BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,855
Dogo jiheshimuHaha SHIDA NYIE vijana mkivita mnatu bakia watoto wetu
wengine ganja ni ibada kwetu
kama wewe unatabia za ubakaji ukinywa hata juice utafanya uhalifu tu!
Dogo jiheshimuHaha SHIDA NYIE vijana mkivita mnatu bakia watoto wetu
😂😂😂😂😂Dogo jiheshimu
wengine ganja ni ibada kwetu
kama wewe unatabia za ubakaji ukinywa hata juice utafanya uhalifu tu!
Sijui maana yake ila ni jina la baba wa babu yangu, tuseme ndio jina la ukoo 😃Ambayo maana yake ni nini braza Dosho 🤣
😃😃🤗am out
Sijui maana yake ila ni jina la baba wa babu yangu, tuseme ndio jina la ukoo 😃
Chap tuu tulisahahu chaji🤣Nawasubiri sasa 😂
😁 leo nna siku mbaya sana, na arsena kafungwa dah 😅Twende nikakubatize dosho unaklsa bahati 😂
Msingerudi ninayo huku 🤣Chap tuu tulisahahu chaji🤣
Pole sana dosho kumi na mbili☹️😁 leo nna siku mbaya sana, na arsena kafungwa dah 😅
Asante ila kichapo kipo pale pale 😎Pole sana dosho kumi na mbili☹️
Wapo vijana wengi hawajui match ww
Sikuwahi kuwaza kama una uwezo wa kufanya vile, nimekasirika sana!😂😂😂 nakusalimia Mubaba wangu
Kumbe arsenal kafungwa 😳😁 leo nna siku mbaya sana, na arsena kafungwa dah 😅
Hiyo mlofungwa leo😂unazungumzia match gani kwanza 😁
Nilidhan unataka kunibless matchHiyo mlofungwa leo😂
My mom asked me: Why do football players earn more than doctors? 🤗Kumbe arsenal kafungwa 😳
😅 kijana upo makini kwenye kutafuta fursaNilidhan unataka kunibless match
Yani huogopi kabisa kuongea hivi na kijana mwenzio🙆🏽♀️Nilidhan unataka kunibless match