Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Naomba kutoa hoja
Tunakuruhusu kutoa hoja
Naomba kutoa hoja
why did nyerere support pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere oppose south african capital and at the same time allow debeers into our diamond?
NAFCO haikuwa sera ya Kijamaa - ilikuwa ni STATE CAPITALISM!
UJAMAA - The Basis of African Socialism ni suala la hiari (IMANI)!
EU ambayo ni model ya EAC nayo ni African Socialism - they are sharing poverty with Belgium and Ireland?
Suala la biafra (Nigeria) na suala la ogadenia (Somalia) ni suala linalofanana katika kila kitu. Lakini Nyerere akakubaliana na Biafra, na akakataa ya Ogadenia. Suala la debeer, hata mpaka linatia kichefuchefu hata kulikumbuka. Ingawa kuna watu humu wanalitetea. After all debeer na biafra walikuwa wakiristo anyway; ogadenians jee? waislamu.
Nyerere ndiye aliyepanda mbegu zinazoleta mijadala hii leo hii.
Yeah mzee tenga you're very right, if we compare biafra (Nigeria) and Ogaden (Somalia) are almost the same, but Nyerere supported Biafra to be independent from mother land while kept a blind eye to Ogaden that's ridiculous! This is where the inconsistency of Mwl.Nyerere found on this matter, i think had lost his sense of humanity instead decided
to support biafra just for da course of Christianity.
On other hand, it was very difficult to support independence of Ogaden coz said barre was his best friend and both followers of socialism regime.
Rgds,
Shaft.ainkiller:
Swari:
Hivi bila kuwepo kwa mafuta kule, Biafra wangefikiria kujitenga? Hivi bila kuwepo kwa madini kwenye jimbo la Shaba, je vita vingetokea Congo?
Mkuu acha kujidhalilisha, hayo uliyouliza yana maelezo yake Bw. Mulangira ameeleza na nashangaa huna uelewa ya hayo maswalawhy did nyerere support pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere oppose south african capital and at the same time allow debeers into our diamond?
They love you.kati ya wanachama elfu 20..
Hivi Biafra na Ogaden zinafanana vipi? maanake nijuavyo Biafra walitaka Kujitenga na Nigeria, sasa hao Ogaden walitaka kujitenga na nani?