WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
5,934
2,000
Mbona wikileaks mwezi huu wametukomalia hivyo? au kuna mchezo mchafu unafanyika kwa mgongo wa wikileaks?
Sio kama wikileaks wametukomalia mwezi huu; inaelekea huna ufahahamu wa mtanadao huu!! Haya mambo yamekwishatolewa kwenye mtandao wao sasa wajuzi wamedownload na wanachotusaidia sasa ni kututolea kidogo kidogo bila haraka mambo yaliyofanywa na watawala wetu ambayo walidhania ni siri!! Kaa mkao wa kula; yako mengi yanakuja utashangaa utupu wa viongozi tulionao.

Keynes

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
517
225
Jamani hivi mchakato wa katiba mpya umefia wapi?? labda tukipata katiba mpya tutapumua maana mi nimeshakosa matumaini na nchiyangu kabisa.

Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,616
2,000

BORA TU,NJI INAENDA KIHUNIHUNI HII,WAPO WATU WANAPATA TABU KULIKO UNAVYOJUA! HUKO VIJIJINI AFU MTU ANAPATA "VYUTI" ANAJICHEKESHA CHEKESHA ANAACHIA LINE !
Leo naona umekuja kwa jazba kweli. Lakini unachosema kina ukweli ndani yake. Huu utaratibu wa kuhemea nje ya nchi wa huyu mkuu wetu!!!! Nimetaka kufyonya sijui kunaandikwaje.

Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,616
2,000

OFCOURSE WAMEANZA NA SUTI, MATUMIZI YA VYUMBA VVYA HOTEL KWA FARAGHA THEN WATASEMA NI NANI HAO TENA KWA MAJINA YA KIBANTU WALIOTUMIWA KWENYE FARAGHA HIZO!!!! NA MITAA WANAYOTOKA AKAUNT ZAO ZIKO WAPI NA ZINAINGIZIWA BIE GANI NDO TUTAJUA KIPI KICHWA UPI MKIA SAFARI HII !! WIKILIK ON DUTY
Hivi Salva Rweyemamu alikanusha na hili la matumizi ya vyumba vya hoteli kwa shughuli za faragha? Kama hakukanusha ina maana kulikuwa na ukweli ndani yake?

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,568
1,250
Hapo Makamaba Yusuph angekuwa bado ni Katibu Mkuu wa sisiem angesema "Hawa wikileaks wametumwa na CDM" teh teh teh Mwaka huu tutaona na kusikia mengi kumbe Jairo ni rafiki wa mkubwa hapo sasa aamue kumtosa rafiki au Mizengo Pindisha?

MAKAKI

Senior Member
Sep 2, 2011
166
0
Bora ikulu wangekaaga kimya ya viwalo alivyonunuliwa jk, anaona yamekuwa makubwa! Afu nasikia et huu ni mwanzo tu yapo yanayokuja. Jk kikaangoni sasa!

hali

Member
Feb 2, 2010
25
0
Mbona wikileaks mwezi huu wametukomalia hivyo? au kuna mchezo mchafu unafanyika kwa mgongo wa wikileaks?

Bcause tanzania did not recognise libya revoution! Now u know what i mean?

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
0
Naona Salva atachoka kutoa Majibu aisee....Hv Tz haina pesa mpaka kuwaombea watu wawili nafasi za kusoma nje!!! Hapo kuna hitaji ufafanuzi...Salva najua unayasoma haya itakubidi utoe majibu ya hili manake wewe sio ndio fundi wa kufurumisha majibu sio......Huu unafiki utaisha lini jamani? Aibu kubwa hii.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
Mbona wikileaks mwezi huu wametukomalia hivyo? au kuna mchezo mchafu unafanyika kwa mgongo wa wikileaks?
Hukumbuki Presidenti majuzi tu aliwafanyia tafrija wafanyabiashara wamarekani, sijui alifikiri kwa kuwatarijia nafsi atawafumba vinywa ili adandie pipa kwa mbele aingie Marekani kiulaini kama alivyozoea, na aliposhtukia maandamano ya kumpinga yameandaliwa, akamtuma shushushu wake na kipima joto na matokea yake ziara ile inasuasua. Na kabla hajakaa sawa hao WikiLeaks wameanza kusambaza virus. Presidenti wetu alifikiri Wamarekani wanafikiri kwa kutumia Masaburi.

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,235
2,000
Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.

Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
Issue kubwa hapa siyo kutafutiwa nafasi za mafunzo kwa watumishi wa Ikulu huko Marekni, nadhani tatizo kubwa ni kuhusu watumishi wenyewe, rekodi zao zinazojulikana sasa, na jinsi Kikwete anavyoshughulikia rekodi zao.

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,104
2,000
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and Requests Capacity-Building for State House Staff

3. (C) President Kikwete also raised a personal request
with the Ambassador: his desire to send his personal staff
for management training in Washington D.C. He explained, "I
would like to send some of my aides and maybe some press
officials to the U.S. to gain greater experience on how to
manage a President's Office." President Kikwete named two of
his assistants, Januari Makamba and David Jairo, whom he
believed would benefit from such training. Ambassador Retzer
responded positively, assuring President Kikwete that the
Embassy would look explore every possibility for facilitating
such a training program. While on the topic of fostering
government-to-government exchanges, Ambassador Retzer
informed President Kikwete about an upcoming Congressional
staff delegation, visiting Tanzania on August 8, to explore
the potential for establishing a U.S-Tanzanian legislative
exchange through the Inter-parliamentary exchange program.
Tanzania noma,

Hata maafisa wa ubalozi wa Marekani wanaoletwa Tanzania Kiingereza -lugha yao - hawajui!!!!

You can tell nishachoka kumchoma JK sasa inabidi niwarudi hao wa ubalozi tu.

Kichwa cha panz

Senior Member
Dec 22, 2010
132
195
Wikileaks inafyatua makombora kwa wakati wake, timu ya Julian Assange inasoma alama za nyakati ili kufanya mtando wake up to date, habari za 5 years back zinarushwa hewani leo hapo wewe great thinker think great! Na za Jacob Zuma nazo zipo hewani at the moment!

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,278
2,000
[h=1]Wikileak:Kikwete achukua rushwa, Sakata la Kempiski Zanzibar[/h] Written by administrator // 07/09/2011 // ZenjiLikiz // 1 Comment

C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 000277
SIPDIS
DEPT FOR INR, R.EHRENREICH
E.O. 12958: DECL: 02/13/2016
TAGS: PGOV PREL TZ
SUBJECT: KIKWETE CORRUPTION TIDBIT
Classified By: Ambassador Michael Retzer, Reason 1.5 (d)
¶1. (C) President Kikwete has accepted gifts (bribes) from
the owner of the Kempinski Hotel chain,s Tanzanian
properties, a citizen of the United Arab Emirates.
¶2. (C) In a conversation with the manager and the publicity
director of Dar Es Salaam,s Kilimanjaro-Kempinski Hotel
hours after accompanying A/S Frazer to her October 18, 2005
meeting with then-Foreign Minister Kikwete, I commented on
Kikwete’s flashy attire, asking “Who dresses him?” “We do,”
they responded. Initially thinking this meant Kikwete
frequented a men,s shop in the hotel, I learned later in
the
evening from hotel publicity director Lisa Pile (protect)
that the hotel owner*UAE citizen Ali Albwardy*had recently
flown Kikwete to London for a subsidized shopping
expedition.
Among other things, on that trip Ali Albwardy bought
Kikwete
five Saville Row suits. He had also recently made a $1
million cash contribution to the CCM (which is a legal
contribution under current Tanzanian law).
¶3. (C) Pile told me the Kempinski Hotel chain is greatly
expanding its presence in Tanzania. She said that in
December it would open “the best hotel in Zanzibar.” Her
prediction was a little off; the new Kempinski hotel,
located
on the beach on Zanzibar,s east coast, opened January 5. I
attended the opening ceremony along with Zanzibari
President
Karume, who was asked publicly by Ali Albwardy for a site
in
Stone Town to build a new hotel. Later that day, Pile
revealed that the Zanzibar government had already earmarked
for Ali Albwardy a hotel site in Stone Town.
¶4. (C) Pile also said in the October 18 conversation that
Ali
Abwardy was about to receive the rights to construct two
new
hotels on the mainland: one on the edge of Ngorongoro
Crater
and another on the Serengeti plain overlooking the main
animal migration routes. Stringent conservation rules
currently ban the construction of permanent structures
inside
national parks*including in the crater and on the Serengeti
plain*but Pile said that in November legislation would be
introduced to parliament to authorize the new hotels.
(Comment: We have received no reports on new legislation,
but
the Dar Es Salaam Daily News on January 15 reported that
the
Tanzania National Parks Authority had approved construction
of a five star hotel on the Serengeti plain.)
¶4. (C) Later on October 18, over dinner, an Indian/South
Asian man described as a business associate of Ali Albwardy
briefly took Pile from the table for a conversation in
Kiswahili. I am not sure what was said, but Kikwete’s name
came up several times and he passed her an envelope. Pile
told me the envelope was stuffed with 1 million shillings
( $1,000) and was to pay for a Kikwete meeting at the
Kilmanjaro-Kempinski later that month. Apparently Kikwete
is
a regular customer, but no name ever appears on the hotel
registry when a government bigshot has an “event” in one of
the guest rooms.
¶5. (C) Bio Note: Lisa Pile, an Australian citizen, has
lived
in Dar working for Kempinski Hotels since early 2004.
Before
that she had served in a similar capacity with the
Kempinski
chain in China. Her family in Australia is prominent in
Australia’s Liberal Party (the center-right party of Prime
Minister John Howard).
¶6. (C) Comment: What does it all mean? I don,t know, but
my guess is that the investor Ali Albwardy has access to
oil
money out of the UAE. I suspect giving free clothes and
the
campaign donation is just the way these people do business.
¶7. (C) For his part, Kikwete probably thinks having all
these
five star hotels around is a good idea for the country,and
I
agree with him. His new minister of Natural Resources and
Tourism, Anthony Diallo, says he wants to double tourism,s
contribution to the national economy in ten year,s time.
Kikwete probably believes there is no harm in taking these
&little gifts8 to do what he would have been inclined to do
anyway. That said, they are what they are: bribes.

WHITECable Viewer

Jamani katiba ya Tanzania haitoi fursa ya kumshitaki rais jee munaonaje na hizi skendo..?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,626
1,225
JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office.
.and Requests Capacity-Building for State House Staff .
Nadhani JK mwenyewe alihitaji kwenda kusomeshwa how to manage presidency. Hao anaoapeleka hawamsaidii na haoneshi ku-manage presidency yake yeye mwenyewe.

Kumbakumba

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
222
0
Mwenye nacho ataongezewa na asienacho atanyang'anywa..nchi hii masikini tutaendelea kuwa masikini na matajiri kuendelea kuwa matajiri..unless hii system ya kishenzi iondoke..hawa wote wanaumwezo hata kwa kujilipia wenyewe hayo mafunzo..

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom