MKuu unajua nini,watu huleta confusion..kwenye kuvunja Generational Curses,huamini akiombewa na mchungaji ama akikesha kuomba atavunja..kwanza inabidi watu wafahamu laana ni imprints zipo kwenye DNA,na tukumbuke DNA ndizo hushawishi outcome iwe ya aina gani...Kwkaweli hiki ni tatizo kabisaa, tumsaidie mwenzetu huenda akaweza kuondoa hiki kitu kwenye maisha yake!
-Nmesoma kundalin nimeokota kidogo🥹
Duhh itabidi tuongee vizuri mkuu! Mambo ya kujifunza ni mengi sana🤔MKuu unajua nini,watu huleta confusion..kwenye kuvunja Generational Curses,huamini akiombewa na mchungaji ama akikesha kuomba atavunja..kwanza inabidi watu wafahamu laana ni imprints zipo kwenye DNA,na tukumbuke DNA ndizo hushawishi outcome iwe ya aina gani...
Hivyo kama umebeba zile chembe chembe kwenye DNA,tunategemea ufanye juhudi fulani(Yoga&Meditation)..hyo pekee ndo njia ya kubadilisha zile DNA..hyo imekuwa proved hata kisayansi..huwezi kubadilisha kwa kuomba ama kuombewa. Hyo pain ya ku release hizo dark energy lazima uzifeel.
Yeah meditation inabadilisha mtazamo wa mtu katika kufanya maamuziMKuu unajua nini,watu huleta confusion..kwenye kuvunja Generational Curses,huamini akiombewa na mchungaji ama akikesha kuomba atavunja..kwanza inabidi watu wafahamu laana ni imprints zipo kwenye DNA,na tukumbuke DNA ndizo hushawishi outcome iwe ya aina gani...
Hivyo kama umebeba zile chembe chembe kwenye DNA,tunategemea ufanye juhudi fulani(Yoga&Meditation)..hyo pekee ndo njia ya kubadilisha zile DNA..hyo imekuwa proved hata kisayansi..huwezi kubadilisha kwa kuomba ama kuombewa. Hyo pain ya ku release hizo dark energy lazima uzifeel.
This is very serious challenge in Africa. Most of people believe kids are blessing, but they don't take into consideration that parenting require financial stability.Same also as poor human being bringing another beings into the world to re live his vicious cycle of poverty
Mkuu,kuna tofaut ya maamuzi ambayo hutokana na consious ya mwanadamu,hayo yapo kwenye control yako..kuna yale ya subconcious mind hayo hayapo kwenye control yako hapo ni kwenye DNA comand...hapo ndo kuna imprints za tabia nyingi aidha hasi ama chanya..unaweza kujicontrol wewe,lakini kizazi chako cha tatu kikaja kukutana na zile tabia kwa zababu umezisambaza kwa njia ya DNA,,Chukulia mfano wa Christian Ronaldo , baba yake Ali athirika na pombe , Christian akajiwekea hato gusa pombe wala kufuga ndevu ili akate kabisa ile mifumo ya maisha ya baba yake aliyojiwekea na sasa ni kati ya binadamu mwenye mafanikio makubwa duniani 🤔
Hayo mambo ni juhudi na kujijengea mikakati na nidhamu binafsi tu
"history repeats itself"Why do i find generation patterns scary!!?
Tell me why we repeat same cycles from every now and then its like same script plqyed by different people,,,.....
Mfano.... if one is raised in an emotionally unvailable family attrcts emotionally unavailable partner,🤔and the cycle continues
Kwa mwanaume kama baba yake alikuwa hatunzi familia uwezekano wa yeye kutotunza yake ipo juuu au kuwa mlevi au malaya,
Sawa ancestors are living in us tumekubali they continue to live through us and cycle continue when we fail to break them from time to time....
We have to break the cycles because it heals your entire lineage, past, present and future but how can we break them?????
Its hard and takes time
Ive come to realize we dont choose whats good for us bt what we are familiar with probly because of repeated cycles
Anyway tuishi tu ...
Born to suffer
Nlikuambia mkuu ni mengi mnoo,na hizo laana zipo nyingi mnoo..ni vitu real siyo vya kufikirika..maana pain yake huwa Real pale hizo dark energy zinapo ondoka mwilini mwako..siyo ile ya kuanguka mashetani lakini 😀Duhh itabidi tuongee vizuri mkuu! Mambo ya kujifunza ni mengi sana🤔
Yenyewe inakuwaje mkuu😅Nlikuambia mkuu ni mengi mnoo,na hizo laana zipo nyingi mnoo..ni vitu real siyo vya kufikirika..maana pain yake huwa Real pale hizo dark energy zinapo ondoka mwilini mwako..siyo ile ya kuanguka mashetani lakini 😀
Hii naikubali kwa 100% mwaka 2015 mpaka 20 nilifanya meditation kila siku nilikuwa wa tofauti sana kuna tabia zilipotea tu , zikajijenga tabia ambazo nilikua nina maamuzi nazo , ila nilivyoacha kwa mda mrefu niliona nimerudi kwenye tabia nisizoziweza kuzidhibiti kirahisi 🤔Mkuu,kuna tofaut ya maamuzi ambayo hutokana na consious ya mwanadamu,hayo yapo kwenye control yako..kuna yale ya subconcious mind hayo hayapo kwenye control yako hapo ni kwenye DNA comand...hapo ndo kuna imprints za tabia nyingi aidha hasi ama chanya..unaweza kujicontrol wewe,lakini kizazi chako cha tatu kikaja kukutana na zile tabia kwa zababu umezisambaza kwa njia ya DNA,,
Yoga na meditation ndizo huweza kuvunja hayo,kwa kuchange kabisa DNA..
Sahihi mkuu,vip ni tabia nzuri lakini mkuu?Hii naikubali kwa 100% mwaka 2015 mpaka 20 nilifanya meditation kila siku nilikuwa wa tofauti sana kuna tabia zilipotea tu , zikajijenga tabia ambazo nilikua nina maamuzi nazo , ila nilivyoacha kwa mda mrefu niliona nimerudi kwenye tabia nisizoziweza kuzidhibiti kirahisi 🤔
Mkuu kuna pain unaisikia mwili mzima,na kuna pain ya Nafsi kwa maana ya emotional pain unakuwa unaifeel...umefikia wap kwenye kazi nilokupatiaYenyewe inakuwaje mkuu😅
Yah zinaweza kua ni nzuri tu ila kwangu hazina afya , ila nimeweza kugundua faida ya kufanya meditation kwa Consistency kubwaSahihi mkuu,vip ni tabia nzuri lakini mkuu?
Kipindi fulani ulikuwa mdau mzuri kwenye nyuzi za meditation,lakini ukapotea.Yah zinaweza kua ni nzuri tu ila kwangu hazina afya , ila nimeweza kugundua faida ya kufanya meditation kwa Consistency kubwa
Yeah kumbe ile ID uliijua😅 , ila sasa nipo kwenye mchakato kabambe wakujifanyia usafi mkuu , nitarudi tu😅Kipindi fulani ulikuwa mdau mzuri kwenye nyuzi za meditation,lakini ukapotea.
Nimesoma viwili tu hicho cha pili uwii sielewi🙆🏽♀️Mkuu kuna pain unaisikia mwili mzima,na kuna pain ya Nafsi kwa maana ya emotional pain unakuwa unaifeel...umefikia wap kwenye kazi nilokupatia
Naam mkuu,mwenyewe sikuwa natumia hii ID those days..ilipata hitilafu fulani..napambana ziunganishwe. Karibu mkuu tuendeleze mapambano ya kujitambua kwa njia ya meditation &YogaYeah kumbe ile ID uliijua😅 , ila sasa nipo kwenye mchakato kabambe wakujifanyia usafi mkuu , nitarudi tu😅
Mkuu,naomba ujitume..source ya kufanikiwa kwenye hii safari ya kuelewa haya masomo ni kujituma..Nimesoma viwili tu hicho cha pili uwii sielewi🙆🏽♀️