Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
poa rafiki, pole sana.....
of all the people, wewe? kwa nini hukuni-call? lol!
usijilaumu, wakati mwingine tunafanya vitu ili tujifunze rafiki. ukiona unajutia ujue kuna kitu umejifunza kutukana na tendo ulilolifanya.... naamini halitarudia tena.
Nimeongeza chumvi kidogo, sijutii kumreprimand huyu binti yangu maana hajatulia kabisa. lakini kweli sometimes the anger gets better on me, ila nimejifunza deep breathing baada ya kugonga geti siku moja kazini waliponiudhi. Shida yangu huwa nashout, and l can do anything nikikasirika kweli.