Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
kuna topic moja ya biology inatuambia kitu au kiungo ambacho hakitumiki kinakuja kuwa mfu and malfunction 🤗
Hebu nifundishe kuhusu hiyo topic 🙂!!
Naona humu kila siku mnaonya watu wasioe, sasa hao wanawake wataolewe na akina nani?Olewa binti wa zamani ukazae matunda ukaijaze dunia