nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sioingi kama mdeitatition ni tiba ili ni tiba ya kujiweka sawa kwa tabia ambazo ni chukizo ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?
Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life
hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,
mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo
min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli