GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,017
- 126,429
Mimi nipo Single mpaka leo kwasababu napenda sana ' Kuzibua Vyoo Vikubwa ' na vilivyotukuka.
Hahaha sijiNjoo pm nikwambie kitu.
Eti had raha haaaha haya banaUshauri mzuri huu adi raha.
Acha roho mbaya basi, njoo mara moja kisha unarudi. Usipo kuja naja mie.Hahaha siji
Siamini ata chembe yaani.Nipo single kwa sababu sjapata anayenivutia yan ninayempendaa akanivutia nikajisikia amani kuishi nayeee
Njoo tuAcha roho mbaya basi, njoo mara moja kisha unarudi. Usipo kuja naja mie.
Niambie unachoaminSiamini ata chembe yaani.
Hahaaa wacheka nn sasa? Kweli tena ushauri huo ni hadi raha kabisa.!Eti had raha haaaha haya bana
Nacheka nimefurah kusoma hiyo sentensi ako, hope utaufanyia kaziHahaaa wacheka nn sasa? Kweli tena ushauri huo ni hadi raha kabisa.!
Haya asante but kuwa single sometimes inaboa sanaTulia tuliza akil...kuwa smart na fanya kaz kwa bidii......ukishika mtoto wa mtu piga panga za kutosha[yale mambo yetu watu wazima] ..ukifanya hayo kwa umakini ad wengine utakuwa unawakataa....
Ivoo ndo vitu vya msingi kama mwanaume unaejielewa unatakiwa kufanya
Hii ndo siri yangu siku zotee
Mungu anakuepusha na vizinga visivokuwa na sababu....tuliaa