Why are you single?

Why are you single?

Pole... Mimi sijui faida za kuwa kwenye mahusiano
 
Huwezi kua single alafu bdo ukajiona upo sawa na kauli zenu zile eti the best is yet to come Mara cjui, I deserve the best...jamani eeeh... tukubali kila m2 ypo tofauti so tunatakiwa kukubali kupokea na kutoa pia...ukipendwa na ww penda,ukikosea ukasamehewa na ww usiwe mgumu kusamehe.. tatizo la wengi wetu ni Ego hasa sisi wanaume
 
Kwa sababu niliumizwa sana na kila nikikumbuka moyo unaumia
Wapo waliojaribu kunituliza moyo lakini sikuweza kuwapa moyo wangu wakakata tamaa na kuondoka
wanasema time heals lakini kwangu haijawa hivyo
naamini ipo siku nitapata daktari wa kunitibu ugonjwa huu sugu
nakusubiri daktari sina haraka
 
Sijawahi kuwa single, its bandika bandua. Mahusiano ni mazuri, napenda changamoto, napenda kuwa na mtu anayeniletea shida and i get satisfied niki solve. Mahusiano ni njia rahisi ya kujua uwezo wako wakukabiliana na changamoto (of cause zakujitakia).
Ngoja nikuletee shida zangu usolve
 
Sio wanaume wote ni wa kuoa, the same implies kwa wanawake
 
Endelea hivyo hata wanawake walio andaliwa kuolewa waje sio hawa wanatembeza nyuchi nje kila mtu anaona hawa ni kwa bia tu mkuu endelea utampata
 
Mimi nipo single hata cjui kwa nini
Daaaah aiseeee
Huwezi kua single alafu bdo ukajiona upo sawa na kauli zenu zile eti the best is yet to come Mara cjui, I deserve the best...jamani eeeh... tukubali kila m2 ypo tofauti so tunatakiwa kukubali kupokea na kutoa pia...ukipendwa na ww penda,ukikosea ukasamehewa na ww usiwe mgumu kusamehe.. tatizo la wengi wetu ni Ego hasa sisi wanaume

sababu sina hela.

Mimi nipo single kwasababu wanawake hawanitaki.

Because wanawake hawaaminiki

Sababu nna kibamia
 
Kwa sababu niliumizwa sana na kila nikikumbuka moyo unaumia
Wapo waliojaribu kunituliza moyo lakini sikuweza kuwapa moyo wangu wakakata tamaa na kuondoka
wanasema time heals lakini kwangu haijawa hivyo
naamini ipo siku nitapata daktari wa kunitibu ugonjwa huu sugu
nakusubiri daktari sina haraka
Kila lakher
 
Back
Top Bottom