Kumbe na wewe upo kama mimi tu,
Nipitie twende tukatafute mganga ili turudi kua wapole tena.
JF is not for the weak
Tubaki zetu hivi hivi,nilivyokiwa mpole bado kidogo mapimbi wachache wa JF wanishike mattercore
Kumbe na wewe upo kama mimi tu,
Nipitie twende tukatafute mganga ili turudi kua wapole tena.
😁😁😁😁mshamba_hachekwi nae hajawahi kugombana huyu
Na dada yangu mpole of all time Shadeeya
Bado kidogo nimtaje Carleen nikakumbuka kitu 🤣
😹😹😹😹 Wanajua sisi majeuri tunawapokea kama wanavyokuja..!!
Hate watch ni top notch huku japo hakuna nachoelewa🫢Anaongoza 2 kwa moja
😁😁😁😁
siku wakisema wadada wenyewe majibu yao flani hivi mujarabu, naomba uniite nikutaje tafadhali sana..!
😁😁😁😁
Mimi mtu akinisifu upole naona kama vile ananiletea dharau fulani hivi.JF is not for the weak
Tubaki zetu hivi hivi,nilivyokiwa mpole bado kidogo mapimbi wachache wa JF wanishike mattercore
Kufa hafi lakini cha moto anakiona,ngoja aje 😂Mbeumo atamtoa roho 😅😅😅
Mimi si bidada ni baba
kwenye chapoo nashindwa kukuamini moja kwa moja kwa kweli kipenzi changu, mpaka nishuhudie muujiza.!Na wanaojua kupika chapati usinisahau 😂😂
Sijui nimekuona mwaka huu? Kama bado heri ya mwaka mpya sis ❤
Mimi mtu akinisifu upole naona kama vile ananiletea dharau fulani hivi.
😀 😀
Mbaba wananiita warembo ,wewe niite baba.Oooh sori mbaba mwenye ndevu zake...
kwenye chapoo nashindwa kukuamini moja kwa moja kwa kweli kipenzi changu, mpaka nishuhudie muujiza.!
Happy New Year Babe Sis..!😍😍
Unajikuta una akili nyingi hahaha...
umenifanya kila nikiona mada ya chapoo humu ndani lazima nikuwaze..!😁Nitakuonesha siku navyozipatia 😂
Thanks sis ❣
Walijua tunatania😃😂😂😂 kipigo cha mbwa mpaka tuwavunje na shingo kabisa
Sawa sawa mkuu😃😃japo ushaisha nilikuwa kuwaangaliaUkimuona Razorblade mwambie namsubiri hapa Mikocheni bado dakika 20 mpira uanze
Sasa hapo nathibitisha we ni mdada pureHate watch ni top notch huku japo hakuna nachoelewa🫢