WIFE ALIVYONIHARIBIA SIKU YANGU

WIFE ALIVYONIHARIBIA SIKU YANGU

Mkuu, kwanza kabisa... Inaonekana huyo mkeo ana wivu mkubwa sana na binti ye, yaani haziivi kabisa..
Na alitaka hilo jukumu la kukupakulia chakula afanye yeye..

So anaonesha hivyo ili wewe upunguze ukaribu na binti yako, mate dogo ongea nae kuhusu ukaribu wake na mkeo. (mama ake).

Tafuta mbinu ya kuwa weka karibu..
 
Wewe Ulikuwa Na Kiu Tu Ya Bia..Acha Visingizio Vya Kitoto,,Yeye Kanuna Wewe Kunywa Bia,,Ulitaka Na Wewe Unune..??Usisahau Kumbebea Na Yeye Kama Anatumia Na Wanavyotumia Watoto Wenu....Pindi Utakapo Pata Wasaa Wa Kurudi Kwako..​

🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Mamboya ndani bakizq ndani mwako
Jpili njema

Huku utakutana na wahatibifu wa ndoa tu lih
 
Jilinde na ma bar med mkui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom