Stick to the topic. Jibu hoja kwa hoja si kuingiza mambo ya umungu mtu.Hah hah, Nyerere mungu mtu hafai kukosolewa kila kitu alichofanya kilikuwa sahihi. Ndo maana Tanzania ikawa tajiri sana enzi zake!
Stick to the topic. Jibu hoja kwa hoja si kuingiza mambo ya umungu mtu.
Nyerere hakuwachagulia Waganda kiongozi wao. Uingereza na Israel walishirikiana kumweka Idi Amin mamlakani. Hao ndio unapaswa kuwashapulia na kumwacha Nyerere. Obote alipinduliwa kwa njama za hizo nchi mbili kubwa na Tanzania tukabaki na mzigo wa kumtunza Obote na Waganda waliokimbia upanga wa Idi Amin. Hapo sijaona unafiki wa Nyerere. Nyerere alikuwa predictable and principled.
Kwa kuwa Nyerere ni mnafiki wa kisiasa, anachotaka yeye kizuri, yeye kama nani kuingilia siasa za ndani za nchi, mbona alikuwa dikteta na Kenya hawakuja kumtoa?[/QUOTE
Have you ever played chess with a 3 year old?
....Nyerere..., yeye kama nani kuingilia siasa za ndani za nchi...?
Ukiwa una mawazo hayo, kwamba kuitambua Biafra tuliingilia mambo ya nchi nyingine ambayo hayatuhusu, labda uliamini pia kwamba lilikuwa ni kosa kuwasaidia watu weusi na wengine walipokuwa wanakandamizwa na Makaburu kule Afrika Kusini kwa sababu tatizo hilo lilikuwa katika nchi hiyo.
Nyerere alizungumzia suala hilo, kwa ujumla, aliposema: When an entire group of people is targeted for discrimination, the problem ceases to be a matter of internal affairs. It becomes a matter of concern for all mankind.
The principle applied to Nigeria as well.
Mzee Mwanakijiji, kilichofanyika Biafra ndicho kinachofanyika Sudan mwezi Januari, na hata kwetu kingeweza kufanyika Pemba. Kwa nini watu wa eneo fulani wawe persecuted na serikali yao.Kwanini taifa moja linatambua jamii fulani ya watu kuwa ni taifa?