Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Kabila mwenyewe ni MnyaRwanda, hivyo hawezi kuwapiga Warwanda wenzie, can you imagine, Jeshi la Congo linaenda kupigana halinalogistic support ya aina yoyote unategemea nini? huwezi amini mkuu wa logistic wa Jeshi la DRC kipande cha East Congo (Nod Kivu, Sud Kivu na MAniema) ni MnyaRwanda, makamanda almost wote ni Wanyarwanda, Jeshi la Congo (FARDC) limetawaliwa na WanyaRwanda mwanzo mwisho
ni watutsi......btw inavyoonekana habari toka huko ni kweli Goma now ipo chini ya Gen Bosco Ntaganda.....Ntaganda ni mtusti pure rwanda wanamsaidia kwa hali na mali......
 
ni watutsi......btw inavyoonekana habari toka huko ni kweli Goma now ipo chini ya Gen Bosco Ntaganda.....Ntaganda ni mtusti pure rwanda wanamsaidia kwa hali na mali......

Asante kwa kuiweka sawa, huo ndio ukweli, Maana wiki iliyopita hao jamaa wa M23 walichapwa na wote wakakimbilia Rwanda na walikuwa na vifaa vya kawaida kabisa, lakini sasa wamerudi wakiwa na vifaa vya kisasa pamoja na jeshi lenye Nguvu kali lililowawezesha kuichukua Goma
 
Waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo leo wameudhibiti uwanja wa ndege wa kimataifa wa Goma, baada ya mapambano makali yanayoendelea kati ya waasi na vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Hali hiyo imetokea wakati ambao Rwanda inavituhumu vikosi vya jeshi la Kongo vinavyoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kwa kulishambulia eneo lake wakati wa mapambano na waasi karibu na eneo la mpakani hapo jana. Msemaji wa kundi la M23, Kanali Vianney Kazarama ameliambia shirika la habari la AP kwa njia ya simu kwamba sasa waasi wanapambana kuudhibiti mji wote wa Goma, baada ya kufanikiwa kuudhibiti uwanja wa ndege na kwamba sasa wako ndani ya mji wa Goma. Akizungumza leo na DW, Mbunge wa jimbo la Kivu Kaskazini, Mayombo Omary Bin Fikira amethibitisha kwamba waasi wameutwaa uwanja huo wa ndege. Mbunge huyo anasema kwa sasa hali ni ya kutatanisha katika mji wa Goma na milio ya risasi imekuwa ikisikika.

SOURCE: DW

Asante kwa kuiweka sawa, huo ndio ukweli, Maana wiki iliyopita hao jamaa wa M23 walichapwa na wote wakakimbilia Rwanda na walikuwa na vifaa vya kawaida kabisa, lakini sasa wamerudi wakiwa na vifaa vya kisasa pamoja na jeshi lenye Nguvu kali lililowawezesha kuichukua Goma

...mnajua hii debate ingekuwa ina make sense kama at least mnaelewa historia ya M23 na Eastern Congo in general na kwa nini M23 wanapigana,lakini seems mnachoelewa ni M23 ni rebels tuu wafanya fujo wanaotaka kutawala AKA Hima empire,go educate yourself then uje hapa may be tunaweza kuwa na fair & reasonable debate,and FYI M23 siyo wachovu na wala hawategemei mtu yeyote wala Rwanda,wana pesa kuliko hata Rwanda kumbuka eastern Congo ni very rich na wana control almost business zote na jeshi lao ni very modern na vifaa vya nguvu kuliko nchi nyingi za Africa na hata Kinshasa wanajua hawawezi kupigana nao,ukweli sio kwamba jeshi la Congo ni dhaifu ila wamezidiwa nguvu na hawa jamaa...M23 sio rebels wenye njaa kama mnavyofikiria na wana very legitimate demand zao kwenye hii crisis acheni kusikiliza propaganda za useless UN na losers wa Kinshasa.
 
acha kuongea urojo we mkimbizi hao m23 wamechapwa alhamis wote wakakimbilia Rwanda then jumamosi saa kumi usiku wameanza kuvamia Goma-Kibati wakiwa na vifaa vya kisasa kabisa ambavyo hawakuwa navyo na troops zikiwa zimeongezwa nguvu zaidi toka Rwanda.by the way sasa dawa yenu inachemka
 
...mkuu upo? nilianza kukusahau,anyway hiyo ni battle ya kina Ntaganda sio Rwanda kwa ndugu zako ...punguza pressure Kagame huko hayupo hizo ni politics tuu za kina kabila kushindwa na M23
 
Nipo,umerudi nyumbani lakini?au unakazana kuchangia agaciro tu.rudi tujenge wote nchi
 
We koba na watutsi wenzako acheni upunguani kwa kujifanya mnataka kuanzisha HIMA EMPIRE

co koba peke ake 2ko wengi,we are in congo to protect the rwandesse n we will tek any measures to make them feel safe
 
Leo kuna ripoti kuwa Waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda wameteka mji wa GOMA.
Huu unaweza kuwa uwasi wa 3 au 4 hivi katika eneo hilo.
Kwa nini Jeshi la nchi kubwa kama Congo linashindwa kwa Waasi kirahisi? Hata Rwanda ni kimkoa kidogo ukilinganisha na Congo!
 
Rwanda ndiyo inayosumbua east africa for your information pamoja na kenya
 
Ni kwa sababu jeshi lao halimo hata kwenye top 20 strongest army in Africa. Haimo kwa nini,just google hizo rank zinapatikanaje utaelewa..
 
Rwanda ndiyo inayosumbua east africa for your information pamoja na kenya

Sina uhakika na unachokiongea, huwezi kulipima jeshi la Rwanda kwa kupambana na jeshi la nchi dhaifu kama Congo, kuna kipindi waasi wakishilikiana na jeshi la Rwanda na Uganda walikua wnakaribia kuukamata mji wa Kinshasa likaja jeshi la Mzee Mugabe likachapa kipigo kikali sana mpaka wakarudi nyuma.

Jeshi la Kenya llienda Somalia kupambana na wanamgambo, likaishia kuaibika mpaka mataifa memngine yakaingilia kati.
 
Leo kuna ripoti kuwa Waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda wameteka mji wa GOMA.
Huu unaweza kuwa uwasi wa 3 au 4 hivi katika eneo hilo.
Kwa nini Jeshi la nchi kubwa kama Congo linashindwa kwa Waasi kirahisi? Hata Rwanda ni kimkoa kidogo ukilinganisha na Congo!
Wakiamua kuingia Tz hatuna jeshi la kuwazuia. Mali waliyopora Kongo kwa miongo kadhaa sasa imetumika kuliwezesha jeshi lao kuwa la kisasa logistically.
 
Kagame ni adui namba moja wa amani na ustawi wa bara la afrika na dunia, umwagaji damu unaoendelea congo ni uchu na tamaa ya kagame kutaka kujilimbikizia mali na kulitawala bara la afrika akiwa mbele ya watusi. Remember, wakongo hawapigani congo, wanyarwanda ndio wanao ua wakongo kwa kisingizio cha uasi!!!!swali, kwanini jeshi la congo limeshindwa kujitetea?
 
Back
Top Bottom