WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
0
Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.

Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
You couldn't be more precise and right. Watu wanadhani weakleaks ni kashfa tu. Kuna shida gani kuwaombea watu wakanoe ujuzi wao wa kuchapa kazi? Can't we think about other issues of sigificance to our beloved nation? Angeomba Obama kwa Rais wa Tanzania mngesemaje?
 

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,158
2,000
Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako
Tanzania waje wafanye nini,kwani nyie mna mafuta? Au hujui kua sera ya nje ya marekani ni kupora mafuta katika nchi zenye utajiri huo?
 

Elusive

JF-Expert Member
Nov 26, 2008
223
195
Wacha yawakute, wanapokua na hawa mabalozi wa Magharibi hua wanapenda kubwabwaja,
hawa jamaa wanakua kazini saa zote na kila mnachozungumza kinanakiliwa na ofisia wa ubalozi
wanaeambatana nao, wewe utaona yameisha lakini jamaa wanaweka katika kumbukumbu na
ndio hizo zinazoitwa diplomatic cables. Huyu Assange amefanya kuzitafuta na kuziweka hadharani
sasa zinawaumbua.
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,474
2,000
No wonder inakuwa ngumu kumtema Jairo kumbe ni close friend wa mkuu!
Naona hii sasa ni cinema kati ya Wikileaks na Salva yetu macho na masikio
 

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,843
2,000
Wamarekani, kama walivyo mataifa mengine, wana maslahi yao ya kudumu na wanatumia mianya (i.e weakness + loopholes) kufikia malengo yao. Sasa kama Tz ina mojawapo ya hizo malighafi bila shaka watazitumia na ndicho kilichoko hapa, Kikwete ni dhaifu sana sasa ukichangnya na ukosefu wa uzalendo wa TIS ndio inakuwa mbaya zaidi. Siwalaumu hata kidogo wanaomtumia na kisha kumdhalilisha Kikwete.
 

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
250
ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?
 

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,940
2,000
Unapokuwa ris rais hata kama ni kuomba msaad basi uombe msaada kama rais. Sasa msaada wa kusomesha watu wawili si hata Ikulu inaweza kulipia.

Ningeelewa kidogo kama raisi aliomba msaada kusomesha maofisa wa ikulu na ikulu ndogo zote nchini eg watu 100. Yaani awe anaomba kitu kama rais sio kama yeye ndiye myikulu wa magogoni. Watu wawili kuna haja ya msaada.??????!!!!!!

Ndio uwezo wake wa kufikiri ulipoishia hapo, msimlaumu sana!
 

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,006
1,195
jamani niliskia humu january kapigwa beat kutoingia marekeni asa ingekuwaje ama mlikuwa mnatudanganya maana ile post ilifutwa...
 

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,652
2,000
Inatakiwa watawala wetu wajifunze kwamba si kila kitu ni cha kuongea na hawa jamaa wa majuu. Teknolojia inawaumbua
 

MWEEN

JF-Expert Member
Feb 6, 2010
482
225
Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.

Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
Nakubaliana na wewe 100%. Sio vibaya rais wa nchi kuomba utaalamu kama amejiridhisha kuwa unahitajika na ni kwa tija ya Taifa. Tatizo hapa ni kwa Mheshimiwa kwenda mbali zaidi na kuwa muamuzi kwamba nani aende hiyo safari ya mafunzo. Kama Rais, alitakiwa kuomba tu hiza nafasi. Akizipata, watendaji wake (KM Kiongozi) watapitia mkakati wa wizara na kuteua watakaohudhuria kutokana na mahitaji.

Alichofanya Mkulu cha kuwataja moja kwa moja watakaokwenda hiyo safari "mbele ya wahisani" inaweza kutafsiriwa vibaya kuwa anawapendelea hao watajwa kwa sababu maalum. Pia, KM Kiongozi anaweza kutafsiri kuwa ameingiliwa majukum yake na Mkulu. Kwa upande mwingine, hao waliochaguliwa wanaweza kuvimba vichwa na kumdharau KM Kiongozi kwa sababu ya ukaribu wao na Rais. Hii inaonuesha utendaji usio na taratibu za uongozi.

Pia, hata walengwa watakapokwenda kusoma, kutakuwa na fikra kwa wahisani kuwa hawa wamependelewa, sio kwa nafasi zao kikazi wala uwezo wao kichwani bali uhusiano wao na Mkulu. Ni mbaya kwa pande zote.
 

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
0
Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako
Mkubwa your absolutely right very very right na mtazamo wako umekuwa wa hali ya juu. Kwa kuwa ukweli ni kwamba hakuna chochote cha maana juu story manake hii wala si Scandal sasa ni story isiyo na mana yoyote. Kweli tumwombe Mungu manake hii rangi nyeupe haina maana hata kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom