Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Nyie watu mimi mbona mnanisikitisha? bado mnaitaka ccm? Salim ni mtu safi, ila ccm ni wachafu na hawataki kuwaanika wachafu ili waoshwe so hatujui nani ni mchafu zaidi na nani ni msafi sana. watamchafua huyu bwana!!! haijalishi rais ni msafi kiasi gani hawa mabwana hawaaminiki tena. Mimi nimeamua kupotezea kura yangu upinzani mpaka siku itakapo-make a difference!!!!!! kwani watu walisemaje kuhusu Jakaya? lakini serikali yake iko wapi? ameshavunja baraza mara ngapi na mara ngapi mmeshawishika kuona analivunja tena? kama watendaji ni wabovu yeye hawazi. Stress peke yake inaweza ikamfanya mtu ashindwe kutoa maamuzi. Mmeyaona kwa JK!! Salim ni mtu mwenye busara na aliyaona hayo kitambo na ndio maana alipoambiwa agombee alikataa, nani anakataa kuwa mkuu wa nchi kwa nchi inayoongozeka? ni nchi kama yetu ndio watu wanakataa, kwani at the end of the day yyeye ndio ataonekana hana wala hakutumia busara. Paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu!!!! Au mmesahau??
Hapo sasa, watu wengine wameigueza CCM kuwa dini yao!!