Why do we repeat generational cycles, from time to time!

Why do we repeat generational cycles, from time to time!

naomba urudie kusoma nilichokiandika, nimekutofautishia vitu umeshinda kuviona,unawez usiwe na kanisa ila ukamcha Mungu tu na vitu vikanyoka balaa kwasababu ni kanuni tu ya kufuata na sio wote wanajua hizo code,mfano mimi ni RC mzuri kabisa watoto wangu wote ni Rc lakini huwa nashibisha neno la Mungu na mafundisho kuliko kuamini makanisa,imani yako itakuponya ,kanuni zipo kwenye vitabu vya dini ukitaka kufanikiwa fanya moja mbili tatu hiyo ndiyo tofauti niliojiwekea na naishi nayo na inanisaidia vibaya mno
Mimi siishi nayo na mambo yangu yapo vizuri tu unaonaje hapo😅
 
hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi.
Unafahamu kuwa laana ni DNA?
Ndio maana hata biblia imeandika inarithiwa kizazi hata kizazi?

DNA ndio inabeba tabia na maumbile yetu,
Unaporithi vitu kama sura, rangi, sauti au gestures kutoka kwa mzazi ni sawa na kurithi vitu vibaya kama tabia na fikra ambazo ndio huwa identity yetu,
Laana ni pale unaporithi vitu negative kama nilivyotaja hapo juu na baraka ni pale unaporithi vitu ambavyo ni positive,

Laana sio maneno ndio maana huwezi kuivunja kwa maneno,
Nikirudi kwenye point yangu ili unielewe ni hivi "DNA zetu tunaweza zitengeneza upya kupitia matendo mapya, meditation na nia thabiti" na hiyo ndio dini ya kweli.

Na kupitia kubadili fikra ndio tunabadili DNA,
Tukishabadili DNA unaweza badili mtazamo wa kizazi na watoto utakaowazaa watakua na fikra mpya hata kama kulikua na magonjwa ya kurithi yanapotea,
Na ni kazi ngumu sana ndio maana biblia imeandikwa tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu, na pia
imani kama chembe ya haradali yaweza fanya mambo
Yote hiyo ni kuonesha namna binadamu kupitia fikra zetu tuna uwezo wa kufanya mambo makubwa juu yetu na juu ya watu wengine
 
Mimi siishi nayo na mambo yangu yapo vizuri tu unaonaje hapo😅
😂😂😂 hata wanaoamini kwa sangoma si wanafanikiwa mkuu? kwa kuwa wanatii kanuni za kiroho ila ni za upande wa giza mfano wanatoa kafara, wanamiliki majoka 😂😂, nakutania bana sio wewe unafanya hivyo,naongelea general upande wa giza pia wanafanikiwa vizuri tu ila mafanikio na utajiri wao hauna muda ,wewe fanya tafiti wenye kupata utajiri wa masharti na nguvu za giza mwisho wao huwaje? kama sio ni mbaya na hawadumu na huo utajiri ,mkuu Mungu yupo na hakika anatenda vyema tu
 
😂😂😂 hata wanaoamini kwa sangoma si wanafanikiwa mkuu? kwa kuwa wanatii kanuni za kiroho ila ni za upande wa giza mfano wanatoa kafara, wanamiliki majoka 😂😂, nakutania bana sio wewe unafanya hivyo,naongelea general upande wa giza pia wanafanikiwa vizuri tu ila mafanikio na utajiri wao hauna muda ,wewe fanya tafiti wenye kupata utajiri wa masharti na nguvu za giza mwisho wao huwaje? kama sio ni mbaya na hawadumu na huo utajiri ,mkuu Mungu yupo na hakika anatenda vyema tu
Mimi sipingi imani ya mtu ila napinga imani ya mtu kuwa ndio principles kwa kila mtu
 
Hoja yako ina ukweli fulani. Malezi na mazingira ya utoto yanaweza kufanya tabia au mifumo ya maisha ijirudie katika vizazi. Mtu anayekulia katika mazingira fulani mara nyingi huyaona kuwa ya kawaida hata akiwa mtu mzima, ndiyo maana wakati mwingine watu hujikuta wanachagua maisha au mahusiano yanayofanana na yale waliyoyaona kwa wazazi wao.
Hata hivyo, naamini pia binadamu ana uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi tofauti. Kupitia elimu, uzoefu na kujitafakari, mtu anaweza kuvunja hiyo mizunguko na kuanzisha mwelekeo mpya kwa ajili yake na vizazi vijavyo.
inavunjwa je?!
 
There are ways of speaking, sitting, looking, acting, reacting, that are inherited from childhood.Some are lucky to be born in families that left them with behaviors that create a virtuous circlearound them. They’ve got a great behavioral inheritance.

Some are totally unlucky; they inherited behaviors that create a negative loop in a vicious circlea round their life. They are constantly met with failure regardless of their efforts and goodwill. They are barely aware of why they keep failing or struggling. They’ve got a bad behavioral inheritance.

The first group of people succeeds almost effortlessly while the second is hindered regardless of their efforts.

Imagine, boys who have never had a father figure in their life but have to assume a father figure role when they have children. They have no model in mind nor experienced the exercise of a father figure. They’ve got no behavioral inheritance here. They desperately look up to books on parenting and hearsay, and often struggle very much as
fathers.

Imagine girls who grew up with their single mom, whose values were fierceness, independence,
impertinence, forcefulness, defiance... all values which are adaptive behaviors to cope with raising kids alone.

Those girls might grow up taking those values as normal behaviors for a woman even when they wish to build a normal couple. Unfortunately they would fail, because those behaviors would constantly antagonize their partners.

Our behavioral inheritance could be a great asset or a burdensome liability. Behavioral inheritance most important areas are:
  • Body language
  • How to speak according to circumstances and get your way
  • Purposefulness in life
  • How and when to subordinate
  • How and when to lead
  • How to fight in public and in private
  • Sacrifice to bear with
  • Money and career

It’s important to take an account of your behavioral inheritance and consciously chart our own special life. Otherwise you are on autopilot left to repeat the life of your parents.

Behavioral Loops are almost destiny. They are difficult to break if they are negative, and also difficult to lose if they are positive. We mostly inherit our place in the world, leave a great behavioral inheritance to your progeny. It starts with you.
I'm reading some good stuff in here,
 
Break generational curse! Hii shida iko karibu kila ukoo, vunja maagano (maroho) kama yapo! Ukiyakataa wewe utaokoa kizazi chako! Huo mzizi unahitaji mtu kujitambua kama ulivyotambua wewe dear, wokovu ni gharama! Hebu ba mchungaji Iceberg9 njoo msaidie mdogoetu huku mi nasinzia sijui😵‍💫
Thnnk you❣️
 
Our brains are wired to prefer what is familiar over what is healthy. Ulivyokuzwa utotoni ndiyo inashape attachment styles, how we love, regulate emotions, behave, work, and define what is acceptable or not. Vitu vichache sana hasa vya kitabia na kihisia tunajifunza ukubwani.

Kama umekulia mazingira ambayo siyo mazuri, step ya kwanza ni awareness; mfano “mzazi wangu ambaye hakunilea, hakua mtu mzuri na mimi inabidi nijitahidi kutokuwa kama yeye" watu wengi huwa hawafiki hapo, watalaumu kidogo, halafu wanaona sawa tu, mbona wameishi.

Mtu kama huyu na yeye anaenda kuzalisha watoto na mama tofauti na watoto wanakaa kwa mama zao labda anawaona mara moja kwa mwaka au pale anapoweza. Akijitahidi kuwa tofauti na baba yake, basi atatuma pesa za matumizi kwa watoto na atajiaminisha hapo yeye amelea kikamilifu na inatosha kabisa. Why? possibly kwa sababu hajawahi kuona mfano wa malezi bora ya present father inabidi aweje au anafikiri kama mama yake aliweza kumlea, basi na hata hawa wanawake wengine watalea tu hao watoto wake.

Breaking patterns requires conscious effort to unlearn harmful behaviors and consistently practice healthier ones, sometimes that means kuwacut off watu au family members wanaokutrigger au kukufanya urelapse kwenye old patterns (ndugu, marafiki, wapenzi etc.).

Many of us avoid that difficult work (often subconciously) and instead cope by telling ourselves that “if those before us survived these patterns, we will too”.
Duh kazi ipo hapa
 
Unafahamu kuwa laana ni DNA?
Ndio maana hata biblia imeandika inarithiwa kizazi hata kizazi?

DNA ndio inabeba tabia na maumbile yetu,
Unaporithi vitu kama sura, rangi, sauti au gestures kutoka kwa mzazi ni sawa na kurithi vitu vibaya kama tabia na fikra ambazo ndio huwa identity yetu,
Laana ni pale unaporithi vitu negative kama nilivyotaja hapo juu na baraka ni pale unaporithi vitu ambavyo ni positive,

Laana sio maneno ndio maana huwezi kuivunja kwa maneno,
Nikirudi kwenye point yangu ili unielewe ni hivi "DNA zetu tunaweza zitengeneza upya kupitia matendo mapya, meditation na nia thabiti" na hiyo ndio dini ya kweli.

upo sahihi 20% mkuu, ndiyo maana nikasema inatibika ila kwa kipindi kidogo tu ila ngoma ipo pale pale,achilia damu ya yesu isafishe hiyo curse kwenye damu iliyobeba ndani ya DNA na unakua umejitibu wewe,watoto wako na vizazi vyotee kwa damu ya yesu na kwa kuomba rehema kwa Mungu ,usipofanya hivyo ngoma inaendelea mkuu, na laana sio lazima iwe tu kwenyee genetic ndani ya DNA pekee, zipo laana za kutamkiwa na kuandikiwa toka kwa waganga toka kwenye curse ya ukoo hujui hiyo mkuu,mfano umaskini utafanya meditation ili itoke?unakuta mtu kakusemea tu familia yako usizae usipate mtoto ngoma inaenda unaishi nayo,au utasoma vizuri ila hutapata kazi sasa hizo unatoa kwa meditation mkuu 😂😂😂😂,mfano familia yako imetamkiwa laana na ujue laana inakita kama kuna uhalali Mungu anaachia ipenye si anaona unastahili kwa kuwa hukutenda haki,umedhulumu kiwanja cha mtu na unajua kabisa umedulumu ila unajifanya mbabe basi yule jirani anatamka na kukuandika kwneye karatais na majina yako kuwa umenipokonya ardhi basi anafunga kizazi chako na watoto wako hamtakua na amani,au maisha yenu yote ni ya kupata ajali na mnaishi hivyo mtakufa kwaa ajali kila kizazi aiseeeehhh unakuta kizazi hadi kizazi wanapitia shida hiyo kumbe ilitamkwa na kuandikwa laana hiyo na ikafukiwa chini ya ardhi wewe mkuu wewe hujui unasema tu kirahis 😂😂😂, mjomba kuna vitu unatakiwa uingie deep usiguseguse tu ukasema umeelewa ,generation curse ni jambo la kiroho sana sana sana na limewatesa wengi
 
Hiyo unayosema laana mimi naihusisha moja kwa moja na dhana ya free will " uhuru wa kuamua". Kinachokutesa mkuu ni kudhani kwamba una uwezo wa kuchagua kile unachokipenda! Na umekariri kwamba Mungu alitupa wanadamu uwezo wa kuchagua. ukishakubali kuwa hakuna free will katika huu ulimwengu basi hutasema tena kama una laana ya ukoo au familia.

Haya Maisha ni mchezo ambao matokeo tayari yapo sema tu wanadamu hatuna uwezo wa kuona hatima yetu. Tunabaki kujifajiri na kujisahaulisha na mpira, pombe, muziki, umbeya ili tu tusiwaze sana jinsi hali yetu ilivyo ngumu ndio maana kimoyo moyo Wanadamu wengi sana wanatamani Mwisho wa dunia ufike tuu! Ili tuanze mwanzo tena.
Na wote mjue kwamba hiyo mnayosema laana ipo na layer nyingi sana ambazo zinakusubiri uvuke moja uje ukabiliane nayo, mfano inanza kwa familia, inakuja ya ukoo, inakuja ya kabila, inakuja ya mkoa au sehemu, inakuja ya nchi au ukanda ina kuja ya bara, inakuja ya dini, inakuja ya dunia, ni ngumu sana. Embu tizama Africa mifano ilivyokuwa mingi na kuogofya, na ni mashujaa wangapi wamelambishwa mchanga kisa tu kutaka kuvunjaa laana za Nchi ambazo zimewatia minyororo watu wengi sana!
 
nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sio kama nakata mdeitatition ni tiba hapana, ila ni tiba ya kujiweka sawa kwa muda tabia ,meditation ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?

Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life

hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,

mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli
Mkuu ukikubali kujifunza,kubali pia kuwa open Minded.siyo kushikilia vitu mlivyo karirishwa sijui damu ya yesu,n.k.Siwadharau ila walokole mnabore mnoo..

Inabidi uelewe kwanza laana zinazo zungumzwa ni zip? Nitakutajia chache,mfano magonjwa,umaskini,ulevi n.k. ila zipo nyingi

Hizi laana ama hizi tabia kimsingi zipo kwenye DNA,,kiasi kwamba itajirudia kizazi hadi kizazi..maana zinarithiwa...zinaweza ku skip kizazi fulani but zitajitokeza kule mbele.

Tafsiri yake ni kwamba kama kitu kinaweza kujirudia rudia maana yake kipo kwenye DNA,ili uondoke kwenye hyo cycle unapaswa kwanza ubaini hilo tatizo pili ufanye meditation na Yoga..ndo njia pekee ya kuchange DNA na zile imprints ambazo hutoa matokeo hasi zitaondoka..zitabaki zile chanya.

Automatically utakuwa umevunja yale maagano ambayo yalikuwa yanajirudia rudia..
 
Back
Top Bottom