min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,261
- 127,106
Yeah wewe pia ni mpole ila personality yako uliyojijengea humu inamuonya mtu kutokuchokoza hata bila wewe kuongea.Kama mimi tu 😎
Yeah wewe pia ni mpole ila personality yako uliyojijengea humu inamuonya mtu kutokuchokoza hata bila wewe kuongea.Kama mimi tu 😎
Yeah wewe pia ni mpole ila personality yako uliyojijengea humu inamuonya mtu kukuchokoza hata bila wewe kuongea.
Yeah hauwezi kufanya kitu , hiyo ni image yako ya ndani kabisa , hata kwenye maisha ya huko duniani lazima uwe na personality inayosema na kuonya kabla haujaongea.Nilipobold nimecheka!
Hiyo personality imejijenga hivyo automatically...mie sijafanya kitu
Kwanza mpo Watu8 vurugu lake sio dogo 😅Sisi wengine ni ukiweka uhoko, tunaweka njumu...
Thanks alot man. Sometimes i can't even explain how it feels being sorrounded by positive energies ila tuko pamoja sana.
Kabisa naunga mkono hojafinancial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Hata wewe sijawahi kukuona umegombana.financial services mdada mpole sana ....heshima , adabu vimetamalaki
Ngumu sana 😂Ngoja uchezee leo ndio utajua!
Yes babe.
Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengine
Yeah hauwezi kufanya kitu , hiyo ni image yako ya ndani kabisa , hata kwenye maisha ya huko duniani lazima uwe na personality inayosema na kuonya kabla haujaongea.
Mimi si bidada ni babaKwa hali hiyo mchumba anaweza kukukaribia kweli bi dada?!