Wife ana makusudi sana aisee...!!!

Wife ana makusudi sana aisee...!!!

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
images
 
Huko kwenye kamati kuna jitu linamgonga mkeo....

Badala na wewe uwe busy unakimbilia MMU...

LOFA .
Hapo umepatia kuna ukweli 88%
Mke sio bwege anajua anachokifanya.
 
Umesema vyema, MALEZI. haika kuna ombwe kubwa sana ktk hilo.

Juzi nilikuwa sehemu moja hivi,
Kuna jamaa yangu moja ana watoto wawili anawasomesha International School moja hivi.
Wana mkwanja mrefu sana na wanafanya kazi kwenye ofisi kubwa tu na mara nyingi yeye au mke wake anapitia watoto shule. Sasa siku moja wale watoto wakasubiri mzazi lakini hakutokea kabisa, wakaanza kulia sana shuleni pale: Bahati nzuri ile shule ilikuwa ni ya bweni hivyo matron akawakataza wasiondoke na akawepeleka walale hostel. Mzazi kupigiwa simu hapokei. Kesho asubuhi wanakuta mama kaja shuleni kachanganyikiwa kwasababu ameambiwa na House Girl kwamba watoto jana hukuwachukua. Sasa naskia amerudi kutoka kazini akalala tu, asubuhi imefika anamwambia house girl andaa watoto na akajibiwa mbona jana hukurudi nao ?? Ndiyo mama kuchanganyikiwa na kuanza kukimbilia shule na kukuta watoto wako darasani tayari. Hapa unategemea upate kijana mwenye kuweza kuwa responsible na ndoa yake ???
 
Hapana mkuu. Nipo tu nagonga Heineken zangu kwa mbaaaali...!!! Ntamuandikia namba yng. Halafu yake ntaikariri
Yaani umeaminiwa halafu hauaminiki duu huyo ni shemeji yako sasa hapo ni kuleta vitu vingine wazuri kila siku wanazaliwa ni mbaya sana mtu wako wakaribu kucheat na mtu wako ingali mnafahamiana
 
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga, shemeji yangu Renatha Simon pamoja na kijana Sabinian Stefano (cousin)... Ndugu hawa walitekwa na watu wasiofahamika ambao walikuwa na gari aina ya Noah yenye rangi ya Silver (kwa maelezo ya mashuhuda)

*Je Ilikuwaje?*
Mnamo tarehe 07 mwezi huu (Novemba) 2017 majira ya kati ya saa nne na nusu usiku na saa tano nilimpigia mke wangu simu baada ya kutomkuta nyumbani.

Alipokea na kunijibu kwamba yupo na mdogo wangu wamesimama mara moja kwenye Pub yetu inayoitwa Seblen Pub lakini kuna watu wanaojiita maaskari ni kama wanataka kuwakamata.. nikamuuliza wanawakamata kwa kosa gani? Ndipo nikasikia sauti ya kiume ikimuuliza mke wangu kwa ukali kwamba nani kamruhusu kuongea na simu? Simu ikakatika na kuanzia hapo nikawa nikipiga haipokelewi..

Ilibidi niende haraka sana kwenye hiyo Pub ya Seblen alipokuwepo mke wangu wakati akinipigia simu ili nijue kuna tatizo gani.. ilinichukua takriban dakika 15 lakini nilipofika sikuwakuta.. Nikauliza vijana niliowakuta hapo mke wangu na mdogo wangu wako wapi? Nikaambiwa wamechukuliwa na Maaskari kwenye NOAH ya Silver... Pamoja nao wamechukuliwa ndugu zangu wengine wawili.

*waliochukuliwa/waliotekwa* ni kina nani ?

1. Sayuni Nsoro - Ambaye ni mke wangu.

2. Denis Rulangaranga -Ambaye ni mdogo wangu

3. Renatha Simon - Ambaye ni shemeji yangu wa kike (Ndiye msimamizi wa Seblen Pub)

4. Sabinian Stefano - Cousin wangu ambaye ni mpishi pale Seblen Pub

*Baada ya hapo* nilikimbia kwenda kituo cha polisi Kijitonyama (Mabatini). Nikijua kwa vyovyote watakuwa wamepelekwa hapo... Hata hivyo sikuwakuta. Nikashauriwa niende kuangalia Kituo cha Polisi Urafiki ambako pia sikuwakuta.. nikaenda vituo vingine kadhaa vya polisi usiku huo vikiwemo Oysterbay, Simu 2000 (kilikuwa kimefungwa saa sita hiyo), Chuo Kikuu UDSM, Mtambani, Garden, Mwinjuma, Magomeni, Ubungo Terminal kisha nikarudi tena Mabatini... baada ya mzunguko wote huo nilifika pale Mabatini majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi nikiwa sijapumzika usiku kucha hadi muda huo.

Niliporudi Mabatini nikaandikisha taarifa ya ndugu zangu kutekwa na nikapewa RB namba KJN/RB/10786/2017.. Baada ya hapo nikashauriwa niende Oysterbay Polisi kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa Kinondoni ambapo nilienda asubuhi hiyo hiyo

*Oysterbay Polisi*
Nilifanikiwa kumuona Mkuu wa Upelelezi wa mkoa ambaye alinipa ushirikiano mzuri sana! Alinipa maaskari watatu akiwemo mmoja wa mambo ya mitandao. Mapokezi yao yalinifariji sana kwani tulifanikiwa kuhoji mshuhuda wa tukio na pia tulifanikiwa kufuatilia simu zao ambazo zilikuwa bado zikiita hadi maeneo ya Mikocheni "karibu na nyumba za mawaziri" ambapo polisi wanaendelea na uchunguzi wa eneo hilo

Leo ni siku ya 5 toka tukio hilo la kusikitisha litokee lakini kama ndugu hatujatafutwa na hao watekaji kuombwa chochote na wala hatujapewa taarifa rasmi zozote za walipo ndugu zetu.

Hii imeleta sintofahamu ya hali ya juu katika familia na hivi ninavyoandika wanafamilia hawajafahamu kwa nini hawa vijana wametekwa na hakuna taarifa rasmi tulizonazo

*ujumbe huu unataka nini?*

1. Mtu yeyote mwenye taarifa za hao watu wanne tunamuomba afikishe taarifa hizo kwenye kituo chochote cha polisi.

2. Tunaiomba serikali iingilie kati na iwasaidie polisi ambao mpaka sasa wanafanya kazi nzuri katika kumaliza hili jambo.. pamoja na kazi nzuri ya polisi, sisi kama familia tunaisihi serikali iviruhusu vyombo vyake vingine vya usalama viisaidie polisi ili ndugu zetu warudishwe wakiwa hai na wakiwa salama.

3. Utekaji ule ni wa kinyama na tunomba serikali itusaidie ili kututoa hofu..

C&P from Deo Rulangaranga
 
Mkuu, ndo maana nimesema navumilia hapa mkuu. Ila uzalendo ukinishinda hata namba ya shemeji ni muhimu pia. Hakuna namna
 
Hiyo namba sasa ndiyo inakupeleka huko huko mtaanza kualikana lunch mara dinner mwishowe nini kitafuata achana na namba ni afadhali mtu baki lakini wakaribu piga pic siku mkeo anagundua family yake na ya rafikiye taflani
 
Pole sana
 
Pole sana Deo serikali ina mkono mrefu itafanya kazi yake
 
Hiyo namba sasa ndiyo inakupeleka huko huko mtaanza kualikana lunch mara dinner mwishowe nini kitafuata achana na namba ni afadhali mtu baki lakini wakaribu piga pic siku mkeo anagundua family yake na ya rafikiye taflani
Dah, poa mkuu
 
Alafu huwa mnauliza wanawake kwanini hawaolewi!!! Waume wenyewe ndio hawa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ameandika mwanaume mmoja, msituhukumu sie wengine!
 
Wife ana akili sana. Anajua kuwa huyo binti ni mzuri. Na anataka usiboreke. Hapo kakupigia pande kiaina brother!! Mke hawezi sema direct, mchape huyu. Ila unajiongeza mwenyewe.

Lakini kuwa makini usije aibika na kuleta mgogoro home
 
Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.

Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Picha plz
 
Back
Top Bottom