WIFE ALIVYONIHARIBIA SIKU YANGU

WIFE ALIVYONIHARIBIA SIKU YANGU

Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Unapambana sana mkuu.
Unakosa amani kwa mkeo kuzira chakula?

Usireact na moody zake bali stick kwenye malezi. Binti yako ni best yako. Kesho mtume tena na usiende kwenye masanga
 
Kosa lilianzia hapo ulipoamua kukaa nyumbani "kwake"na yeye anataka atawale
We Kila ukiamka nenda mishe hata kama hazipo we nenda ukiona namna gani kachukue chumba mahali pumzika hadi jioni sana unarudi
 
We kunywa uwezavyo,ukichoka utaenda kumkuta mkeo nyumbani kawaka zaidi ya ulivyomuacha,badala ya kusolve tatizo wewe unakimbilia pombe.
 
Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Wanawake ni viumbe tata/wagumu kuwaelewa.

nimepata kufahamu kuna muda hawataki amani. Anatafuta kisababu mzinguane ,alie then apo anaridhika 😂.

ilitakiwa ukale mitungi ku refresh…
 
Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Huna baya mkuu lkn usinywe kupita kiasi bado binti yetu mdogo
 
Wanawake wanatuharibia watoto kuna kitoto kingine jana nilikinyuka mboko za kutosha eti nakaomba maji kanacheka cheka tu na mama naye anashabikia
 
Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Alikuwa na ahadi na mchepuko Akawa anatafuta sababu ya kukupa kisogo na kaipata nawe umeingia kwenye mfumo.
 
Habari za weekend wadau,

Leo sikupanga kutoka kabisa nikaonelea nitulie tu home nimalizie mwisho-juma na familia

Basi siku ikaanza vizuti tu kifungua kinywa story nyingi kucheka furaha kama kawaida

Mambo yamebadilika muda wa lunch

Wife katengeneza pilao fresh kabisa msosi umekuja mezani kila mtu ajihudumie kiasi chake anachokitaka

Sasa binti yetu wa Kwanza yupo kidato Cha 2 shue ya bweni Longido huko na kama mnavyojua kwa Sasa shule zimefungwa so yupo likizo nyumbani mpaka January Basi nikamwambia biti yangu nichotee msosi hapo

Eti mama yake kamind ile mbaya mpaka kazira kula, nauliza tatizo ni Nini anasema kwa Nini akiwa shuleni najichotea chakula mwenyewe

Nimekasirika mno na nimeondoka kwa hasira Niko zangu bar napiga gambe Kama vile sitajakaa ninywe Tena napiga maji mpaka usiku mkubwaaa nikirudi home ni kitandani halafu alfajiri mm huyoooo kwa mishe zangu na nitafanya hivi wiki nzima sitaki stress zisizokua na maana Mimi

Eti wadau kwani kosa langu ni Nini hapo
Hahaha pole mkuu, usiwe unakaa sana home, we unadhani wanakufurahia wenzio wanaona unabana.. uwe unasepa ata kucheki mpira bar za jirani ukinywq maji
 
Kosa lilianzia hapo ulipoamua kukaa nyumbani "kwake"na yeye anataka atawale
We Kila ukiamka nenda mishe hata kama hazipo we nenda ukiona namna gani kachukue chumba mahali pumzika hadi jioni sana unarudi
Yaani awe mgeni nyumbani kwake!😊
 
Mkuu, kwanza kabisa... Inaonekana huyo mkeo ana wivu mkubwa sana na binti ye, yaani haziivi kabisa..
Na alitaka hilo jukumu la kukupakulia chakula afanye yeye..

So anaonesha hivyo ili wewe upunguze ukaribu na binti yako, mate dogo ongea nae kuhusu ukaribu wake na mkeo. (mama ake).

Tafuta mbinu ya kuwa weka karibu..
Na kama ana wivu hadi na binti yake ina maana ni dhahiri jamaa yetu sio baba halisi wa mtoto, so mama subconsciously anajua lolote laweza kutokea kati ya binti na mwanetu.🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom