Who is Mary Chitanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is Mary Chitanda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by urasa, Jan 9, 2011.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mama hana hofu ya mungu,hana uzalendo,hana staha kw watanzania na viongozi wetu wa dini,anasema wavue majoho yao,anataka wavue ili aone nini?
  Anatoa wapi kiburi hiki,anapaswa kutengwa ktk kila jambo ili liwe somo kwake.naomba wenye taarifa zaidim za huyu mama watushirikishe
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Ni kiburudisho a.k.a stress remover ya Kiranja Mkuu pia ni mwanamke pekee ukiacha wale design ya akina Chui AU Simba, mwenye frustration ya kulala kitandani na mto,!!
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Kutoka kwenye akaunti ya binafsi ya Chenge, mamilioni ya shilingi yamelipwa kwa watu mbalimbali wakiwa ni pamoja na Janet Mashale, Mary Nchimbi, Mary Chitanda na Livingstone Ruhere.

  Source...Mwanahalisi
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Katika vitu vinakera ni pale mnapojadili mapungufu ya kiutendaji ya mtu kwa misingi ya jinsia.....Mi ningetegemea ajadiliwe kutokana na elimu,experience,uwezo wake wa kufikiri,exposure yake etc na hata tamaduni za chama chake na yeye mwenyewe.Kila mwanamke akikosea,eti chakula ya wakubwa,aliwaambia nani kuwa chakula ya wakubwa inapunguza ufanisi wa mtu wa kufanya maamuzi na kufikiri.........Mi naweza msema Mbowe kwenye jambo nikamlinganisha na mahusiano yake na wanawake???These are what we call cheap arguments za great thinkers,hao mnaosema ni chakula yao ndo waliomtuma na ndo mlipaswa muwajadili si yeye ambaye kabisa ukimsikiliza unaona katumwa. You can as well insult me,i care less...nimetoa maoni yangu.....ndo yale yale ya CCM eti HM eti msagaji,so what hata angekuwa,alishashindwa kutimiza wajibu wake akawa anasagana 24hrs au anatafuta watu wa kusagana nao 24hrs au anajadili usagaji ulivyo mzuri 24hrs?????
   
 5. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtu yoyote asiye tenda haki hatokani na mungu bali ni wa ibirisi!!!!!!

  Kazi ya ibirisi ni kuua na kuchinja na kazi ya mungu ni kuokoa. Hivyo ibiriosi akiua anafurahia mauaji kama anavyofanya mary chitanda
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Sorry Michelle, hakika umenena jambo kubwa, samahani kwa niaba ya wengine watakaoona kama ulivyooliona hilo! labda ni gadhabu na si vinginevyo, kweli samahani but huyu mama ni sifuri! asante
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Hv kwanini PINDA asibatilishe uchaguzi wa arusha ili urudiwe na kuondoa mikwaruzo? naombeni japo e-mail yake
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Its Okay Elli,yani kwa si tunaomjua huyu mama,uwezo wake tu wa kufikiri mi mdogo na waliomtuma wanajua hivyo ndo maana na yeye akakurupuka na kusema hivyo.Issue si yeye kuwa chakula cha wanaume,inauma kweli,nakumbuka hata makazini,vyuoni mtu ukipewa tu nafasi mwanamke,jambo la kwanza ni chakula ya mkubwa........sikatai wapo wanawake kama hao but hiyo haipunguzi ufanisi wa mtu wala ku-limit uwezo wake wa kufikiri sema tu akili yake ndogo ndo watu wanamtoa kafara za kijinga kwa kumtuma akaseme alivyosema.:smash:
   
 9. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi pinda alishawahi kufanya uamuzi unaofanana na huo unaotaka afanye? Huwa ana maamuzi yoyote kweli?serikali za mitaa ziko chini yake lakini ni mwoga, hajiamini
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bravo, mfano wa kuigwa Hapa jf.
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  kama unakili kwamba uwezo wake ni mdogo unadhani nini kimemfikisha hapo alipo? mbona hatujakusema wewe? kila mmoja anapewa haki yake regardless kwamba ni mama au baba. Ndio sababu anasenwa na makamba pia kwani yeye ni demu pia?!
   
 12. M

  Mundu JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwani huyu mama ni nani? yupo wapi na anafanya nini?
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,872
  Likes Received: 11,983
  Trophy Points: 280
  Demokrasia ya CCM ni ya kipekee duniani diwani wa Tanga kwenda kupiga kura Arusha bado wanasema ni haki yake kama si maajabu ya uwendawazimu ni nini.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mary is a holy name.

  She must pay the price.
   
 15. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kama umepewa nafasi kwa sababu unatoa za CHItandani kweli utasema unastahili. Hata kama una akili sana tafuta mwenyewe siyo kusubiri kusogezewa. ndiyo mwanzo wa mtindio wa akili na maneno kama vile Tukiwezeshwa tunaweza! Jiwezeshe! Nani akuwezeshe na kwa maslahi gani. Hii ndiyo maaana bunge limejaa warembo as if wasichana wa sura mbaya (relative term and abstract) hawawezi kuwa viongozi
   
 16. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Michelle, Huyo Chitanda kama ametumwa basi atakuwa ametumwa na aliye mbeba kufika hapo, inaonekana hawezi kujisimamia mwenyewe binafsi. Na kwa hali hiyo aliyemtuma hana ubavu wa kumbishia, na kama hawezi kumbishia basi moja kwa moja ni mtu huyo ni mwenye madaraka makubwa sana na huwenda huwa anamfyagia! Hakuna tafsiri nyingine!
   
 17. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  michelle samahani ..naomba uvumilie na kuendelea kutoa elimu kwani waafrika bado tunalo tatizo la mfumo dume....imekuwa kosa la kustahili kufa kwa mwanamke kiongozi au executive kutumia uhuru wake wa kimapenzi Lakini jamii hii hii imekuwa ikimvumilia mwanamume kahaba [ambao ni wengi]...waafrika ndio tulivyo.....assume JK angekuwa mwanamke ....na kutumia uhuru wake kulala na mwanamume amtakaye kwa siku husika ...ni wazi mwanamke wa namna hiyo huonekana asiyefaa na laana.....kwa kuelewa hayo ndio maana nashauri kuwa wanawake wenye nafasi mbali mbali kuwa na staha kwenye mahusiano yao ..iwapo wanataka kufika mbali.......sisi waafirika hatujaweza kumpa mwanamke nafasi sawa na mwanamume kwenye mahusioano....

  muulize mtu yeyote swali dogo ...>>>kipi bora ? kati ya kuwa na binti malaya [hata kama si kwa pesa ..just funny]..au kuwa na kijana kahaba ..wengi huona afadhali kijana wake awe play boy kuliko binti...!! ndio tulivyo ...mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu....
  Pia chukuliwa kwa walioolewa na wanaume play boy....wakitaka kulipiza na wao kuwa play girls ...inakula kwao jamii inawatenga......NI VEMA WANAWAKE WAKAELEWA NAFASI YAO KWENYE JAMII YA KIAFRIKA!!!

   
 18. u

  urasa JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kibaraka anayetumika bila kujijua,ni toilet paper,mwache ajifanye kuwasafisha watu huku yeye akibaki na kinyesi
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nimekuelewa Philemon,napenda watu wanaweza fanya analysis....umeona kitu wasichoona wengi,mfumo dume! ndo maana hata ukimwambia mwanaume anayekupenda unataka ufanye siasa anakuambia chagua mimi au siasa????Anyway,wapo walioharibu na watakaoendelea kuharibu na ndo maana tunaonekana malaya na watu wa kupewa hata kama tuna uwezo na tunastahili hizo nafasi.Thanks.
   
 20. Mporipori

  Mporipori Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]
  I understand ur concern Michelle, bt napingana na maelezo yako niliyohighlight...
  Kwanza wanawake kama hao hawana independent minds
  Hawajiamini
  Wapo katika nyadhifa hizo kwa manufaa yao binafsi na hivyo hawafai
  Uwezo wao wa kufikiri utakuwa limited na aliyemuweka
  UNLESS THE POSITION SHE HAS IS NOT THE RESULT OF THE RELATIONSHIP
   
Loading...