The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
ha haaa, rafiki hapo kwa RED nimecheka sana...
what if akienda kulipuka baadae akagundua kuwa alipitiliza na alishakuomba ushauri ndo ukamkolezea moto?
sasa baadae unampa ushauri wa nini?
kwa nini usimpoze kwanza muda ule yupo hot halafu baadae ukamtoa kwenye mkandamizo alionao?
hapo nahisi hasira zitakuwa zimepungua na hata aki-react atafanya kweli kwa kudai haki yake na siyo kwa hasira
Kuna mtu aliwahi niambia kitu zamani nilishangaa mno
but its true
busara always ni kwa wazee zaidi....na vijana kulipuka it is right sometimes
Wanasema ikiwa vijana wataanza kuishi kama wazee..kwa kufuata busara sana
mwisho jamii itakuwa ni sawa haina vijana...ni jamii ya wazee zaidi....
so sometimes let vijana wawe vijana.....
nikiwa nadaiwa na lara 1 na naambiwa yuko nje ya nyumba yangu
itakuwa tofauti na nikiwa nadaiwa na FP
with busara za FP nita take advantage na ku relax
but with lara 1 nitahakikisha namlipa fasta kuepuka ugomvi...
Last edited by a moderator: