Why are you single?

Why are you single?

Hapana siwachezei bali nawaambiaga ukweli na wao wanakuwa tayari ingawa kwa kutegemea labda nitabadilika

Sidhani kama tuaongelea fursa hapa maana fursa zipo nyingi sana ni suala la kuamua tu

Kutokana na umri naomba sana nipate busara za kuamua kuoa ndani ya miaka hii miwili (2018 na 2019)
Haya fanya kweli
 
Wngne ni lifelong bachelors.mfano mzuri ni James Mattis.he only lives for his job... mi naamini hisia za kimapenzi ni 'nguvu' kama nguvu nyingine- unaweza ukai-focus elsewhere na ukaishi bila matatizo..of course kuna watu hasa hasa wanaume tunasemaga bila 'kunanihii' hujakamalika.its all a bunch of BS....wakina Nikola Tesla,Sir isaac newton waliishi vzuri tu.labda kina alan turing ndo walituangusha...
Vipi mkuu kwa hyo ushajiandaa kuwa full bachelor au tayar we uko double..
 
Binafsi nadhani niliumbwa kuwa single,maana nikijilinganisha na wenzangu aisee Nina nidhamu sana na kujali sana ninaokuwa nao ktk mahusiano lkn huishia kunitenda,wakati mijitu yenye tabia hovyo kabisa inaheshimiwa na kusikilizwa na wake zao,why me,nimeamua kukubali mm ni mwanaume niliyeumbwa kuwa single,labda sababu nilikuwa awali na ndoto za kuwa mtawa wa kiume,labda ile azma ndo inanitesa
Unaonaje mkuu uvue tu ngozi ya kondoo ndani na nje...
 
Back
Top Bottom