Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,279
- 105,482
History does not teach fatalism. There are moments when the will of a handful of free men breaks through determinism and opens up new roads
Zito you are wrong, you are trying to diverge the main issue by asking the panel what Nyerere did, What he did can not substantiate what are doing, so defend your points by facts not history.
People has come to know your real side, and all you are doing very sad to you and shame awake!!
Tatizo tumefikia wakati sasa hivi, jina la Nyerere linatumika kama msahafu fulani hivi. Ukitaka kuhalalisha chochote mtaje Nyerere tu.
Kuna mkuu mmoja hapo nyuma, great thinker gani sijui yule nimemsahau jina lakini swali lake zito kumshinda Zitto, kauliza something along the lines of "Hivi kiongozi kuwa unpredictable ni sifa nzuri?"
Zitto kwa kujitapa kwamba yeye ni unpredictable anaonyesha uchanga wake wa siasa. Ni kweli giants wengi wa siasa walikuwa unpredictable, kwa sababu siasa zenyewe ziko unpredictable.Lakini hii quality hawakujitapia.
Ukimsoma Machiavelli utaona anavyofundisha Prince anavyotakiwa kuwa kitu kimoja, huku akitoa image ya kitu kingine. Machiavelli anakwambia Prince anatakiwa kuwa unpredictable, huku akiproject image ya kwamba yeye ni predictable.
Wananchi hawataki kiongozi aliye unpredictable, kama kiongozi ni unpredictable, tutajuaje kwamba ahadi zake za uchaguzi atazitekeleza?
Kuwa unpredictable si sifa nzuri kwa kiongozi, ni sifa ya kiongozi mwenye hila, ni sifa ya udikteta. Kiongozi anayefuata rule of law hawezi kuwa unpredictable, ana sheria inayombana asiwe unpredictable na ataifuata.
Huyo Nyerere ambaye Zittoa anmsema alikuwa unpredictable huwezi kusikia hata hotuba moja aliyojitapa kwamba yuko unpredictable. Sanasana utamsikia kila siku anasifia guiding principles zake za ujamaa, Azimio la Arusha, ethics za ukatoliki katika maisha yake personal etc. Kusema "Mimi ni unpredictable" Nyerere asingeweza kwa sababu Nyerere alikuwa msomi old school aliyejua kwamba "that is not a good look, it carries no humility and all traces of arrogance". Kusema "mimi ni unpredictable" kwa kiongozi ni kusema "mimi ni prima donna".
Buffoonery of an Idi Amin level.
Kiongozi anayeweza kusema "mimi ni unpredictable" ni yule tu ambaye hana skills za kuwa truly unpredictable.
The truly unpredictable strive to cultivate an image of predictability.
Words to the wise.