Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,618
Nimekuhamu kweli my kaka, za kufichwa?Espy wangu upo wewe ?
Nimekukumbuka hatariii!
Nimekuhamu kweli my kaka, za kufichwa?Espy wangu upo wewe ?
Nimekukumbuka hatariii!
Nimekuhamu kweli my kaka, za kufichwa?
Mie nipo mpendwa, nawasoma tu waume wa siku hizi. Hope we hauko hivyo kaka yangu!!Mimi nipo swalamaa kabisaa!
Nikawanakuvizia kama ntakuaoan viwanja hivi na kweli nimekuona!
Kwahiyo unaweza kuijaribu sumu kwa kuionja?Hata panya wajua mapenzi yake real yako kwenye cheese mkate haumshtui.
Hapana mkuu. Yawezekanw na yy ni member humu labda. Ila daah, ni booonge la mtihani. Kako vzrKapicha mkuu basi tumuone aisee hahah
I miss Kasie...I miss this signature babu Big Sam.
Duh vituko vyako siviweziBaby twende tukalale.
We jamaa bana nimecheka sana hadi nimeulizwa hapa kwa niniMpe mikwara ya dr Shika
Sawa mkuu we endelea kula mema ya nnchiHapana mkuu. Yawezekanw na yy ni member humu labda. Ila daah, ni booonge la mtihani. Kako vzr
Mie nipo mpendwa, nawasoma tu waume wa siku hizi. Hope we hauko hivyo kaka yangu!!
Ulitaka akuache na dume mwenzio au.....Yan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
Ebu tupia kapicha kake tumwoneYan hapa nipo kwenye harusi. Ameniweka na mdogo wa rafiki yake ni mzuri hatari. Yan binti mwenyewe ndo kwanza tumejuana hapa hapa.
Yeye yupo kwny kamati, so hajakaa akatulia. Amemwambia huyo binti ahakikishe nisiwe bored. Jamani jamani jamani. Daaaah...!!! Basi sawa. Ngoja niwe mpole tu aisee...!!!
ngoja ngoja kidogo my babyBaby twende tukalale.