A
Anonymous
Guest
Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya tuchukie kazi na lawama zote zinakuja kwa Watumishi wakati tunafanya kazi kwa mazingira magumu na kujitoa.
Vituo vingi Tunduru hatuna usiri wa kueleza hisia zetu, hata tunapoweka andiko hili adhabu inaweza kuwa kwetu Watumishi wa kawaida ambao ndio tunafanya kazi kwa wingi.
Vituo vingi Tunduru hatuna usiri wa kueleza hisia zetu, hata tunapoweka andiko hili adhabu inaweza kuwa kwetu Watumishi wa kawaida ambao ndio tunafanya kazi kwa wingi.