Why do we repeat generational cycles, from time to time!

nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sio kama nakata mdeitatition ni tiba hapana, ila ni tiba ya kujiweka sawa kwa muda tabia ,meditation ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?

Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life

hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,

mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli
Mkuu ukikubali kujifunza,kubali pia kuwa open Minded.siyo kushikilia vitu mlivyo karirishwa sijui damu ya yesu,n.k.Siwadharau ila walokole mnabore mnoo..

Inabidi uelewe kwanza laana zinazo zungumzwa ni zip? Nitakutajia chache,mfano magonjwa,umaskini,ulevi n.k. ila zipo nyingi

Hizi laana ama hizi tabia kimsingi zipo kwenye DNA,,kiasi kwamba itajirudia kizazi hadi kizazi..maana zinarithiwa...zinaweza ku skip kizazi fulani but zitajitokeza kule mbele.

Tafsiri yake ni kwamba kama kitu kinaweza kujirudia rudia maana yake kipo kwenye DNA,ili uondoke kwenye hyo cycle unapaswa kwanza ubaini hilo tatizo pili ufanye meditation na Yoga..ndo njia pekee ya kuchange DNA na zile imprints ambazo hutoa matokeo hasi zitaondoka..zitabaki zile chanya.

Automatically utakuwa umevunja yale maagano ambayo yalikuwa yanajirudia rudia..
 
Unafahamu kuwa laana ni DNA?
Ndio maana hata biblia imeandika inarithiwa kizazi hata kizazi?

DNA ndio inabeba tabia na maumbile yetu,
Unaporithi vitu kama sura, rangi, sauti au gestures kutoka kwa mzazi ni sawa na kurithi vitu vibaya kama tabia na fikra ambazo ndio huwa identity yetu,
Laana ni pale unaporithi vitu negative kama nilivyotaja hapo juu na baraka ni pale unaporithi vitu ambavyo ni positive,

Laana sio maneno ndio maana huwezi kuivunja kwa maneno,
Nikirudi kwenye point yangu ili unielewe ni hivi "DNA zetu tunaweza zitengeneza upya kupitia matendo mapya, meditation na nia thabiti" na hiyo ndio dini ya kweli.

Na kupitia kubadili fikra ndio tunabadili DNA,
Tukishabadili DNA unaweza badili mtazamo wa kizazi na watoto utakaowazaa watakua na fikra mpya hata kama kulikua na magonjwa ya kurithi yanapotea,
Na ni kazi ngumu sana ndio maana biblia imeandikwa tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu, na pia
imani kama chembe ya haradali yaweza fanya mambo
Yote hiyo ni kuonesha namna binadamu kupitia fikra zetu tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa juu yetu na juu ya watu wengine
Mkuu yaonesha na wewe uko vizuri kwenye hizi mambo,,wengi nikiwaambia wanaona kama vitu vya kufikirika. Seran mzingatie pia huyu jamaa...
 
hivi ulokole ni nini? na kwanini mnawabeza Walokole waliwafanya nini? hivi unaweza kujilinganisha wewe na mtu anaeisoma biblia kila siku? maarifa mazuri na yenye kuiponya nafsi yapo kwenye maandiko matakatifu,umeelewa ila umekomalia na hoja yako ya meditation nimeuliza meditation inaweza kuondoa laana ya umasikini,laana ya vifo vyenye kufanana kwenye familia,maradhi nk nakuonyesha namna ya kutibu tatizo kwenye mnyororo wa ukoo na sijakuambia ni lazima uamini ila naeleza jambo ambalo ninalijua kwa undani wake ,ukijibiwa kwa ushahidi unaanz kusema walokole wanakuboa 😀😀 kama huwezi kujifunza watakuboa sana,

kwanza ulokole ni nini nimeuliza hili swala sijapata majibu yake,na pia ukiwa kwenye mjadala acha kuonyesha hisia zako hasi kama hasira,hakuna sababu ya kukasirika kwasababu tu hoja imetoka kwa mlokole kaongolea damu ya yesu,brother damu ya yesu ndiyo agano liloletwa ili kuokuomboa ulimwengu kukuondolea dhambi zako wewe 🫵
 
Huwezi kuelewa,haya mambo siyo level yako..wewe endelea na damu ya yesu..
 
sawa kaka nimekuelewa😂😂😂,ila yesu anaponya lakini kwa mambo mengi kaka ,anasubiri umkiri sasa na awe mwokozi wa maisha yako na familia yako sasa na hata milele
 
Watu siku hizi hawamtegemei huyo yesu tena mchungaji😂 wanaona kama hizo habari za uponyaji ni story na drama tu🥹Dunia ngumu sana hii🤦🏽‍♀️
 
alie ndani yetu yani roho ya Bwana ni mkubwa sana kuliko aliekua duniani ,najua kazi ya Mungu inapigwa vita sana tunachukuliwa watu wenye wokovu kama tumepungukiwa akili lakini sio kama hatuna akili,tuna akili vyema kabisa very educated lakini shetani anatumia watu kutuvunja moyo tunaonekana mapoyoyo tu
 
Na tunatukanwa sana jamani🙌🏾
 
Why do i find generation patterns scary!

Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people

Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner and the cycle continues

Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,

Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time

We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?

Its hard and takes time

Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles

Anyway tuishi tu
Born to suffer
Kwa Mtu mwenye akili na Ufahamu atarealize kuwa umeandika vitu vya muhimu sana....For the Successful people...they decided to cut the chain, they decided to live & act different from their Ancestors, For most middle & low income individuals its hard, they inherit almost everything, starting with poverty, polygamy, Alcoholic addiction & the like and they are proud of it 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo masikini ndio tunaamliwa😰 hii inafikirisha sana! Nitakosa usingizi walaqhi🥲
 
Watu wanarithi mpaka umasikini...generation to generation

For the Successful people...they decided to cut the chain, they decided to live & act different from their Ancestors, For most middle & low income individuals its hard, they inherit almost everything, starting with poverty, polygamy, Alcoholic addiction & the like and they are proud of it 🤣🤣🤣
Inanifikirisha sana😰
 
but how can we break them?
Usizae na cycle ndio inaishia hapo na tusipozaa dunia itakosa viumbe wa kuishi zaidi ya wanyama ndege na samaki wa bahari ambao na wenyewe wakisema km unavyosema wewe basi watafutika maana watagoma kuzaliana

Mfano kila siku Simba anapoamka Afrika cha kwanza anachowaza kichwani ni vipi atakua na mbio zaidi kuliko swala ili asife njaa na Swala kila anapoamka Afrika hua na anachowaza kichwani kwamba ni vipi atakua na mbio zaidi kuliko Simba ili asife kizembe,

Sasa siku Simba akisema amechoka hataki tena kizazi chake kiwe cha kukimbiza Swala tu kila siku ataacha kuzaa maana yake atakifuta kizazi chake na Swala pia siku akichoka atasema naacha kuzaa sitaki kizazi changu kije kua kinakimbizwa na Simba tu kila siku kwa hio Simba na Swala watafutika itabakia miti, mapori, maji, ndege wa angani na Samaki wa bahari

Hii maana yake nini? Kila kiumbe kikisema kimechoka hakitaki cycle yake iendelee maana yake Uhai utatoweka ikiwa kila kiumbe kitaacha kufanya re-production
 
Why do i find generation patterns scary!

Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people

Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner and the cycle continues

Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,

Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time

We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?

Its hard and takes time

Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles

Anyway tuishi tu
Born to suffer
Yaani nimerudi JF nimekutana na hii Powefull Thread tunaweza kuiona ni just simple but its very Powerfull sana... Mallerina Hongera sana,
nimeamini JF bado kuna Great thinker..

kwa sababu what you’re describing is real, and it touches something deep na tunaita the fear that your life is not fully yours. au unaweza ukaita Heteronomy ...very Powerfull sasa Mpaka hapa umekwisha vunja Mnyororo MMoja unaitwa alethophobia the fear to face the truth na ndo maana umeamua kusema.

When you notice patterns repeating across families, relationships, and generations, it can feel like people are trapped inside an invisible script. Same wound, different faces. Same story, different names. That is frightening because it challenges the idea of freedom. umeona tagline yangu inavyosema???

"Imprisonment of the mind is the worst imprisonment of all; it needs no walls, bars, or chains. It binds from within, willed and inflicted by the victim themself."

kitendo cha kujiuliza tayari umeonyesha hauko willing kuendelea kuwepo gerezani..

na ndo maana you started to investigate the pattern but the patterns are so powerful you cannnot break them , but usisahau they are not permanent.

What repeats is usually not destiny. Mara nyingi ni:
  • what was normalized (wengi wanaona ni sawa cuz wamekuwa foged mind wamefungwa akili)
  • what was modeled
  • what the nervous system learned as “love,” “safety,” or “home”
  • what remained unhealed
So yes, someone raised in emotional unavailability may later feel drawn to emotionally unavailable partners. Not because that is what is good for them, but because it is familiar. The body often confuses familiarity with safety, na hapa ndo kuna changamoto kubwa sana.

That is why people sometimes do not choose peace. They choose what matches their old wounds.

Kwa hiyo unaposema:

we don’t choose what’s good for us but what we are familiar with
that is very close to the truth.

A child of a father who neglected family may grow up repeating that pattern, or swinging to the opposite extreme, or living in fear of becoming like him. Even resisting a pattern can still mean it is controlling you. Healing starts when you can see it clearly and choose consciously.

How do cycles continue?

  1. Through modeling
    We learn love, anger, conflict, silence, money, sex, loyalty, and self-worth by watching.
  2. Through the nervous system
    If chaos was normal, calm may feel strange. If distance was normal, intimacy may feel dangerous.
  3. Through beliefs
    “Men are like this.”
    “Love is hard.”
    “Nobody stays.”
    “Suffering is normal.”
    These beliefs act like hidden rules.
  4. Through unprocessed pain
    Pain that is not faced often gets acted out.
kwahiyo sasa How do you break cycles?

Usually by small repeated acts of awareness.

You break cycles when you begin to notice the pattern kama nilivyosema mwanzoni kabisa kipindi naanza kuchangia so you notice the pattern but without romanticizing it.
kwa lugha nyepesi zaidi ninaweza kusema

You break a cycle when your awareness becomes stronger than your conditioning.

And yes, it is hard. Very hard. Because healing often feels unnatural before it feels peaceful.

That does not mean you are failing. It means you are retraining a whole inner system.
kumbuka Kuheal kutokana na cycle hizi ni painfull kuliko unavyofikiria kwa sbabu zimekuja na zimo kwenye Information zetu kwahyo zipo kwenye DNA yetu kabisa..

so You may inherit wounds, tendencies, fears, and unfinished emotional burdens.
But you also inherit strength, survival, intelligence, intuition, and resilience.

So you are not only carrying their pain.
You may also be carrying their unfinished healing.
ukianza kufanya meditation na YOGa kama healing process unaweza kuondoa ila mwanzoni utapitia hizo pain zote ili uzijua so Its painful process to Breaking the cycle

That is why some people in a family become “the one who sees it.”
That role is heavy, but it is sacred too.

Nakukumbusha Kitu kimoja "the fact that you can see the cycle means you are already partly outside it."
cuz People fully trapped in a pattern rarely stop to question it this deeply.

so your the chosen one to break the cycle of the really world you living right now!

nakukumbusha Soma research zinazohusiana na Hawthorne effect..
hata Dini ni moja ya Hawthorne effect
 
Mkuu km mimi nimemwelewa huyu mleta mada yeye anazungumzia kuhusu cycle ya kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine kwa hio ni kwamba hataki hayo anayoyapitia yeye ambayo tayari yapo kwenye lineage yake yafike kwenye kizazi chake kinachofuata maana kwa anavyoona yeye km yeye ni mtu wa tabia fulani basi lazima kizazi chake kitakua na tabia hizo yaan hio haifutiki mfano km ni mtu wa tungi basi kizazi chako kitakua cha tungi pia km ni mtu wa wanaume basi kizazi chako kitakua hivyo ukiwa mtu wa wanawake the same kizazi chako kitafuata njia ile ile uliyopita wewe hapo kabla ni km kinaongozwa njia ile ile uliyopita wewe hapo kabla, sasa yeye anataka njia hio ife anaiua vipi?

Namna pekee ya kuiua hio cycle njia pekee ni yeye asizae mtoto hata mmoja abakie yeye km yeye yeye akienda chini na cycle imefia hapo yaan hapo hakuna namna nyingine. Wapo watu wanafanya hivyo na hawana mtoto hata mmoja mpaka sana yaan anataka akifa yeye na cycle yake imekufa kabisa hakuna kizazi kitakachofuata nyuma kikipita njia zilezile km kizazi cha Tembo au Ngedere.
 
Yaani nimerudi JF nimekutana na hii Powefull Thread tunaweza kuiona ni just simple but its very Powerfull sana... Mallerina Hongera sana,
nimeamini JF bado kuna Great thinker..

kwa sababu what you’re describing is real, and it touches something deep na tunaita the fear that your life is not fully yours. au unaweza ukaita Heteronomy ...very Powerfull sasa Mpaka hapa umekwisha vunja Mnyororo MMoja unaitwa alethophobia the fear to face the truth na ndo maana umeamua kusema.

When you notice patterns repeating across families, relationships, and generations, it can feel like people are trapped inside an invisible script. Same wound, different faces. Same story, different names. That is frightening because it challenges the idea of freedom. umeona tagline yangu inavyosema???

"Imprisonment of the mind is the worst imprisonment of all; it needs no walls, bars, or chains. It binds from within, willed and inflicted by the victim themself."

kitendo cha kujiuliza tayari umeonyesha hauko willing kuendelea kuwepo gerezani..

na ndo maana you started to investigate the pattern but the patterns are so powerful you cannnot break them , but usisahau they are not permanent.

What repeats is usually not destiny. Mara nyingi ni:
  • what was normalized (wengi wanaona ni sawa cuz wamekuwa foged mind wamefungwa akili)
  • what was modeled
  • what the nervous system learned as “love,” “safety,” or “home”
  • what remained unhealed
So yes, someone raised in emotional unavailability may later feel drawn to emotionally unavailable partners. Not because that is what is good for them, but because it is familiar. The body often confuses familiarity with safety, na hapa ndo kuna changamoto kubwa sana.

That is why people sometimes do not choose peace. They choose what matches their old wounds.

Kwa hiyo unaposema:

that is very close to the truth.

A child of a father who neglected family may grow up repeating that pattern, or swinging to the opposite extreme, or living in fear of becoming like him. Even resisting a pattern can still mean it is controlling you. Healing starts when you can see it clearly and choose consciously.

How do cycles continue?

  1. Through modeling
    We learn love, anger, conflict, silence, money, sex, loyalty, and self-worth by watching.
  2. Through the nervous system
    If chaos was normal, calm may feel strange. If distance was normal, intimacy may feel dangerous.
  3. Through beliefs
    “Men are like this.”
    “Love is hard.”
    “Nobody stays.”
    “Suffering is normal.”
    These beliefs act like hidden rules.
  4. Through unprocessed pain
    Pain that is not faced often gets acted out.
kwahiyo sasa How do you break cycles?

Usually by small repeated acts of awareness.

You break cycles when you begin to notice the pattern kama nilivyosema mwanzoni kabisa kipindi naanza kuchangia so you notice the pattern but without romanticizing it.
kwa lugha nyepesi zaidi ninaweza kusema

You break a cycle when your awareness becomes stronger than your conditioning.

And yes, it is hard. Very hard. Because healing often feels unnatural before it feels peaceful.

That does not mean you are failing. It means you are retraining a whole inner system.
kumbuka Kuheal kutokana na cycle hizi ni painfull kuliko unavyofikiria kwa sbabu zimekuja na zimo kwenye Information zetu kwahyo zipo kwenye DNA yetu kabisa..

so You may inherit wounds, tendencies, fears, and unfinished emotional burdens.
But you also inherit strength, survival, intelligence, intuition, and resilience.

So you are not only carrying their pain.
You may also be carrying their unfinished healing.
ukianza kufanya meditation na YOGa kama healing process unaweza kuondoa ila mwanzoni utapitia hizo pain zote ili uzijua so Its painful process to Breaking the cycle

That is why some people in a family become “the one who sees it.”
That role is heavy, but it is sacred too.

Nakukumbusha Kitu kimoja "the fact that you can see the cycle means you are already partly outside it."
cuz People fully trapped in a pattern rarely stop to question it this deeply.

so your the chosen one to break the cycle of the really world you living right now!

nakukumbusha Soma research zinazohusiana na Hawthorne effect..
hata Dini ni moja ya Hawthorne effect
Powerful 👏
 
Back
Top Bottom