Who would you like to meet and why?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,212
113,520
Kama ikitokea siku wanachama wa JF wanaamua kufanya hafla ya kujumuika pamoja (get together) ni mwanachama au wanachama wapi ambao ungependa kuwaona au kukutana nao na kwa nini?

Sijui kama Edward Lowassa ni mwanachama hapa lakini mimi binafsi ningependa sana kuona makutano ya Mwanakijiji na Lowassa. Sijui nani atavunja ukimya/barafu na atasema nini.

Mods: Sikujua hii niiweke wapi. Ihamishieni mnakoona inafaa...
 
mimi nitafurahi kukutana na NN..........kwani kila nikisoma post zake, hata kama nilikuwa na hasira zangu from somewhere.................najikuta......nacheka sana
 
You nyani ngabu and the Pundit(I'll have to bring a dictionary+/thesaurus with me) at the same time
 
Mama,Lazy Dog,Rev Kishoka,QM,GM,Steve D,MJ, - I am a big fan of them and I cannot miss out on their contributions.
Of course NN,Mshihiri,..... I guess their Avatars are quite interesting
 
mimi nitafurahi kukutana na NN..........kwani kila nikisoma post zake, hata kama nilikuwa na hasira zangu from somewhere.................najikuta......nacheka sana

If we are keeping count NN may win this thing...

Very surprising coz he's never won the Mr. congeniality crown in here.....hehehehehehe
 
I don't know people's character in here (than my cuzin MM) so i cant tell who i would love to meet REALLY!....besides the person who Ssaid would love to meet Pundit made my day (kuwa he has to bring his dictionary with him/her) that was so classic..kwi kwi kwi kwi kwi kwi..I can imagine that afater eery sentence you wil be like hold on let me check the spelling...hahahahahah awwwiiii thats whack.
 
I don't know people's character in here (than my cuzin MM) so i cant tell who i would love to meet REALLY!....besides the person who Ssaid would love to meet Pundit made my day (kuwa he has to bring his dictionary with him/her) that was so classic..kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Oh really.....!?!?!?
 
Ningependa kumwona BWM na posse yake wakija mbele ya wana JF tuwaulize "why"? Pia, NN because he's funny; Mwanakijiji because he's got guts, Mods ili niwape shukrani kwa kuanzisha jamvi hili.
 
Mimi ningependa kukutana na Mkandara, jamaa namzimia sana kwa michango yake. Angekuwa bongo ningemshauri agombee uongozi wowote ule, ukweli kila ninapoona amechangia mahali lazima nifuatilie mchango wake. Na mara nyingi amenifurahisha sana, isipokuwa wakati fulani alitaka kuniudhi mpaka uzalendo ukanishinda ikabidi nibishane naye. Lakini napenda sana mchango wake.
Mungu akuzidishie Mkandara, na endelea hivyo hivyo!
 
Mama, Kuhani, Fundi Mchundo, Invisible, Naima, Kisura, Bi Mkubwa, Yoyo, Woman of substance, Ab-Tichaz, Nono and Mwanakijiji, Mchongoma, Mshihiri, sijui huyu ni mshihiri kweli, Kana Kansungu, Allien, Kichuguu, Yebo yebo, Susuviri, Rev na bila kumsahau shujaa wa Watanzania anayekipeleka puta chama cha mafisadi Dr Slaa. I always enjoy their contributions although we may differ here and there.
 
Definitely Nyaniiiiii! Also, Rev Kishoka, Game Theory, Bubu, Mkandara Mwafrika wa Kike!
 
GT, NN and YNIM najua hapo hakutakuwa na maswala ya siasa za mipasho na kuzodoana....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom