min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,051
- 126,635
Hawakujui tuWaambie hao 😹😹
Hawakujui tuWaambie hao 😹😹
Anaongoza 2 kwa mojaVip game? Manjesta tushamtafuna mtu?
Tutulie tuAnaongoza 2 kwa moja
😹😹😹🤣
Mkuu weekend tukutane kwa mama shirima bill juu yangu 🙌🏾Kiranga,
Ukeleta masuala ya ad hominem logical fallacy anakutupa kwenye dustbin (ignore list).
Harmful,
Huwa nakunywa naye pombe na hana baya.
Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, ni watu wapole na watulivu japokuwa Monetary doctor huwa nakosana naye pale anaposhindwa kunipa heshima yangu Mimi baba yake.
Jirani,tatizo heading imeandikwa kwa kingereza,na sisi tusiokua na elimu inakua tabu kuelewa.😹😹😹🤣
Jirani kwanini lakini?
Kumbe na wewe upo kama mimi tu,Back in the days uzi kama huu ningetajwa mapema tu bila kuomba
Nilikuwa zangu mpole wanaJF wakaniroga 🤣
Kuwa makini tu litakukuta jambo ohoo😆Nishaanza kupata wasiwasi juu yako subir niendelee na upelelezi 😅
Kumbee😂😅😅😅umepatia Seran, we're the coolest!!
Mimi mtata bwana, wala hilo grp sipo kabisa😅
Hizo drama tu mkuu hamna lolote😎Unavyoandika kwa mapozi na kujishebedua mkuu