Who is the coolest guy in JF?

Who is the coolest guy in JF?

Attachments

  • Screenshot_20260125-174055_Lite.jpg
    Screenshot_20260125-174055_Lite.jpg
    217.3 KB · Views: 6
Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr

Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.

Wataje wengine🫵

Vincenzo Jr ??? Hebu kwanza nicheke....kweli haka kajamaa ka Kigamboni kanasingiziwa mengi mazuri

Halafu kumbe dosho12 ni guy? Najuaga ni wa kike huyu

Kwangu mie japo sikutani nae sana jukwaani lakini mara zote nazomuona sijawahi...i mean sijawahi hata kwa bahati mbaya kukuta anatupiana maneno na mtu Detective J
 
Vin anao upole flani hata kama ni mkorofi ila ni mwepesi wa kutafuta amani
 
Back
Top Bottom