Why did I call you?

Why did I call you?

Ni kweli Kongosho....
sometimes huwa nashangaa watu wanaoniambia vitu vyao wala sipo close nao kihivyo....
yaani utakuta ni rafiki wa rafiki yangu, au rafiki wa ndugu, najishangaa tu, mbona hakumwambia fulani anakuja kuniambia mimi?
it means you are trustworthy and good enough kutoa meaningful advice. be glad watu wakiwa wanaku-appreciate kiasi hiko. reputation kama hizo ni ngumu kujenga na ku-maintain. 🙂
 
it means you are trustworthy and good enough kutoa meaningful advice. be glad watu wakiwa wanaku-appreciate kiasi hiko. reputation kama hizo ni ngumu kujenga na ku-maintain. 🙂
Noted!
Asante sana
 
Ni kweli Kongosho....
sometimes huwa nashangaa watu wanaoniambia vitu vyao wala sipo close nao kihivyo....
yaani utakuta ni rafiki wa rafiki yangu, au rafiki wa ndugu, najishangaa tu, mbona hakumwambia fulani anakuja kuniambia mimi?

Unakitu special ambacho Mungu amekupa, you need to seat down and think about it, and use in a full.
Heri wapatanishi, kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu.
 
Unakitu special ambacho Mungu amekupa, you need to seat down and think about it, and use in a full.
Heri wapatanishi, kwa kuwa wataitwa wana wa Mungu.
Amina...
Asante sana, namshukuru Mungu kwa hilo
 
dear send me your number maana na mimi sometimes nina hasira mbaya
Next time nikionewa nikupigie unisaidie kuona things positively 🙂
 
Kaka niamini, akitoka FP na wifi AshaDii ujue na mie kwa busara kiduchu nafuatia. Mi niliambiwa na wazazi i was born to bring peace everywhere i go. Japo niko kama zimefyatuka kiduchu ila nafaa faa kidogo aisee.

Ile supu ya mbuzi ipo palepale. Manake vitumbua nlivyokula kwenu lazma nilipe. Nimemfundisha wifi kupika mtori, dont be disappointed lol
King'asti utanipunguzia hasira au utaziongeza mbona machale....ile supu ya mbuzi umenirusha eeh?:disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Call me instead nikulandue kama bhange yenye mbegu hahahha. Miss ya gal
dear send me your number maana na mimi sometimes nina hasira mbaya
Next time nikionewa nikupigie unisaidie kuona things positively 🙂
 
Ni sifa njema kuwa mpatanishi, on a serious note. Kuna siku milikuwa na shosti mmoja akapigowa simu. Majibu aliyokuwa anatoa nilijua huyu sio kabisaa. Yaani alishauri kuachana na huyo mume completely useless, na kumkumbushia weaknesses zake zoote. Yaani nahisi bi shosti alikata simu hasira zimekuwa maradufu. Baada ya muda nikakumbuka nikamuuliza bi shosti anaendeleaje? Akanijibu hajawasiliana na mimi. Nadhani alishapatana na mumewe huko.

Ni mizuri miguu yao wanaopatanisha kwa kweli.
Ni kweli kabisa King'asti, nina rafiki wa hivyo pia..... juzi ananiambia hataki ushauri wa ku-cool down, nikamwambia you have called the wrong person then...... kwa bahati mbaya hana mwingine wa ku-share naye hicho kitu.... patamu hapo.
ingawa wakati mwingine inatokea unapokea simu za watu ambao hata hampo close kivile..... utasikia "nimepata namba yako kwa J"
 
Ni sifa njema kuwa mpatanishi, on a serious note. Kuna siku milikuwa na shosti mmoja akapigowa simu. Majibu aliyokuwa anatoa nilijua huyu sio kabisaa. Yaani alishauri kuachana na huyo mume completely useless, na kumkumbushia weaknesses zake zoote. Yaani nahisi bi shosti alikata simu hasira zimekuwa maradufu. Baada ya muda nikakumbuka nikamuuliza bi shosti anaendeleaje? Akanijibu hajawasiliana na mimi. Nadhani alishapatana na mumewe huko.

Ni mizuri miguu yao wanaopatanisha kwa kweli.
ha haaa, kwenye ndoa ndo huwa siweki utani kabisaaaaaaaaaaaaaaa, afadhali sehemu nyingine naweza tania mtu.....
huwa najisikiaga vibaya rafiki zangu wengi hawapo vizuri kwenye ndoa zao..... na wakati mwingine anakuambia vitu na unaona kabisa hapa pagumu, lakini kitendo cha kukumbuka hii ni familia huwa najikuta nikitafuta upenyo mdogo sana wa kuona achukulie jambo la kawaida.
halafu ubaya wa wanandoa sasa..... wababa ni wazuri sana wa kubembeleza, na sisi mara nyingi sana tunakuwa weak tukibembelezwa, wanapopatana, hata wewe uliyeshabikia utaonekana mbaya
 
ha haaa, babu, ndo hicho alicholalamika......
alihitaji kupandishwa hasira kidogo, bahati mbaya ali-call wrong number, lol!
sasa mimi na kumpandisha mtu hasira wapi na wapi?


Ndiyo maana nasema umemwangusha mwenzio...alitaka akishaongea na wewe ama akakung'ute mtu au ajitie kitanzi halafu wewe ukammwagia maji ya baridi (-20 degree C)...lol!!

Hukutena haki kabisa..

Babu DC!!
 
Shikamoo Babu!!

Upo kajukunkuu?

Nimesikia kuwa umeanza mashindano na yule muzee wa kujigawia vitamu.....The King....???!!

Ya kweli hayo??

Naamini marejesho hawezi kuiona hii post...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nasema umemwangusha mwenzio...alitaka akishaongea na wewe ama akakung'ute mtu au ajitie kitanzi halafu wewe ukammwagia maji ya baridi (-20 degree C)...lol!!

Hukutena haki kabisa..

Babu DC!!
nakubali hilo kosa babu....
ila sasa mwenzio kumpandisha mtu hasira sijajaliwa, lol!
mtu akija na hasira zake shurti amwagiwe maji baridi apoe kidogo
 
FP unahitajika kwa Kagame huko kwenye meza ya usuluhishi na FDLR!

Kumbe tuna ma diplomatists humu!
 
FP unahitajika kwa Kagame huko kwenye meza ya usuluhishi na FDLR!

Kumbe tuna ma diplomatists humu!
ha haaaa, huko watanitimua......
yaani wameshaandaa silaha zao halafu mimi niwaambie wazirudishe alani?
 
Back
Top Bottom