Who would you like to meet and why?

Ikitokea basi nitafurahi sana kukutana na hawa...
  • Naimaomari
  • MWK
  • Kisura
  • Rev. Kishoka
  • Mtanzania
  • Ab-Titchaz
  • Mtu wa Pwani-(naona kasusa JF siku hizi)
  • SteveD
  • Lazydog
  • Sipo
  • NN---ndio utajua kama najua yai ama la..!
 
Ikitokea basi nitafurahi sana kukutana na hawa...
  • Naimaomari
  • MWK
  • Kisura
  • Rev. Kishoka
  • Mtanzania
  • Ab-Titchaz
  • Mtu wa Pwani-(naona kasusa JF siku hizi)
  • SteveD
  • Lazydog
  • Sipo
  • NN---ndio utajua kama najua yai ama la..!

Tayari najua kuwa hujui.....

Kwa mfano nikikusabahi kwa kusema "what up Kibs?" wewe utajibuje?....
 
NYANI NGABU-Mcheshi sana na avatar zake na signature zake
ICADON,Abtchaaz,GT,-wazee wa burudani ukichoka kwenye Epa na Richmond
Lazydog,Madela Madilu-Avatar zao zina si mchezo
Kitila,Rev Kishoka,FMES,Mwanakijiji,Kuhani-Wazee wa siasa za bongo
 
My favorite person knows herself and my least favorite...well, you all know who that is....
 
Kwa wakati wa US presidential campaign,least favorite person kwangu alikuwa Leanback na Nyani McCain. kama ni all time least favorite basi ni nyama hatari! favorite wako wengi siwezi kumtaja mmoja.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom