Sijui kwanini huwa nakwepa kuwa mwalimu wa haya mazoezi tu😃😃How to meditate?!
Haujawahi kufanya meditation kabisa?Tufunze jmni
Nitakufundisha siku moja,unikumbushe tuHapa naskiaga tu medication
Yeah kutoka moyoni kabisaKutoka moyoni au unasema kunifurahisha
Kesho nitakua freeSijajua ratiba Yako lakini
Na mimi nimekumiss pia best yangu ❤️😂Nimekumiss ww pastor
Na mimi nimekumiss pia best yangu ❤️😂Nimekumiss ww pastor
au sio 🤣🤣🤣Namsoma..😅
kuna topic moja ya biology inatuambia kitu au kiungo ambacho hakitumiki kinakuja kuwa mfu and malfunction 🤗,olewa binti wa zamani ukazae matunda ukaijaze duniaAsante mwanakwetu, JF huwa nakuja kujiburudisha so najizima data tu.
Sijapenzika muda mrefu mpaka naogopa pataziba 😆 😆
Napenda wanawake ambao akili zao ni “beautiful” .Our brains are wired to prefer what is familiar over what is healthy. Ulivyokuzwa utotoni ndiyo inashape attachment styles, how we love, regulate emotions, behave, work, and define what is acceptable or not. Vitu vichache sana hasa vya kitabia na kihisia tunajifunza ukubwani.
Kama umekulia mazingira ambayo siyo mazuri, step ya kwanza ni awareness; mfano “mzazi wangu ambaye hakunilea, hakua mtu mzuri na mimi inabidi nijitahidi kutokuwa kama yeye" watu wengi huwa hawafiki hapo, watalaumu kidogo, halafu wanaona sawa tu, mbona wameishi.
Mtu kama huyu na yeye anaenda kuzalisha watoto na mama tofauti na watoto wanakaa kwa mama zao labda anawaona mara moja kwa mwaka au pale anapoweza. Akijitahidi kuwa tofauti na baba yake, basi atatuma pesa za matumizi kwa watoto na atajiaminisha hapo yeye amelea kikamilifu na inatosha kabisa. Why? possibly kwa sababu hajawahi kuona mfano wa malezi bora ya present father inabidi aweje au anafikiri kama mama yake aliweza kumlea, basi na hata hawa wanawake wengine watalea tu hao watoto wake.
Breaking patterns requires conscious effort to unlearn harmful behaviors and consistently practice healthier ones, sometimes that means kuwacut off watu au family members wanaokutrigger au kukufanya urelapse kwenye old patterns (ndugu, marafiki, wapenzi etc.).
Many of us avoid that difficult work (often subconciously) and instead cope by telling ourselves that “if those before us survived these patterns, we will too”.
Dada kanyooka kama rulaNapenda wanawake ambao akili zao ni “beautiful” .
Facts, from psychological point of view. Na mchezo mzima ndio uko hapa, mtasingiziana kuwa ukoo huu tuna mkosi sijui ukoo fulani unabaraka, NO!
Kawaida yake, na Dr. mmoja hapo juu ameeleza uzuri kabisa.Dada kanyooka kama rula
Mimi mzee wa pombe sana ,nikiandika sana nitavuruga mambo😜Kawaida yake, na Dr. mmoja hapo juu ameeleza uzuri kabisa.
Na wewe comment ya kwanza iko sahihi, shida yako ni unaelewa sana mambo ila inaonekana hupendi kuandika. 😀 Umeandika kwa ufupi sana na kwa usahihi.
Thanks 😊Napenda wanawake ambao akili zao ni “beautiful” .
True, I wish more people were aware of the psychology behind early childhood development, watu tungelea watoto wetu tofauti sana na kuwaepusha na mengi.Facts, from psychological point of view. Na mchezo mzima ndio uko hapa, mtasingiziana kuwa ukoo huu tuna mkosi sijui ukoo fulani unabaraka, NO!