Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Mkuu nitumie kanamba kake please
Hapana mkuu. Akiwa ni member JF atajiona halafiubinakuwa sio. Ila ni mrembo, biliv me.Picha plz
Mimi nisingetangaza mpaka nihakikishe yamebaki manyoya [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Ndo sketi ziwapite kama mnaogopa Sumu.Kwahiyo unaweza kuijaribu sumu kwa kuionja?
Afu uzazi utapatikanaje sasa??Ndo sketi ziwapite kama mnaogopa Sumu.
Nimewahukumu kwa idadi kubwa sana hapo kana, sio huyu tu!!Ameandika mwanaume mmoja, msituhukumu sie wengine!
mkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
Tamaa ilimponza fisi..Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Afu uzazi utapatikanaje sasa??
Duuuuh!! Hizi pesa zimetufanya tusahau kabisa jukumu kubwa la malezi, tuko busy mno yaani. Watoto wanajilea wenyewe wakisaidiwa na housegirls, walimu na media. Emagine mama anachoka hadi anasahau watoto, si balaa hilo!!!Juzi nilikuwa sehemu moja hivi,
Kuna jamaa yangu moja ana watoto wawili anawasomesha International School moja hivi.
Wana mkwanja mrefu sana na wanafanya kazi kwenye ofisi kubwa tu na mara nyingi yeye au mke wake anapitia watoto shule. Sasa siku moja wale watoto wakasubiri mzazi lakini hakutokea kabisa, wakaanza kulia sana shuleni pale: Bahati nzuri ile shule ilikuwa ni ya bweni hivyo matron akawakataza wasiondoke na akawepeleka walale hostel. Mzazi kupigiwa simu hapokei. Kesho asubuhi wanakuta mama kaja shuleni kachanganyikiwa kwasababu ameambiwa na House Girl kwamba watoto jana hukuwachukua. Sasa naskia amerudi kutoka kazini akalala tu, asubuhi imefika anamwambia house girl andaa watoto na akajibiwa mbona jana hukurudi nao ?? Ndiyo mama kuchanganyikiwa na kuanza kukimbilia shule na kukuta watoto wako darasani tayari. Hapa unategemea upate kijana mwenye kuweza kuwa responsible na ndoa yake ???