Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
tatizo hujasoma.................alipofanya vizuri nimemsifia ila alipokosea nimem'mulika..........hakuan matakatifu hapa duniani................aanze kusafisha ufisadi na utawala usiyo bora Chadema mengineyo ataeleweka..waswahili husema "Mkuki kwa nguruwe (CCM) na kwa mwanadamu (Chadema) ni mchungu................lol
Rutashubanyuma
I was touched by your analysis; for naysayers if you want to defends your master come up with something strong to validate your points; this is how we argue in politic point of views; Mkuu Mwita Maranya and your company I am waiting for your analysis.
Chama
Gongo la mboto DSM
Josephine hawa watu wanahangaika kila sekunde iendayo kwa Mungu wao wanamuwaza Dr. SlaaThis is very good.
[MENTION]Mtumishi wetu na Mwita Maranya,
Ataishia kule alikodhamiria yeye mwenyewe. Kiuhalisia huwezi kutoa tathmini ya kukubalika kwa Dr Slaa bila kufanya utafiti kwanza.
nshomile bwana mpaka form sikis...huyu bwana siku hizi anacheza kama neutral player,.anaponda ccm wote anaponda wapinzani wote!!!tuambie nani presidential material unayemuona anafaa mr.know it all
WOWOWO nilichosema katiba hutafsiriwa na mahakama Kuu na wao tayari kuanzia 1996 walikwisha kusema ni rukhsa kuishtaki NEC kama haikuzinatia sheria za uchaguzi katika kumtangaza mshindi wa kiti cha Uraisi. CDM hawakuwa na ushahidi wa kulithibitisha hilo wakabakia kuupotosha umma kuwa katiba ndiyo tatizo......wao siyo mahakama kuu.
viongozi wanajadiliwa kwa matendo yao binafsi na lazima iwe personality analysis..........................ukichukia hiyo ni bakhati mbaya kwako.........
[MENTION]Ruta wewe na mimi tunafahamiana vizuri sana hapa JF, kwa lugha nyingine naweza kusema ulianza zamani sana kumshambulia Dr. Slaa pamoja na Chadema kwa ujumla, labda wageni wa hapa JF ndio hawakufahamu rangi yako halisi, wewe ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo.
Hakuna jipya hapa ulichoandika labda kwa vijana wageni hapa jamvini lakini kwa sisi wakongwe tunajua hii ni mvinyo ile ile ya zamani ndani ya kiriba kipya.
Mkuu Rutashubanyuma,
Hongera kwa article hii ambayo umeiandika vizuri sana kwa mtu ambaye anataka kusoma na kujifunza. Hizi ndio aina za makala za JF kabla ya 2010 na ambazo sasa ni chache sana hapa kijiweni.
Unachoongelea sio tatizo la CHADEMA tu, ndilo tatizo la CCM na vyama vingine. Hilo ndilo tatizo la sisi Watanzania. Hatufanyi juhudi hata kidogo kuondoa udhaifu kwetu kwanza kabla hata tu ya kuuonyesha udhaifu wa jirani. We know how to talk the talk but we are not capable of walking the walk.
Tunajenga culture ya kupinga kila kitu kinachoendana tofauti na mapenzi yetu hata kama kina MANTIKI na kusifia kila kitu kinachoendana na tukipendacho hata kama ni UJINGA.
Group thinking mentality imeota vichwani mwetu kiasi kwamba tumegeuka wafuasi; hatuulizi tunaenda wapi, tunaangalia na kufuata tunaowaabudu wanaenda wapi na sisi kufuata. Mara nyingi tunapelekwa njia ambayo ina mamba na kina kirefu na wengi kuangamia na kuwa mizoga na kuwatengeneza sikukuu vultures.
Sio viongozi wetu tu, I hope wote tutajiangalia upya na kujipima na kujinoa ili tuwe askari wa kupambana na makosa mbalimbali si kwasababu tu yanafanywa na adui zetu bali kwasababu tunaamini ni mabaya hata kama yanatufaidisha sisi na tuwapendao.
Ruta hapa ndipo unazidi kujiaibisha na kubainisha upofu wako juu ya masuala ya uchaguzi na siasa ya nchi hii.
Sheria ya uchaguzi na iliyoanzisha tume ya uchaguzi iko wazi kabisa kwamba hakuna mahakama yoyote ndani ya JMT inayoweza kuihoji NEC juu ya shughuli zake za uendeshaji wa uchaguzi na kutangaza matokeo na kwamba wakishamtangaza mshindi basi hapo ndio mwisho wa story.
Sasa kwa mtu mwenye akili nzuri, tena ya kawaida anafahamu kwamba mahakama za Tanzania hazina uwezo wowote wa kisheria kusikiliza malalamiko ya uchaguzi, sas hilo tamko la 1996 lilitolewa na nani na katika mazingira gani.
Chadema needs to do some revaluation of itself. I am seriously doubting whether Dr Slaa or Mbowe will be good candidates for 2015. Likewise, Chadema has some good policies and well structured but Chadema is lacking the charisma of being people's choice for an alternative political party after CCM. Majority of Tanzanians still have in their minds a view that chadema is either a Chagga's tribe or Christian's party and these views have a much larger effect in their decision making particularly during the election period. Believe it or not
CDM ni chama kinachokuwa kwa kasi sana na watu wanakifuata bila shuluti. matatizo ya kiuongozi na challenges kama hizo lazima ziwepo.
CCM wana uzoefu wa kuongoza nchi kwa miongo kadhaa -- so stand still chadema, angalieni hizi challenges na kuzifanyika kazi -- i mean za kipuuzi waachieni walioziandika zenye mantiki basi haraka haraka chukueni ; sisi wananchi bado tunawaamini.
Personal attacks kwa DR. lazima ziwepo maana CDM ni chama kinachopendwa na kuaminiwa na umma, kimbilio la wanyonge.
Before 2010 election CDM ilikuwa na wabunge 5 tu, baada ya 2010 CDM ikawa na wabunge 43 - ukuaji ni 860% - hapo lazima kuwe na challenges.
Dr Slaa anaogopwa sana tena sana hili ndilo naliona kwenye makala hii! Mtu hata hajatangaza nia ya kugombea watu wanahofu na siku akitangaza sindio watapelekwa india kutibiwa, sisi watanzania halisi tunasubiri 2015 tujue mbivu na mbichi hatusikii tena habari za Gamba gumu.
labda niseme tu kwamba kwenye kila chama hakukosi kasoro na ndani ya Chadema zipo na zinashughulikiwa ipasavyo na ndicho kinachowauma wa upande wa pili maana wao hawawezi kushudhulikia kero ndani ya chama chao.
Dr ni mwiba kwa wale wa upande wa kijani na njano na makala za namna hii tunazitegemea sana kuelekea 2015.
[MENTION]I pray we are not heading for another "things fall apart, the center cannot hold anymore...Corruption, poverty, greediness and less access to health, education and other services. Kikwete has done more damage than any leader in our country history. I don't see Dr Slaa his reputation to be damage.
Tuhuma ya pii kuhusu kwenda mahakamani kuhoji matokeo ya Urais wa 2010 , ni umbulula kwani hujui kuwa katiba ya sasa imekataza? Ama wewe uko ulimwengu upi ? Unajua kuandika kiingereza pkumbe huna uelewa wa mambo?