chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Kwa ninavyojua lugha ya kingereza naona maneno mengi yaliyotumika vibaya na umahiri wa kujionesha unajua mengi kuhusu Dr na CHADEMA lakini yote ni ubaguzi tu. Naona ulivyo na ubaguzi mkubwa na wivu, malengo yako yanajulikana maana Dr. Slaa kaanza kushambuliwa kisiasa mwaka 1994 na mpaka leo amedumu. Anasema yeye anajua jinsi anavyowasiliana na Mungu wake. Uchafu wako uliompaka na anaopakaziwa kila kukicha ni ISHARA YA KUMUOGOPA unampa nguvu ya kupiga hatua zaidi.
Bado hajatoka kwenye misingi ya kile anachokiamini. Kama ni hela hazitaji maana ameishi bila nje ya zaidi kuliko kwenye siasa
Bado hajatoka kwenye misingi ya kile anachokiamini. Kama ni hela hazitaji maana ameishi bila nje ya zaidi kuliko kwenye siasa