hapo sasa!! ni kufuga ugonjwa wa moyoAlafu huwa mnauliza wanawake kwanini hawaolewi!!! Waume wenyewe ndio hawa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
hapo sasa!! ni kufuga ugonjwa wa moyoAlafu huwa mnauliza wanawake kwanini hawaolewi!!! Waume wenyewe ndio hawa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tena wa kujitakia kabisaaa.hapo sasa!! ni kufuga ugonjwa wa moyo
Sasa unataka mwanaume wakwako pekeyako??? Tz??? LabdaAlafu huwa mnauliza wanawake kwanini hawaolewi!!! Waume wenyewe ndio hawa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Uzuri wa mashemeji huwa hawakatai
Duuuuh!! Hizi pesa zimetufanya tusahau kabisa jukumu kubwa la malezi, tuko busy mno yaani. Watoto wanajilea wenyewe wakisaidiwa na housegirls, walimu na media. Emagine mama anachoka hadi anasahau watoto, si balaa hilo!!!
Hali ni mbaya sana my kaka.
Haaa mkeo alikagua simu, umeamini yeye sio mjinga kiasi hicho kumuweka hapo pole na hongera ungeleta taflani hata kabla hujafanya chochote cha maanaKweli nimeamini UKIONA CHOO KWENYE NDOTO, USIKITUMIE. Lazima utachafua shuka tu.
Jana usiku wakati harusi inaelekea ukingoni, wife alirudi na nikawa namuona anakagua simu ya yule binti aisee. Nikaona anaandika namba yng ili aone kama jina litatokea, au hata kama alinisevu kwa jina jingine lingetokea tu so long as namba ipo.
Sikuchukua namba.
Mzee wa Hat TrickYan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Alikagua simu ya huyo binti aisee.Haaa mkeo alikagua simu, umeamini yeye sio mjinga kiasi hicho kumuweka hapo pole na hongera ungeleta taflani hata kabla hujafanya chochote cha maana
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umedhamilia mkuu ww ni fisi hata ukiachiwa mke wa mdogo wako utataka umtafune maana x kwa trick hizo za kuhifadhi no kwa mukichwaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapana mkuu. Nipo tu nagonga Heineken zangu kwa mbaaaali...!!! Ntamuandikia namba yng. Halafu yake ntaikariri
Kuaminika ndiyo nini labda jamaa joka..!mkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
Wewe naona panya humjui wewe mkate ukimshinda kula anaugeza sponge akidhania godoro akajifungulie.Hata panya wajua mapenzi yake real yako kwenye cheese mkate haumshtui.
Huko kwenye kamati kuna jitu linamgonga mkeo....
Badala na wewe uwe busy unakimbilia MMU...
LOFA .
Ndiyo huko huko wewe si mtaenda naye [emoji39] [emoji39] [emoji39]Alikagua simu ya huyo binti aisee.
Baby twende tukalale.