Who is Mary Chitanda?

Demokrasia ya CCM ni ya kipekee duniani diwani wa Tanga kwenda kupiga kura Arusha bado wanasema ni haki yake kama si maajabu ya uwendawazimu ni nini.
Ni diwani au Mbunge wa kuteuliwa kutoka Tanga?
 

Michelle, hicho usemacho ni sahihi kwenye taasisi zingine sio CCM. Nimelelewa kwenye CCM na nakielewa hiki chama. Huwezi kuwa na mafanikio kupitia CCM kama huna sifa zifuatazo
1. Huna urafiki wa karibu au wa kifisadi na kiongozi yeyote wa ngazi za juu
2. Huna uhusiano wa kifamilia na kiongozi wa juu
3. Kwa wanawake, LAZIMA uwe na undugu na au mke wa mkubwa au uwe NYUMBA NDOGO au KIMADA. Katika hili nina uhakika na ndio ukweli. Sipingani na ukweli unaouhubiri lakini tukubali ukweli pia
 

I understand ur concern Michelle, bt napingana na maelezo yako niliyohighlight...
Kwanza wanawake kama hao hawana independent minds
Hawajiamini
Wapo katika nyadhifa hizo kwa manufaa yao binafsi na hivyo hawafai
Uwezo wao wa kufikiri utakuwa limited na aliyemuweka
UNLESS THE POSITION SHE HAS IS NOT THE RESULT OF THE RELATIONSHIP[/QUOTE]

Uko sahihi Mporipori...........nimekuelewa,asante.
 

Nimekupata Mzito,ila nilisema hii tendency ya kusema hivi kuhusu wanawake haipo tu kwa CCM bali hata maofisini na vyuoni mtu ukiwa kiongozi au ukipanda cheo wanasema hivyo.From CCM perspective that is very true.
 
Nimekupata Mzito,ila nilisema hii tendency ya kusema hivi kuhusu wanawake haipo tu kwa CCM bali hata maofisini na vyuoni mtu ukiwa kiongozi au ukipanda cheo wanasema hivyo.From CCM perspective that is very true.

Kama ni hivyo, tupo pamoja Michelle
 

Dah,ime nihuzunisha sana kwa kweli!
Kweli,kama ni utendaji wake mbaya usihusishwe na jinsia yake,huu ni udhalilishaji wa wana wake and my mum is a woman,it pains
 

whether you like or Not uhusiano wa kimapenzi unaathiri utendaji usitake kujitetea hapa, kama unadhani utani jaribu.
 
dada michelle,unayozungumza ni kweli ilibidi tumsasambue huyo mama kwa ufinyu wake wa mawazo bila kugusia suala la mahusiano yake na vigogo,ila kikubwa nnachotaka kukuambia mara nyingi watu wa dazaini yake(Mary Chitanda) huwa wanashindwa kuendelea na kile walichopewa na wakuu na badala yake huwa wanataka Vimba kichwa na kujitutumua waonekane wao na wao eti tu watakingiwa kifua,by the tusamehewe wa Afrika kwa mfumo dume,ila wanawake wa dzaini ya mtajwa hapo juu wanaweza wanyima wenzao wa jinsia yao nafasi ya kupewa madaraka kwa madudu wanayoyafanya otherwise if everithing remain ceteris peribus wanawake wanuwezo sawa na wanaume kiutendaji.
 

Asante sana Mndamba na 1. na ukiangalia ukweli wanawake wachache sana wenye uwezo katika siasa na hata kwenye mashirika ya serikali wanapewa nafasi,wanawapa wale wanaojua kupiga makofi na kukubali kila wazee wanachosema.Hii inafanya tunazidi kudharauliwa na ndo hayo ya kuendelea kutegemea favour za wakuu.
 
whether you like or Not uhusiano wa kimapenzi unaathiri utendaji usitake kujitetea hapa, kama unadhani utani jaribu.

Inawezekana dada yako au hata mama yako alishajaribu ndo maana wataka na mimi nikajaribu,hapana! tumetofautiana sana,mi Mwenyenzi Mungu kanipa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi,zaidi kanipa elimu na kazi nzuri sina sababu ya kujaribu kuwa malaya manake hata kwake sitakuwa na la kujibu safari yangu duniani ikiisha. Sijakuomba ushauri na sijitetei kwakuwa Jamii forums si baba yangu wala mama,wala mume wala Mungu........ni sehemu ambayo niko kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kujifunza,kupokea taarifa na kutoa maoni yangu kwa kile nachofikiri.Wape ushauri wanaotaka,si mimi,nikiomba waweza toa.......
 
naona thread inakwenda siko.
issue hapa ni mary chitanda msianze
ligi nyingine tafadhali. ni ushauri tu
 
naona thread inakwenda siko.
issue hapa ni mary chitanda msianze
ligi nyingine tafadhali. ni ushauri tu

Asante sana kwa ushauri Godfrey! As long as sivunji taratibu kwa kuanza ligi ingine,nitaanza and i know am good at it.Any act of disrespect itajibiwa kwangu,sina sababu ya kumuacha mtu azungumze atakavyo kuhusu kile nilichokisema,utaniambiaje nikajaribu umalaya mimi??.... ye ndo kaanza kutoka,tulikuwa tunaenda tu vizuri,sasa namuomba arudi,tuendelee! :smash:
 

Wewe nae nakuona ni hao hao... kinachifikisha suala hili lijadiliwe na wanajamvi kwa mtazamo huo ni

1. EXTRA CONFIDENECE aliyonayo kulingana na hali iliyopo, kwa kuwa hakuwahi kuwa na fursa ya kujibu mjadalka mzito kama uliopo.

2.Mfumo wa ki CCM unaoweza kumfanya HATA mtu sitye na uwezo KUJIBU hata jambo LILILO NJE YA UWEZO WAKE.

3. Hali halisi ya YEYE KUWAKUILISHA KAMA DIWANI kwa kupitia ubunge wa kuteuliwa mkoa wa mwanza.(lifikilie ili kwa undani zaidi)

nachelea kusema na wewe ni chakula cha mtu fulani................
 
Am sory michele but have to say this. Kumekuwa na wimbi kubwa la kile kinachoitwa vita dhidi ya mfumo dume. Japokuwa kuna sehemu ambazo kweli zina mapungufu na tunahitaji, kama jamii ku-take action, lakini pia tusiache kusema ukweli kwa kuhofia kuonekana tunaendekeza mfumo dume. Hebu tuangalie kwa namna hii. Mary anatekeleza matakwa ya aliyemtuma bila kutumia ubongo wake. Anatekeleza matakwa ya kibosile aliyemwezesha kuwa hapo alipo ambaye pia ni chakula yake. Kama watu wanajua uwepo wake hapo unatokana na fadhila kwake kwa kile anachowafadhili wakubwa, kumsema kwa kuzingatia hizo fadhila sio masuala ya patriachal. Hapo ubongo wake hautenganishwi na namna anavyotumika. Usife moyo. Tuendeleze mapambano huku pia tukielimishana.
 
 
Pinda is coward and weak he can not afford to take such a decision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…