Who is Mary Chitanda?

Who is Mary Chitanda?

Am sory michele but have to say this. Kumekuwa na wimbi kubwa la kile kinachoitwa vita dhidi ya mfumo dume. Japokuwa kuna sehemu ambazo kweli zina mapungufu na tunahitaji, kama jamii ku-take action, lakini pia tusiache kusema ukweli kwa kuhofia kuonekana tunaendekeza mfumo dume. Hebu tuangalie kwa namna hii. Mary anatekeleza matakwa ya aliyemtuma bila kutumia ubongo wake. Anatekeleza matakwa ya kibosile aliyemwezesha kuwa hapo alipo ambaye pia ni chakula yake. Kama watu wanajua uwepo wake hapo unatokana na fadhila kwake kwa kile anachowafadhili wakubwa, kumsema kwa kuzingatia hizo fadhila sio masuala ya patriachal. Hapo ubongo wake hautenganishwi na namna anavyotumika. Usife moyo. Tuendeleze mapambano huku pia tukielimishana.

Asante kunielewesha Sumuni,sijakataa kabisa kwenye maelezo yangu kuwa wapo wanawake wanawatumikia wale waliowaweka hapo, ninachokisema kama umeangalia post zangu zilizopita ni kuwa,imekuwa desturi sasa kwamba mwanamke akikosea au akiteuliwa au hata akichaguliwa watu wanasema ni chakula ya fulani,there are exceptions,Mary Chitanda might not be one of them. Na huko juu nimesema kuwa namfahamu huyu mama ukiacha suala la yeye sina uhakika kama ni chakula ya fulani,uwezo wake wa kufikiri si mkubwa ndo maana haoni shida.......Ingekuwa ni Tibaijuka kaambiwa akaseme hivi asingeliongea hata kama maana zingefanana kama Mary,ndo maana kwenye post yangu nikasema kuwa chakula ya mzee isiwe kigezo pekee cha kum-disqualify mtu though nimekubali inaweza punguza utendaji na ku-limit decision ambazo mtu anafanya, kuna factors kama exposure ya mtu,elimu,maisha aliyoishi na hata tamaduni alizokulia.kama nilivyotarajia nimetukanwa na kuambiwa nami chakula ya mzee fulani na mtu asiyenijua,simply kwakuwa mi ni mwanamke????Am very sensitive na hii issue kwakuwa imenigusa si kwenye siasa bali kazini.....na sitoacha kusema we should be judged on fair basis si jinsia pekee.
 
Most of them women working in CCM wakiwa chakula cha wenye maamuzi au hata wakiwa wake basi wamepitiwa na zaidi ya viongozozi wawili wa CCM. Show me one ambaye theory yangu ni ya uongo?
 
Tatizo siyo kuhusu chakula ya wakubwa, tunaongelea vituko na vioja, Tanga hadi Arusha! kuna uhusiano wa kijinsia? no way. labda sababu nyingine (behind the curtain) ya kumtia jeuri ya kutoa tamko badala ya mkiti wake wa mkoa! Hiyo sababu/jeuri ndo tunataka kujua undani wake, na si mfumo jike/dume ndg mchele.
 
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe

Sasa hayo mapadiri na majoho yao siasa za nini na wao ni watyumishi wa kiroho?
 
Most of them women working in CCM wakiwa chakula cha wenye maamuzi au hata wakiwa wake basi wamepitiwa na zaidi ya viongozozi wawili wa CCM. Show me one ambaye theory yangu ni ya uongo?

Siwezi kuwa na hizo taarifa,na hakuna sehemu nimeongelea jambo ambalo linaonyesha naweza kuwa nazo na ku-prove theory yako.Hio theory itabidi ufanye research ili uweze ku-prove kutoka kwa hao hao wanawake wa CCM,am not one of them by the way.:A S-cry:
 
Tatizo siyo kuhusu chakula ya wakubwa, tunaongelea vituko na vioja, Tanga hadi Arusha! kuna uhusiano wa kijinsia? no way. labda sababu nyingine (behind the curtain) ya kumtia jeuri ya kutoa tamko badala ya mkiti wake wa mkoa! Hiyo sababu/jeuri ndo tunataka kujua undani wake, na si mfumo jike/dume ndg mchele.

Mkuu ni kwamba, makatibu wengi wa CCM wa kike hasa wa UWT ni mafikio ya viongozi wa CCM (wa kiume) na ndio maana wengi hawana mume.. wanapelekwa sehemu ambayo mkubwa anaweza kufika na kupata kiburudisho!!! zamani makatibu wa CCM walikuwa ndio wakuu wa Wilaya, baada ya vyama vingi wengi hawana kitu so hawa wa kike ni chakula cha wakubwa... Kama una mke ambaye ni katibu au mtendaji ndani ya CCM ndugu yangu kubali maumivu..
 
Siwezi kuwa na hizo taarifa,na hakuna sehemu nimeongelea jambo ambalo linaonyesha naweza kuwa nazo na ku-prove theory yako.Hio theory itabidi ufanye research ili uweze ku-prove kutoka kwa hao hao wanawake wa CCM,am not one of them by the way.:A S-cry:

Ingia CCM dada yangu uone, haukuachiii!!!
 
Tatizo siyo kuhusu chakula ya wakubwa, tunaongelea vituko na vioja, Tanga hadi Arusha! kuna uhusiano wa kijinsia? no way. labda sababu nyingine (behind the curtain) ya kumtia jeuri ya kutoa tamko badala ya mkiti wake wa mkoa! Hiyo sababu/jeuri ndo tunataka kujua undani wake, na si mfumo jike/dume ndg mchele.

Sina hakika umesoma post yangu ya mwanzo ambayo ndo imeleta mazungumzo haya ya jinsia Kingo,nakubaliana na wewe hiyo jeuri yaweza kuwa kwa sababu zisizo za jinsia na ndo nilichotaka tukijadili.... kwa kuwa nami naamini hakuzungumza kama yeye bali kulikuwa na watu nyuma yake ambao kwa walimtumia kufanya alichofanya na hakufanya vile kwa kuwa yeye ni mwanamke na chakula ya fulani.Ukiwa dhaifu watu kukutumia haihitaji kuwa chakula yao.........Anyway,mjadala uendelee,nikamlishe mwanangu sasa.................LOL :flypig:
 
Hv kwanini PINDA asibatilishe uchaguzi wa arusha ili urudiwe na kuondoa mikwaruzo? naombeni japo e-mail yake

Pinda! Pinda!
Uongozi tumeliwa. Unaweza kuwa na PM ambaye sifa yake kuu ni upole!!??

Ana uamuzi gani tangu awe PM unaoweza kusema aliamua kishujaa. Nakumbuka alilia hadharani ili kuthibitisha sifa yake ya upole.
 
Ingia CCM dada yangu uone, haukuachiii!!!

Asante Limbani kwa ushauri, ninalifikiria hilo.nita-prove theory yako kama nikifanikiwa.Tukumbushane tu,manake wanawake wengi wangependa kujua findings za hili suala. :flypig:
 
Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????

Uwezo wa kusema kwa ufanisi unaonyesha jinsi uwezo wa akili yako ulivyo. Hawa wabwabwaja hovyo wengi wanapanda na kufika wanakofika sio kwa akili na uwezo wao, bali kwa hisani ya mabwana zao. Sasa kama huna uwezo kaa kimya, kula polepole. Nini kubwatuka kwenye issue usizo na uwezo nazo?? You expose yourself unnecessarily madam.
 
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe

A certain crap in CCM

Wanawake kama kina Mary Chitanda ndio wanawaangusha wanawake wengine kama ilivyo kwa wanaume kama Makamba!!

Huyu mama ndie alimuangusha Batilda Arusha mjini na wakampiga zengwe kwamba Batilda hakuwashirikisha kwenye kampeni!! Nadhani anachuki nae. Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba "inawezekana wameshare bwana". Mimi sikumuamini huyo mtu! Ilikuwa ni hisia tu! Asiyejua maana haambiwi maana!
 
Sasa hayo mapadiri na majoho yao siasa za nini na wao ni watyumishi wa kiroho?

Kiongozi yeyote wa Dini akiona mauaji yanatokea kwa sababu yoyote naye akakaa kimya, basi ujue huyo hafai na dini hiyo anainajisi.

Hawa unaowaita 'mapadiri' naamini ndo wanaojua kazi yao. Hao wengine, amini hawatatuletea faida yoyote. Binadamu anahitaji amani kabla ya kutafuta njia ya kuelekea Mbinguni.
 
Asante Limbani kwa ushauri, ninalifikiria hilo.nita-prove theory yako kama nikifanikiwa.Tukumbushane tu,manake wanawake wengi wangependa kujua findings za hili suala. :flypig:

hutakuwa na muda wa kutupa mrejesho (feedback) as you will be a DC, au RAS or an Ambassador!!!
 
okay, huyu mama ni nani hasa? Mwenye CV yake atuwekee hapa,

Nikiacha issue za jinsia pembeni, mtu yeyote anayethubutu kuwazungumzia viongozi wa dini kwa namna hii, inabidi aangaliwe kwa jicho la tatu..wakati watu wamefariki, wamejeruhiwa, mali zimeharibiwa, maaskofu wamelaani kitendo hcho, kisha anaibuka mtu anawakemea kwamba 'wavue majoho' yao?

Ila katika kutaka kujua ni nani hatuwezi kukwepa pia kujua kafikaje hapo alipo, na ndipo issue ya upendeleo wa kijinsia inapokuja!
 
Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????

Sasa kama ukimsikiliza unaona katumwa, huoni kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na kwamba hiyo tu inatosha kumjadili? Kitu kingine ni kwamba yeye ni mbunge wa viti maalum kupitia mkoa wa Tanga kwahiyo kisheria ni diwani wa Tanga, kitendo cha yeye kuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha hakimpi haki ya kuwa mbunge wa Arusha na hatimaye diwani wa huko sasa kama kweli ana uwezo wa kufikiri kwanini yeye akubali kutumika katika uovu huo? Anatoa wapi kiburi cha kuwakebehi na kuwadharau maaskofu? Moja ya majukumu ya kanisa ni kuhakikisha amani na utulivu katika nchi, kuishauri na kuikosoa serikali katika mambo yote yahusuyo nchi. Sasa wametumia wajibu wao huo kuikosoa serikali kwa kitendo chake cha kupora demokrasia ya watu wa Arusha mjini! Ubaya uko wapi? Ni kweli inapaswa kumjadili mtu bila kuangalia jinsia yake, lakini kwa mtu kama Mary Chatanda ambaye ameshiriki katika hujuma ya kumweka Meya wa CCM na anatoa kejeli kwa viongozi wa dini, lazima tumjadili kiburi hicho anatoa wapi? Kama angekuwa na uwezo basi angegombea ubunge jimboni badala ya kusubiri wa kupewa baada ya kuhonga mwili wake. CCM watwambie kuwa kitendo walicho kifanya kumhamisha mbunge kutoka mkoa mmoja kwenda kupiga kura kwingine kama diwani ni sawa na kila chama kinaweza kufanya hivyo ingawa sheria hairuhusu!
 
hutakuwa na muda wa kutupa mrejesho (feedback) as you will be a DC, au RAS or an Ambassador!!!

Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa, hilo nalo neno? we unafikiri kuna kazi kwenye hizo nafasi kiasi cha mimi kusahau JF?hapana,nitarudi hapa JF nakutoa report,kuna mambo mengi sana Jf,siko hapa kwa bahati mbaya na nitadumu hapa labda waifunge.
 
Hakuna aliyemtuma Mary chatanda ni uropokaji wake tu ndio umemponza. Kama kuna mtu kamtuma basi atakua MAKAMBA au TAMBWE HIZA maana akili zao zinafanana. Najua JK anapingana na kauli hiyo ndio maana kamtuma WASSIRA akajikoshe kwa maaskofu MWANZA wakati wa kumsimika Askofu Mkuu mpya wa mwanza. Kwa wale waliokuwepo pale kawekamo- mwanza au waliofuatilia kupitia television wamesikia kauli ya WASSIRA akiwaambia maaskofu waikemee serikali inapoenda kinyume na kuhatarisha umoja wa watanzania na amani ya taifa. Sio kwamba Wassira alitamka maneno hayo bila kujua nini Mary chattanda alisema jana. Kauli hiyo imesemwa makusudi kuwaonesha maaskofu kwamba wanapingana na kauli ya chattanda. CCM wanapaswa kumwajibisha chattanda haraka iwezekanavyo.

Nimesikitika zaidi leo baada ya kusikia kauli ya chattanda kwenye habari ya channel ten sa moja jion. Chattanda anasema maaskofu kumtambua au kutomtambua meya haiwasumbui chochote (haiwaumizi kichwa) kwa kua maaskofu hawana madiwani kama vyama vya siasa. Najua mary chattanda kwa kauli alizozitoa zinaonesha upeo finyu wa uwezo wake wa kufikiri, anawaambia maaskofu waache kuingilia siasa akiamini kwamba kitendo cha wananchi watatu kuuawa bila hatia ni suala la kisiasa. Mary chattanda anashindwa kuelewa kwamba "man is a political animal" kwa sababu anaathiriwa na maamuzi ya kisiasa kaatika nyanja mbalimbali za maisha na kwamba siasa anayoizungumza inapenya katika nyanja hizo za maisha kama vile za kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Mary chattanda anatakiwa aelewe kua nyanja zote hizo nilizozitaja zinaathiriwa na maamuzi ya kisiasa kwa namna moja au nyingine. In other words political decisions influence social, economical, and cultural undertakings, as a matter of fact there is no way one can separate religion and politics.

Mary chattanda haoni tabu meya wa Arusha kunyimwa ushirikiano no maaskofu kwa sababu kwa mujibu wake maaskofu hawana madiwani kama vyama vya siasa. Anasahau kwamba mbali na kuhubiri injili maaskofu kupitia makanisa na taasisi zao mbalimbali wanatoa mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kwa ujumla. Huduma kama za shule, hospitali, vituo vya kulelea watoto pamoja na miradi mbalimbali ya makanisa vimekua chachu ya maendeleo ya taifa hili kutokana na serikali pekee kushindwa ku meet demands za watanzania. Leo mary chattanda anasema maaskofu kutomtambua meya is not an issue anawaambia wavue majoho wakafanye siasa kama alivyofanya dr slaa, tena anaongea kwa tambo na nyodo. Huyu mama ana laana na sijui ni muumini wa dini ipi maana hana hofu ya Mungu hata kidogo, I guess she is a pagan. Kwa aliyoyasema ata akiomba msamaha hastahili kupata msamaha wowote. Bahati mbaya zaidi ametoa kauli hiyo kwa niaba la chama (CCM) na chama katika ngazi ya taifa hakijatoa kauli yoyote that means it stands as a party standing.
 
Back
Top Bottom