu, museven anapitisha silaha zake tz na zinasindikizwa na jeshi letu na watu wa militari intel hadi kyaka,, kwhyo tunajua ana nini na alichonacho kina uwezo gani..., kama ulikua hujui museven alipata mafunzo ya uofsa monduli na hadi sasa PSU yake ndio hua anaileta for training tanzania kwa sababu anaogopa assasination.., kama unabisha kwa lolote hapa ni-pm, ntakupa ushahidi afu rudi hapa jf ukiri kwamba umepata ushahidi

Mkuu Moshe Dayan: Kuna watu wanataka jeshi liende kisiasa siasa, kila tunachofanya tukusanye wahariri tuwambie kinachoendelea.
 
Mkuu Gagnija: Trust me, jeshi letu siyo legelege kama mnavyoamini mtaani.
Unlike many threads, hii naona hata majibu ni ya kistaarabu sana tofauti na nyingine nyingi ambazo tunarushiwa matusi tunapokuwa na mawazo tofauti kama alivyojaribu kufanya hapa mpuuzi anayejiita Kajembe. Asante sana Morinyo na Moshe Dayan.
 
Mkuu Gagnija: As a Great Thinker, we agree to disagree in a win win situation.
 
Back
Top Bottom