Who is Mary Chitanda?

Wewe nae nakuona ni hao hao... kinachifikisha suala hili lijadiliwe na wanajamvi kwa mtazamo huo ni

1. EXTRA CONFIDENECE aliyonayo kulingana na hali iliyopo, kwa kuwa hakuwahi kuwa na fursa ya kujibu mjadalka mzito kama uliopo.

2.Mfumo wa ki CCM unaoweza kumfanya HATA mtu sitye na uwezo KUJIBU hata jambo LILILO NJE YA UWEZO WAKE.

3. Hali halisi ya YEYE KUWAKUILISHA KAMA DIWANI kwa kupitia ubunge wa kuteuliwa mkoa wa mwanza.(lifikilie ili kwa undani zaidi)

Ha ha ha ha ha ha kama mama yako alivyokuwa chakula ya mtu fulani ndivyo nilivyo mimi,kuna shida gani kuwa chakula ya mtu??mimi ni mwanamke na niliumbwa kuwa na uhusiano na mwanaume,mbona Rose Kamili ni chakula ya Dr Slaa..........tofauti na anavyoweza kuwa mama yako na dada zako,mimi ninae wangu mwenyewe anayenipenda na kunijali na kuniheshimu na hanitumi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa anajali heshima yangu mbele ya jamii si kama huyo uliyenilinganisha nae.na hana kiherehere kama chako cha urithi.Bug off,uzabinazabina wapelekee ******* wenzio.

Dada nilikuona mstaarabu. Mbona na wewe umeanza kuchemka?
Kunywa maji upunguze Munkari.

Cha msingi anza kuhamasisha viti maalumu vifutwe na nafasi a upendeleo ziondolewe. Zinawadhalilisha sana
 
Katika uchaguzi wa meya,yeye alisimama kama diwani na si Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.Nafikiri ulipaswa kuelewa hilo,katika sehemu nyingine makatibu wa CCM si madiwani kwa hiyo hawashiriki kwenye chaguzi za Umeya.Fikiri kwa umakini baba si kukosoa kila ninachoandika. Mimi si Mary Chitanda.
Mary Chitanda ni Mbunge wa kuteuliwa kupitia mkoa Tanga na sidiwani wa kuteuliwa kupitia Arusha, hivyo basi kwasababu Mbunge anaruhusiwa kuhudhuria vikao vya madiwani basi ni sawa, lakini Chitanda alitakiwa ahudhurie vikao vya Tanga alikoteuliwa na sio Arusha
 
"Tarehe 10.12.2010 CHADEMA wenyewe walimwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa serikali kuomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu wajumbe wa halmashauri kisheria na katika majibu yake kupitia barua yenye kumbukumbu na. JC-A.130-74 ya 16.12.2010 aliwapa ufafanuzi kuwa ni maamuzi ya chama husika kuamua mbunge wake wa viti maalumu atawajibika halmashauri ipi.

"Na hii waliuliza baada ya wao CHADEMA kuamua wabunge wake wawili, Bi. Grace Kiwelu na Bi. Lucy Owenya wawakilishe Halmashauri ya Hai na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo kuwakatalia, lakini baada ya ufafanuzi huo wale wabunge waliruhusiwa,

Alisema kwa mujibu wa sura ya 287 ya kifungu cha 35 1 D wabunge wa viti maalumu wanatokana na idadi ya kura za chama husika, lakini ni wapi wafanye kazi zao ni uamuzi wa mamlaka husika ya chama kilichowateua na kutoa mfano kuwa kwa upande wa CHADEMA kazi hiyo hufanywa na Kamati Kuu.

Fuatilia hilo then tunaweza endelea jadili.
 
Dada nilikuona mstaarabu. Mbona na wewe umeanza kuchemka?
Kunywa maji upunguze Munkari.

Cha msingi anza kuhamasisha viti maalumu vifutwe na nafasi a upendeleo ziondolewe. Zinawadhalilisha sana

Yameisha kaka yangu, kabla sijalala niliomba msamaha jana na kuomba mjadala uendelee,nashangaa watu bado wako na mimi while hiyo post ipo......Kuhusu viti maalum,sioni shida kuwa navyo,nachoona tabu ni aina ya watu ambao wanapewa hizo nafasi na namna wanavyozipata.
 
Hivi jamani mnashindwa kupakana matope wenyewe mpaka muwaingize na wazazi.Issue hapa ni Mary Chatanda ambaye kaonekana wazi hatumii ubongo wake kufikiri na kwa hili hawezi kuwa na ufanisi wa kufanya jambo lolote kama alikuwa chakula ya mtu.

Dada nimekuwa nafuatilia hii hoja ingawa umejitahidi kututoa nje ya mada, nilikuona ni mtu mwenye hofu ya mungu,
Rejea uchangiaji wako huu, ina maana hutakuwa na cha kujibu kwa umalaya ila unalo la kujibu kwa kudanganya watu .........Inawezekana dada yako au hata mama yako alishajaribu ndo maana wataka na mimi nikajaribu,hapana! tumetofautiana sana,mi Mwenyenzi Mungu kanipa uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi,zaidi kanipa elimu na kazi nzuri sina sababu ya kujaribu kuwa malaya manake hata kwake sitakuwa na la kujibu safari yangu duniani ikiisha.

Ushari wangu tumwogope mungu tunapotoa hoja za matusi kama hizi.

Uhusiano wangu na Mungu niachie mimi,Hofu ya Mungu ninayo na daima nitakuwa nayo..........haimaanishi sina hofu ya Mungu kwa kukosea kwenye post moja na kutokana na kutukanwa na mtu asiyenijua,nashangaa sana kwanini hujamwambia yeye una deal na mimi while nilishasema SAMAHANi na nikaomba mjadala uendelee.Sijajitahidi kuwatoa nje ya mada kwa kuwa sikumlazimisha mtu ajibu nilichokuwa nimekisema,ni watu wameamua kutoa maoni yao,tafuta pengine pa kuelekeza lawama zako.Sijamdanganya mtu yeyote na sijawahi kutangaza mi ni mtakatifu,watakuwa wamejidanganya wenyewe kama walitarajia sikosei mbele ya Mungu mimi nimepungukiwa na ndo maana nikaomba samahani na ninatubu so usinihukumu si kazi yako!
 
yaani alianza vizuri nadhani utukufu wa Mungu umempungukia sana, mapaka kafika negative! I HATE WOOTE WANAOTUKANA WAKINAMAMA!

Neno la Mungu linasema wote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu,am not exceptional because of a single post at JF and i will never be.Nimeshasema samahani na hilo pia Mungu ameliona. Tofauti na wewe I hate nobody na Mungu anisaidie,and i think you should seek forgiveness for hating wanadamu ambao wote tuna mapungufu! and you should be fair,kwakuwa yupo aliyenitukana kabla,sikuanza tu kusema hayo hapo juu ila kwa kuwa mimi ni mwanamke,mbele za Mungu tu sawa.
 
Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????

kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba kuwa KIBURUDISHO haichangii kabisa kwenye kutema pumba? kwa sababu ile kitu ina effect kisaikolojia. hata kama una elimu, ila kama ulitoa KIBURUDISHO kupata kitu fulani lazima unabakiwa na effect fulani. na saa nyingine unajisahau nakuanza kutema pumba.

so, ndio anaweza kuwa na elimu, experience na kadhalika...lakinia ni muhimu kujua kama ni kiburudisho au la, ina effect kubwa kuliko unavyodhani.
 
Ni mpagani mwenye jina la kikristo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"Tarehe 10.12.2010 CHADEMA wenyewe walimwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa serikali kuomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu wajumbe wa halmashauri kisheria na katika majibu yake kupitia barua yenye kumbukumbu na. JC-A.130-74 ya 16.12.2010 aliwapa ufafanuzi kuwa ni maamuzi ya chama husika kuamua mbunge wake wa viti maalumu atawajibika halmashauri ipi.

"Na hii waliuliza baada ya wao CHADEMA kuamua wabunge wake wawili, Bi. Grace Kiwelu na Bi. Lucy Owenya wawakilishe Halmashauri ya Hai na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo kuwakatalia, lakini baada ya ufafanuzi huo wale wabunge waliruhusiwa,

Alisema kwa mujibu wa sura ya 287 ya kifungu cha 35 1 D wabunge wa viti maalumu wanatokana na idadi ya kura za chama husika, lakini ni wapi wafanye kazi zao ni uamuzi wa mamlaka husika ya chama kilichowateua na kutoa mfano kuwa kwa upande wa CHADEMA kazi hiyo hufanywa na Kamati Kuu.

Fuatilia hilo then tunaweza endelea jadili.
Ok imekaa vizuri
 
Wacha CCM ipige, iue na kuwa na kiburi ndio itakuwa chanzo cha kifo chao 2015. Nina hakika hata mashabiki wa CCM wanaona kinyaa kutokana na vituko vyao! KANU na UNIP (Zambia) walikuwa kama CCM. Wako wapi. Sikio la kufa halisikii dawa.
 
mbona Rose Kamili ni chakula ya Dr Slaa..........tofauti na anavyoweza kuwa mama yako na dada zako,mimi ninae wangu mwenyewe anayenipenda na kunijali na kuniheshimu na hanitumi kwenye mambo ya kipuuzi kwa kuwa anajali heshima yangu mbele ya jamii si kama huyo uliyenilinganisha nae.na hana kiherehere kama chako cha urithi.Bug off,uzabinazabina wapelekee ******* wenzio.

Michelle Plse do not loose your temper! Nimeipenda sana ile post yako ya kwanza ila baada ya watu kuanza kukukosoa kwa kutumia maneno yasiyo na staha na ww pia umeanza kuwajibu kwa kutumia maneno kama yao. So naomba usivutike upande wao.
 
Asante Paulo,nimesema samahani kwa kuwa nimeelewa nimekosea.naomba tuendelee kujadili.
 
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe

Huyu atakuwa amepewa Kimemo cha "Talking point" toka kwa baba yake Yusuf Makamba. Na yeye bila kufikiria anasoma tu upuuzi alioandikiwa na Makamba(Sidhani kama anamwabudu mungu huyu mzee) bila kujali kuwa yeye ni binadamu ambaye pia anahitaji huduma za kiroho. Haya ndiyo matatizo ya kufanya kazi kama kichwa cha mwendawazimu. Makamba anaiendesha CCM Kijeshi zaidi kwa kufuata chain of command. Jeshini hata kama amri ikija unaambiwa ule kinyesi hupaswi kuuliza kwa nini bali ni kutekeleza kwanza na maelezo baadae.
 
Hao ndio wanaoingiza udini kama kinga yao,sasa wanasema wakristo hawampendi kikwete
 
Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe

This women is just a crap
 
Back
Top Bottom