popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,622
Sijakuelewa ya mkini kuna funzo ktk kauli hiiUnaonaje mkuu uvue tu ngozi ya kondoo ndani na nje...
Sijakuelewa ya mkini kuna funzo ktk kauli hiiUnaonaje mkuu uvue tu ngozi ya kondoo ndani na nje...
thus why= that is whyView attachment 682905
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!
Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mi mwanaume bado napambana..
Je, kwanini wewe uko single?!
Mbona umeguna mkuuMmmh
Wii nakuzoom tu unavyomkana mdogo wangu hadharani, we haya tu.Jamani alisema kama utaulizwa hivo utajibu nn hahhahhaa me ndio nikajibu, siko single single single wii
Muombe Mungu akupe imaniNilishafanya hivyo lkn nmeamua kukaa single na watoto tu,acha wasome kwanza,japo usawa wangu kuna watu wanataka kuniondokea u single lkn siamini mtu
Mungu wangu siwezi kufanya hivo hata siku moja jamani nisamehe my wiiWii nakuzoom tu unavyomkana mdogo wangu hadharani, we haya tu.
Yalinikuta yakunikuta mkuu..View attachment 682905
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!
Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mi mwanaume bado napambana..
Je, kwanini wewe uko single?!
Pole mkuu....Binafsi nadhani niliumbwa kuwa single,maana nikijilinganisha na wenzangu aisee Nina nidhamu sana na kujali sana ninaokuwa nao ktk mahusiano lkn huishia kunitenda,wakati mijitu yenye tabia hovyo kabisa inaheshimiwa na kusikilizwa na wake zao,why me,nimeamua kukubali mm ni mwanaume niliyeumbwa kuwa single,labda sababu nilikuwa awali na ndoto za kuwa mtawa wa kiume,labda ile azma ndo inanitesa
Kabisa kaka maana demokrasia na nidhamu ktk mahusiano haijaworkUnatakiwa uwe unpredictable kama hao uliowatolea mfano labda utawin pia ukubali uhalisia
AminaMuombe Mungu akupe imani
Asante mkuu,najitahidi kujichanganya japo bado kuna mida najikuta najitenga,unajua sikutegemea km kuna siku ntaishi nnavyoishi maana ninapenda sana mahusiano na familia,Pole mkuu....
Hakuna azma ya kukutesa hapo hayo ni maamuzi na naamini yalichangiwa na vitu vingi. Huna haja ya kutubu maana huna kosa ......
Hii hali ukiikubali ujue tayari umeshatafuta tatizo jengine....nakwambia hivi kwa vile yameshanikuta....
Ikatae hali hiyo...jichanganye na watu na epuka sana kukaa peke yako...sijui jinsia yako ila jaribu kutia mkono kizani kuna siku utapata samaki au mkate sio tu uhofie kukamata nyoka au kushika jiwe !
Jiamini!
.kwani we uko .double mkuu?Na utakufa mwenyewe
because I am ndo double?View attachment 682905
Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo!
Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mi mwanaume bado napambana..
Je, kwanini wewe uko single?!
Asante mkuu kwa kupokea ushauri lkn naomba ujitahidi tena for the sake of your children's future pia....usiangalie kwako tu...side affect zipo tena ni tatizo endelevu...Mungu na akukidhie haja zako mkuu.... ila usihuzunike sn ni mapito tu hayo !Asante mkuu,najitahidi kujichanganya japo bado kuna mida najikuta najitenga,unajua sikutegemea km kuna siku ntaishi nnavyoishi maana ninapenda sana mahusiano na familia,
Najikaza na nnaendelea,mm ni mwanaume,japo kuwa nimebeba majukumu ya kulea wanangu nnaoishi nao km baba km mama maana sina namna, lkn ushauri wako umenitia nguvu mkuu
Barikiwa sana,
AminaAsante mkuu kwa kupokea ushauri lkn naomba ujitahidi tena for the sake of your children's future pia....usiangalie kwako tu...side affect zipo tena ni tatizo endelevu...Mungu na akukidhie haja zako mkuu.... ila usihuzunike sn ni mapito tu hayo !
Mimi hapa nimejitokezaKwasababu bado sijapata mwanaune ambaye ni chaguo langu wengi n waongo tu.