Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Wakati wa kudance ndio wakati mzuri wa kubambia bambia! From there you can read the signs kama unatakiwa au hutakiwi. Usiingie kichwa kichwa mkuu!
Basi mimi nalala, ukija usiniamshe.ngoja ngoja kidogo my baby
Umbea tu!!
Hapana mkuu. Nipo tu nagonga Heineken zangu kwa mbaaaali...!!! Ntamuandikia namba yng. Halafu yake ntaikaririWakati wa kudance ndio wakati mzuri wa kubambia bambia! From there you can read the signs kama unatakiwa au hutakiwi. Usiingie kichwa kichwa mkuu!
Nipe posho yangu...Umbea tu!!
Siku hizi hatua hizo zimekuwa ndefu sana, balehe haziwaishi.Hahahaha, hizi ni hatua za makuzi tu mbona ???
Mtoto wa kiume akifika 21-25 anakuwa na uwezo wa kutafuta pesa na kufanya kazi sana,
Lakini ulimwengu wa mapenzi unakuwa bado mpya sana kwake tofauti na mtoto wa kike.
Ndiyo maana tunashauri kabla hujaingia kwenye mahusiano chukua muda kujiafanyia tathmini binafsi.
Nikikuwekea Sky hapa na Sakayo pale nikakuambia chagua hapo mmoja utamchagua nani mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]Shimo la panya halizibwi kwa mkate...
Posho ya nini?Nipe posho yangu...
Wote wawili ni mali yangu... Mmoja mke mwingine mchepuko.Nikikuwekea Sky hapa na Sakayo pale nikakuambia chagua hapo mmoja utamchagua nani mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
Kwani umbea hauna posho??Posho ya nini?
Hauna shem.Kwani umbea hauna posho??
Siku hizi hatua hizo zimekuwa ndefu sana, balehe haziwaishi.
Umesema vyema, MALEZI. hakika kuna ombwe kubwa sana ktk hilo.Hahahahaha ni malezi tu; katika balehe kikubwa ni Saikolojia.
Wazazi wengi wanashindwa kufahamu kwamba dunia imebadilika sanaa!
Kijana wa miaka ya 2000 na 2017 ni watu wawili tofauti kabisa kimtazamo wa maisha! (Kisaikolojia)
Mzazi usipokubali au kujua huu ukweli basi huwezi mfundisha vizuri kijana wako kukabiliana na changamoto za ulimwengu huu mpya.
Shem hebu nirushie kwa mpesa.Haya kamata posho hiyo...
![]()
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wote wawili ni mali yangu... Mmoja mke mwingine mchepuko.