Why are you single?

Why are you single?

Kwa sababu ninayempenda Mzigua90 hataki kusikia kilio changu cha kunitunuku pendo lake
 
Niko single ..naninafurahia kuwa Hivi mpka pale wakati sahihi utakapo amua kuniletea mtu sahihi kwangu""
sipendi. purukushani za mahusiano mnoo
mapenzi nisehemu ya maisha tu..nasio kwamba nimaisha kamili..ukiachana na mapenzi bado kuna vitu vingi tu ambavyo mtu anaweza kuvishiriki navikampatia furaha
 
Aaaah jamani madam S sio vizuri kumdangaya Kaka wa watu yaani ww uko single?
Jamani nahiai nilisoma vibaya mwanzo aliandika kama utaulizwa uko hivyo yapi yatakua majibu yako me siko single wala
 
Niko single ..naninafurahia kuwa Hivi mpka pale wakati sahihi utakapo amua kuniletea mtu sahihi kwangu""
sipendi. purukushani za mahusiano mnoo
mapenzi nisehemu ya maisha tu..nasio kwamba nimaisha kamili..ukiachana na mapenzi bado kuna vitu vingi tu ambavyo mtu anaweza kuvishiriki navikampatia furaha
Sawa mkuu naona uko na mipango mizito
 
Nipo singo sababu mwanamke niliyempenda amenisaliti na nmeshindwa kupenda tena

Mda unazidi kwenda na natamani kuwa na mwenzi wangu wadogo zangu wote wameoa lakini naishia kuwagonga tu na kuenjoy sex kama Christian grey
 
Niko single kwa kuwa mpenzi wangu wa kwanza,aliyekuja kuwa mke wangu baadae,alizalishwa mtoto wa pili na mtu mwingine.Ila aliamua kuanzisha ugomvi yeye mwenyewe baada ya kujishuku ingawa sijawahi kumwambia hadi leo kuhusu mtoto huyo.Watoto nawapenda sana na sitaki kuonesha kwamba yule mwingine ana baba tofauti na mimi.Ananitambua mimi kama baba yake,wala sijamwabia hata ndugu yangu mmoja.
Nimeamua kuishi single hadi leo.
 
Back
Top Bottom