Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Ni Zitto mwenyewe huyu au ni 'username'? wake...I can't believe it is the former
Kwikwikwi afu hii umeandika wewe. Mijitu ya Pan-Africanism,
....Huu ni uelewa wako au ndio UDINI unaendelea?...
Zitto kauliza....may be amesoma mahala, au kwa kuwa Muulizaji ni Zitto basi ni kaweka UDINi mbele...Angeuliza Mwanakijiji mngekuja na 100 "thanks"
Tungempa Muda Zitto aeleze au watu waendelee kumpa Somo juu ya Biafra....
Au wewe mwezetu ni wale ambao washamfanya Nyerere ni "Saints" hivyo hamtaki kusikia "Dark Side" yake...
HESHIMA KWENU,
great thinkers.....!
nawafuatilia kwa makini sana.infact nimesitisha kabisa kazi za ujenzi wa taifa hili KWA AJILI YENU
Whats your point, Sir?
Badala ya kuvamia Uganda mimi ningevamia Kenya kwa waliyotufanyia 1977
Sir, slow down.
Ama kweli kazi ipo maanake watu wanataka kusoma vilivyomo kichwani mwa kila mtu.
Mimi sikumpa kura yangu Mrema mwaka 1995 (Upinzani) nilimpa Mkapa, lakini mwaka huu sikujaliwa kuwepo nyumbani lakini ningempa Dr.Slaa (upinzani) kwa hiyo mnataka kusema hata mimi ni unpredictable kwa sababu tu kila kitu kwenu ni ktk hesabu za kujumlisha..
Zitto,
To those of us who were there at the time Mwalimu was very predictable on Biafra. Believe me. Alipoondoka Dar Februari 1967 kwenda kukutana na Gowon, na baadaye Houphoet Boigny, we knew what Mwalimu was up to. Mwakilishi wa Biafra DSM was working overtime to win over Tanzania's symphathy on the Nigerian pogrom. Contradictory, maybe, but very predictable.
Wakenya walifanya vizuri 1977. Kwani waliharakisha kufa kwa hule utumbo wa kijamaa.