Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Hivi bado hujachukua numerali zake? kabla TTCL haijavunjwa rasmiHapana mkuu. Yawezekanw na yy ni member humu labda. Ila daah, ni booonge la mtihani. Kako vzr
Hivi bado hujachukua numerali zake? kabla TTCL haijavunjwa rasmiHapana mkuu. Yawezekanw na yy ni member humu labda. Ila daah, ni booonge la mtihani. Kako vzr
Nakusabahi shemeji.
Sabalakheri shemeji.... waonaje khali yakoNakusabahi shemeji.
Kuweni serious eti umemuamini Simba mpaka unamuweka banda Moja na mbuzi.mkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
Ni bukheri wa afya shemeji.Sabalakheri shemeji.... waonaje khali yako